wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watekaji Nigeria wamewaachia haraka wanafunzi kwasababu wote ni wa Dini yao

    Watekaji magaidi ambao wengi wao ni Fulani waliowateka wasichana wanafunzi katika shule ya boarding kaskazini mwa Nigeria wamewaachia huru wanafunzi wote haraka sana bila hata kuwadhuru wala kuwadhalilisha. Kilichowasaidia awa mabinti wote walikuwa Waislamu. Pia miezi michache iliyopita hawa...
  2. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali ili kuboresha afya za Watanzania

    Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali nchini. Wizara ya mifugo na Uvuvi kupitia Bodi ya Maziwa Tanzania, imeanza utekelezaji wa mpango wa unywaji wa maziwa kwa wanafunzi wa shule za msingi sanjari na ofisi za serikali ukiwa na malengo kuboresha...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM kuna wakati wanachekesha sana, Hamis Taletale atoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi

    Kuna wakati huwa najiuliza kama hawa wabunge waliopita bila kupingwa wana tija yoyote kwa Chama na jamii kwa ujumla. Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale ametoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule moja ya msingi jimboni kwake. Babu Tale amesema msaada...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Shule ya Msingi Namalombe wasomea chini ya mkorosho

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Namalombe wilaya ya Nanyumbu mkoa wa Mtwara na Mwalimu mkuu wao Bwanaheri Akili wameiomba serikali kuwajengea madarasa kwani kwasasa wanapata shida kusomea chini ya mkorosho kama darasa, kutokana na shule hiyo kuwa na darasa moja tangu ilipoanzishwa mwaka 2014...
  5. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Mijadala mashuleni inaongeza ufaulu na kukuza uelewa wa wanafunzi

    Kwa mara ya kwanza kabisa naingia jukwaa hili la elimu nimepitia michango michache nami nina jambo naona ni muhimu pia kwa lengo la kuboresha elimu yetu Shule chache za Sekondari zimekuwa na utaratibu huu wakuwaandalia wanafunzi mijadala na morning speech hata kipindi nasoma hii kitu ilikuwa...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya leo kinamhusu kiongozi wa wale 19 walioaposhwa garage

  7. Ngalikihinja

    JamiiForums Tanzania Wale wanafunzi waliohamishia NGURDOTO toka Njiro, kuhamishwa tena.... tetesi zinasema, safari hii ni Arusha University

    Inasemekana kwamba, wamiliki wa hotel ya Ngurdoto, wamewapa chuo cha uhasibu Arusha, siku zisizozidi 90 kuwa wamewahamisha wanafunzi wote walihamishiwa hapo Ngurdoto kutokea Njiro Compus. Tetesi zinasema kuwa sababu kubwa ni uharibifu uliokwishatokea toka wanafunzi hao wahamie hapo Ngurdoto hadi...
  8. incognitoTz

    JamiiForums Tanzania Je, na wewe unadhani Uhusiano mbaya kati ya walimu na wanafunzi ni moja ya chanzo cha kuwapo kwa maisha magumu kwa walimu?

    Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
  9. Limbweni

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wakipeana mimba Sheria inasemaje?

    Kama kichwa cha habari kinavyouliza Je, Wanafunzi kwa Wanafunzi Wakipeana Mimba je kwa upande wa Sheria upoje Maana kuna Mwanafunzi wa Darasa la Tano kapewa Mimba na Mwanafunzi wa Form Four huko Wilaya ya Ulanga halafu hakuna kilichojiri.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa SUA wasababisha majonzi kwa wanafunzi wa ESM na BRD kwa kuwafutia boom la quarter two huku wakilazishwa kwenda field

    Uzi huu nimeamua kufikisha jamvin kwa lengo la kuonyesha njinsi Uongoz wa SUA unavyofanya mambo kwa kutokutafakari kwa kina kama Ifuatavyo; Hivi punde uongoz umechukua maamuz ya kuwafutia pesa ya boom wanafunzi wa Esm na Brd huku wakilazimishwa kwenda field mwez wa pili wakati idadi kubwa ya...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Songwe: Baba agoma kupeleka mwanaye kidato cha kwanza akidai hana akili na Shuleni Wanafunzi wanachapwa sana viboko

