Mijadala mashuleni inaongeza ufaulu na kukuza uelewa wa wanafunzi

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,074
Kwa mara ya kwanza kabisa naingia jukwaa hili la elimu nimepitia michango michache nami nina jambo naona ni muhimu pia kwa lengo la kuboresha elimu yetu

Shule chache za Sekondari zimekuwa na utaratibu huu wakuwaandalia wanafunzi mijadala na morning speech hata kipindi nasoma hii kitu ilikuwa inafanyika japo mijadala na morning speech ilikuwa haizingatiwi sana

Mwisho wa siku nilikuja kugundua wanafunzi wote walikuwa wanashiriki mijadala mbalimbali ndio waliokuja kufaulu ufaulu mzuri kwa kupata madalaja ya div 1 na 2

Hivyo nachowaomba watu wanaohusika na elimu tuanzie chini elimu ya secondary tuhakikishe wanafunzi wanakuwa na presentation kama ambavyo inafanyika elimu ya chuo kikuu.

Itasaidia kuwajengea wanafunzi uelewa.
 
Back
Top Bottom