Back N days
JF-Expert Member
- Apr 9, 2026
- 318
- 839
Gentlemens woz-up?
Ipo hivi kuna mke wa mtu tulikutana tumezoea na kuanza mahusiano ya kimapenzi japo hatukuwai kutana kimwili hata siku moja .
Kwa maana anadai mme wake yupo nae anamchunga sana hivyo kutoka inakuwa kipengele kwake .
Sasa mimi nimeona isiwe case tuachane tu make nitakuwa nimeepuka mengi kuliko kuwa nae kwenye mahusiano na kusubili upenyo( nafasi) nipewe mbususu nichakate nimeamua kujitoa huko.
Au wakuu ninyi mnasemaje hapo?