Wanafunzi wakipeana mimba Sheria inasemaje?

Limbweni

Member
Oct 3, 2019
66
77
Kama kichwa cha habari kinavyouliza

Je, Wanafunzi kwa Wanafunzi Wakipeana Mimba je kwa upande wa Sheria upoje Maana kuna Mwanafunzi wa Darasa la Tano kapewa Mimba na Mwanafunzi wa Form Four huko Wilaya ya Ulanga halafu hakuna kilichojiri.
 
Kama kichwa cha habari kinavyouliza je Wanafunzi kwa Wanafunzi Wakipeana Mimba je kwa upande wa Sheria upoje Maana kuna Mwanafunzi wa Darsa la Tano kapewa Mimba na Mwanafunzi wa Form Four huko Wilaya ya Ulanga halafu hakuna kilichojili.
Npo seat ya mbele naskiliza redio ya wanasheria.
 
Juzi kati kuna mdada alitubu kwamba alimsingizia kubakwa na kijana aliyekuwa mwanafunzi kidato cha nne, huku yeye akiwa cha pili. Kijana alipigwa mvua miaka 60 jela
 
Juzi kati kuna mdada alitubu kwamba alimsingizia kubakwa na kijana aliyekuwa mwanafunzi kidato cha nne, huku yeye akiwa cha pili. Kijana alipigwa mvua miaka 60 jela
Hili n funzo kuwa usisubutu kumtongoza mwanafunzi, utaozea jelaaa😆😆
 
Kama mwanafunzi akimpa ujauzito mwansfunzi mwenzake bado miaka 30 inamsubili mahakamani ni kinyume na sheria
 
Back
Top Bottom