wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Singida: Idadi ya wanafunzi wanaopata mimba katika shule za msingi na sekondari imepungua kwa asilimia 66.66

    WANAFUNZI wanaopata mimba katika shule za msingi na sekondari Singida imepungua kwa asilimia 66.66 kutoka mimba 54 mwaka jana hadi mimba 18, Novemba 30 mwaka huu. Ofisa Elimu Sekretarieti ya Mkoa wa Singida (REO), Nelasi Mulungu alieleza kuwa kati ya idadi hiyo, wasichana wa shule za sekondari...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA tunaamini kwamba umaskini ni laana na kila mwanachadema ni tajiri rohoni mwake

    Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake mzee Freeman Mbowe amesema chama chao kinaamini kuwa Umaskini ni laana na kwahiyo wataendelea kuhubiri sera ya utajirisho. Mbowe amesema kila mwanachadema ni tajiri wa Roho hivyo wanakerwa sana na viongozi wa CCM wanaoukumbatia umaskini. Mbowe...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Kibano wanafunzi watoro chawadia

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha waraka kudhibiti utoro shuleni ambao pamoja na mambo mengine, utapunguza siku na kuwa chini ya 90. Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki jijini hapa na Mkurugenzi Msaidizi Msingi na Uendelezaji wa Sera wa Wizara...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania NHIF mnapokeaje hela za vyuoni wanafunzi hata picha hawajapiga na wala kadi hawana?

    Kuna watu wanataka kurudisha nyuma maendeleo ya Mh. Magufuli na kwa hili lazima tuwakatae mapema. Baadhi ya vyuo wanafunzi wamelipa hela za NHIF kama bima na mpaka sasa hawajapiga picha wala kupewa kadi za bima wengine inakaribia mwezi wa tano sasa - Ustawi wa Jamii - Mwalimu Nyerere Nani...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha likizo wanafunzi

    Naomba kuwashauri wazazi wote najua vijana wengi hivi sasa wamefunga shule kwa ajili ya mapumziko, na ni wachache ambao wataendelea na masomo kama tution nk. Najua wengi wetu kama wazazi muda mwingi hatupo majumbani na tunakuwa katika shughuli zetu za utafutaji hivyo kuna uwezekano mkubwa vijana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mimba kwa wanafunzi Tanzania nini kifanyike?

    Habari za asubuhi wadau! Leo nilikuwa nasikiliza radio nikiwa kwenye daladala kwa kweli takwimu za wanafunzi wanaopata mimba ni kubwa sana. Huko mkoani Mwanza hali inaonekana ni mbaya zaidi. Kwa kweli takwimu inawezekana ni kubwa zaidi kwa sababu maeneo mengine ya nchi haya mambo hayaripotiwi...
  7. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Egerton chafungwa kutokana na mgomo wa wanafunzi

    Chuo Kikuu cha Egerton kimefungwa kwa muda usiojulikana kutokana na wanafunzi wa chuo hicho kufanya mgomo wakishinikiza kuruhusiwa kufanya mitihani yao ya muhula pasipo kukamilisha ada. Sambamba na hilo, chuo hicho kimetishia kuwasimamisha wanafunzi kwa mwaka mmoja ikiwa hawatokamilisha ada...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako, bado wanafunzi tunaibiwa Vyuoni, SUA na UDSM wamo

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi kwa kushirikiana na viongozi wa vyuo vikuu ilikuwa ikiiba pesa za wanafunzi hewa, walioacha masomo na hata waliofariki. Bahati mbaya hakuna hatua ya maana iliyochukuliwa. Kuna mtindo mpya wa wizi. Vijana wetu wanapomaliza masomo na kufuatilia vyeti, huambiwa...
  9. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chuo cha Maseno kimefungwa kufuatia mgomo wa wanafunzi