    Mzazi mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga, kata ya Mlale, iliyopo wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, amegoma kumpeleka mwanaye kujiunga na kidato cha kwanza akidai kuwa mwanaye hana akili na kwamba watoto wamekuwa wakichapwa tu wanapokuwa shuleni. Mzazi huyo anayejulikana kwa jina la Anania Mdolo...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya elimu itolewe kwa wanafunzi wanaosomea fani za vitendo tu

    Kwa utafiti wangu wengi wasio na ajira ni wale waliosomea digrii za bla bla zisizo za vitendo mfano za sheria, Bussiness Administration, Uchummi, Uhasibu, Uandishi wa Habari nk. Serikali itoe mikopo kwa wanaosomea fani kama Engineering, Kilimo na Ufugaji, za Ujenzi na Uvuvi, Udaktari, Ufamasia...
  13. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Ndio! Mazingira magumu ya kufanya kazi; Ndio! Malipo ya chini; Ndio! Hata hivyo sio kisingizio cha kubaka na kushambulia wagonjwa na wanafunzi

    Wafanyakazi wa Afya na Walimu ni waajiriwa wakuu serikalini. Mshahara wao na hali yao ya kazi ni duni sana . Na tunapaswa kuwahurumia na kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha hili swala. Walakini, katika siku za hivi karibuni tumesikia visa kadhaa vya kushambuliwa na ubakaji wa wagonjwa na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania RUKWA: RC aagiza walimu kuwakagua wanafunzi ili kubaini iwapo wanavaa hirizi ili kukabiliana na vitendo vya kishirikina

    MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo, amewaagiza walimu wakuu na wakuu wa shule kuwakagua wanafunzi ili kubaini iwapo wanavaa hirizi wawapo shuleni, ili kukabiliana na vitendo vya kishirikina. Agizo hilo alilitoa jana kwenye mkutano alioufanya Kijiji cha Malonje wilayani Sumbawanga kutokana...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima kwa wanafunzi wa elimu ya juu kulipa Bima ya Afya (NHIF)?

    .
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Moshi: International School of UWCEA yasitisha masomo Baada ya Wanafunzi 2 kupatwa na Corona

    Shule ya kimataifa ya UWCEA Kampasi ya Moshi, Kaskazini mwa #Tanzania imesitisha mafunzo ya ana kwa ana kwa Wanafunzi kwa madai ya mmoja wa Wanafunzi kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya Corona. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya Shule hiyo, Januari 18 Mwanafunzi huyo alithibitishwa...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Geita: Wanafunzi wakosa matokeo yao baada ya Mwalimu Mkuu kula ada za Mitihani

    Serikali mkoani Geita imeuagiza uongozi wa shule ya sekondari ya Geita Islamic, ifikapo kesho asubuhi iwasilishe stakabadhi za malipo ya mitihani ya wanafunzi, baada ya Mwalimu Mkuu wa shule hiyo kukiri kula ada za mitihani ya Taifa ya wanafunzi wa kidato cha Pili na cha Nne. Akizungumza...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Michango kwa wanafunzi wapya Mtwara

    Nimesikitishwa na wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza, wasiotoa michango ya madawati kurudishwa nyumbani au kukaa chini hadi walipe michango. Nimejaribu kupiga namba za DC 023 2333 928 kuulizia hili haikujibiwa. Naomba kama anaona message hii atoe ufafanuzi au mwenye namba nyingine anipe...
  19. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

    NECTA wameandika matokeo ya Kidato cha nne na Upimaji wa kidato cha cha Pili na Darasa la Nne 2021, yatatangazwa hivi punde kaa tayari ndio mida hii. All the best Comrades, see you at the top. Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Pata uchambuzi wa mtokeo ya Form...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mkuranga: Walimu watakiwa kutowatoza Wanafunzi michango yoyote Shuleni

    Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filbeto Sanga, amewataka walimu kutowatoza michango ya aina yoyote wanafunzi ambao wanaoanza shule. Sanga aliyasema hayo jana katika kikao maalumu cha Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, kilichoitishwa kubadilisha matumizi ya fedha ili ziende kutumika...
Back
Top Bottom