    Chuo Kikuu cha Maseno kimefungwa kutokana na kutokea kwa mgomo wa wanafunzi ambao unadaiwa kusababishwa na kukithiri kwa matukio na kesi za ubakaji ndani na nje ya Chuo. Aidha, kutokana na tukio hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Julias Nyabundi amesema kuwa "kutokana na kutokea kwa mgomo huo...
  10. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHASO - UDOM yuko mahabusu wiki ya pili sasa kwa kosa la kuwashawishi wanafunzi wa mwaka wa kwanza kujiunga na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHASO - UDOM bwana Henry Mang’era yuko mahabusu kituo cha Polisi Chimwaga kwa wiki ya pili sasa kwa kosa la yeye kuwa Chadema na kwamba anawashawishi wanafunzi wa mwaka wa kwanza kujiunge na CHADEMA chuoni hapo. Polisi wamemnyima dhamana kwa madai kuwa kosa hilo ni kuhatarisha...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Fedha ya mkopo kwa wanafunzi hucheleweshwa katika baadhi ya vyuo (Mfano IFM)

    Nimefuatilia na kupata kufahamu kuwa baadhi ya taasisi kwa elimu ya juu bado wanafanya michezo mibaya kwa fedha ya kujikimu ya wanafunzi. Wako watumishi wa hizo taasisi sio waaminifu na wanachelewesha kwa makusudi kabisa kutoa hizi fedha kwa wanafunzi kwa sababu wanazojua wenyewe. Hizi fedha...
  12. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ni kero kubwa kwa wanafunzi nayo imejigeuza mhimili

    Ukweli ni kuwa hii tasisi ni kero kubwa kwa wanafunzi kutokana na usumbufu wanaopata wanafunzi na wazazi. Wanafunzi walishajaza maombi lakini Bodi sasa imeanza kuleta masharti kama mganga wa kienyeji mara wanafunzi wanaambiwa walege nyaraka zile zile ambazo washaziwasilisha kwaajili ya mikopo...
  13. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Ni benki gani huwa zinasaidia wanafunzi wa Vyuo Vikuu (bachelor degree students) wanaokosa mikopo kutoka HESLB

    Habari za leo wakuu? As regard with the heading above, ninapenda kuulizia ni benki zipi zinaweza wasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu, mikopo ya ada tu (tuition fees), ili kufanikisha upatikanaji wa elimu kwa mlengwa? At any interest rate and which can be paid after completion of studies, maana...
  14. Faana

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye jukumu la kudhibiti ubora wa mitihani kabla haijawafikia watahiniwa?

    Naomba wadau msome hii paper mwanzo mpaka mwisho na kisha mtoe maoni kwa wahusika.
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa kuwafundisha wanafunzi njia za uzazi wa mpango kikamilifu ili tuweze kupunguza mimba za utotoni

    Mambo yamebadilika! Hakuna anayeweza kubisha! Nasi hatunabudi kubadilika, miaka ya nyuma kumfundisha mtoto kuhusu uzazi wa mpango ilichukuliwa kama ni jambo baya, lakini kwa hali ilivyo sasa elimu hii ya uzazi wa mpango ni yawote kuanzia watoto under 18 na vijana Elimu hii iambatane na elimu...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Mabinti darasa la 4 wauza pombe za kienyeji

    SHEHE wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Nurdin Mbawala amesema watoto wa kike kuanzia darasa la nne wanatumiwa na wazazi wao kuuza pombe za kienyeji hivyo kuhatarisha usalama wao. Aidha amesema hali hiyo inawaweka watoto hao katika hatari ya kutumika katika ngono wakiwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania kinara katika udahili wa wanafunzi elimu ya awali barani Afrika

    IMEELEZWA kuwa Tanzania ni kinara katika suala la udahili wa wanafunzi katika elimu ya awali barani Afrika na hivyo kuifanya kupiga kubwa katika utekelezaji wa maelengo ya maendeleo endelevu (SDGs). Mafanikio hayo yanatokana na serikali kutoa elimu bure bila malipo ambao umechangia kuongeza...
  18. G

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

    Mstahiki Mayor wa Jiji , Paroko , Mchungaji , Waandishi wa habari 7 , wamekamatwa leo na Jeshi la Polisi wakiwa Shuleni Lucky Vicent ambako Mayor alialikwa na Umoja wa Shule binafsi Tanzania , waliopenda kutoa rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa badala ya kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa . Wazazi...
  19. client

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Nimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki, shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha...
  20. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha nne 2009

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato Nne mwaka 2009. kusoma matokeo yote Link ipo hapa chini. TEMBELEA: LINK HII UKAONE MATOKEO YOTE http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm Ufaulu wapungua. Soma Pia: Matokeo ya form four 2008 Mzimu wa somo la Hisabati...
Back
Top Bottom