Hapa nifanyaje wakuu

Hapa nifanyaje wakuu

real hustler

Senior Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
155
Reaction score
241
Mimi ni kijana wa miaka 29, baada ya kumaliza chuo nilipata intern ya kilimo ulaya mwaka 2023_2024
Baada ya kukamilisha nilirudi Tanzania kuendelea na maisha

Sasa katika kupambana ninaye jamaa yangu tuliokuwa naye abroad wote akanishirikisha kuna fursa zingine za kwenda nchini canada yakuwa ni very agency na muajiri anahitaji recent intern wenye experience nikaona kama ina make sense hiyo ilikuwa feb2025, nikaaply wenye hilo kampuni la agency ambao ni watanzania walitutaka tulipie usd 2500 na sio tshs kulingana na uhitaji na wakati huo dolla ilikuwa juu nikaingia gharama nikalipia nikujua safari ni jun2025

Ilipofika April wakadai tujiandae na issue za embasy nikaona safari hii hapa. Ulipofika mwezi wa tano bila kufanikisha issue ya embassy wakaanza sababu kuwa canada sasa wanasera mpya za immigrant hivyo tusubiri ulipofika mwezi wa sita hakukuwa na safari.

Tulipoanza kuhoji wakatuambia hata sisi hatuelewi tuvumiliane siku 45 siku hizo zilipoisha wakaja na story ya kuwa tumepata kazi spain atakayetaka tumfanyie transfer nikaona kama nimevumilia 6month hii ya spain nayo wamesema ni urgent only 3 month mnaondoka nikaona ngoja tuone.

Mwezi wa 11 tukapewa contract ambapo walituahidi feb mnaondoka ilipofika jan wakatuambia majina yetu employer kayapeleka embassy tujiandae ilipofika february hakukuwa na safari story ni vile vile tusubiri tena sasa wanasema wao hawajui safari itakuwa lini maana employer naye hajui kuhusu sisi

Tulipoomba hela yetu kwa kuwa tunaona hamna issue hapo wanatuambia mwajiri wa ulaya kasema hawezi rudisha hela hadi wapate watu wengine watakao replace kuondoka kwako ndio urudishiwe hela yako

Nimeleta huo uzi
Je nimetapeliwa
Niende polisi
Au hapo unanishaurije mwa JF na mimi ndio tegemeo nyumbani
Asante
 
Binti wa zamani umeamini jamaa ni msomi kweli?
 
Matapeli hao ......

Mkuu yan mbona hii ipo sana ? Ulijichanganyaje ? Ukiona mtu anakuambia lipia kitu flan upate kitu flani, mathalani kazi, nafasi au cheo... uwe makini mno ....

Kuna mhuni alienda kudinya malaya na hela yako, pengine mliuza ng'ombe huko Bush ndo ikapatikana hiyo pesa...

mtu yuko zake hapo mbagala anatumia WhatsApp namba ya nje mnawasiliana na email kumbe anakuchora tu ..... kubabake
 
Steve Harvey Wow GIF by NBC.gif

Ngoja nijifunze kunyamaza 🤭😂!
 
😂😂😂😂😂😂
506595.jpg
Hapana usiende polisi
Hapana haujatapeliwa
Hapana hapana nakataaa haujatapeliwa mkuu...
Unajua ni ngumu sana kukutapeli kama una miaka 29 ni ngumu mno.

Kuwa na subira hata miaka 3 haijafika unalalamika wamekutapeli
 
Matapeli hao ......

Mkuu yan mbona hii ipo sana ? Ulijichanganyaje ? Ukiona mtu anakuambia lipia kitu flan upate kitu flani, mathalani kazi, nafasi au cheo... uwe makini mno ....

Kuna mhuni alienda kudinya malaya na hela yako, pengine mliuza ng'ombe huko Bush ndo ikapatikana hiyo pesa...

mtu yuko zake hapo mbagala anatumia WhatsApp namba ya nje mnawasiliana na email kumbe anakuchora tu ..... kubabake
Hapana tulienda hadi ofisini kwao hapo daressalaam
Kingine ni kuwa mkataba walikuwa wanaficha jina la kampuni na namba ya muajiri
Tukiuliza kwa nini wanasema tunaweza wazunguka
Jumla tuko 9
 
Watu wanaoishi kwa shemej zao wanajua kutupanga aisee, tatzo wanakoseaga kidogo script yao inakua kama filamu za bongo muvi sasa watu tuliozoea filamu za kijajusi za Hollywood na zilizoigiziwa hata scene Moja Budapest, Brussels au Tehran tunagundua mapema ni CHAI
 
Mimi ni kijana wa miaka 29, baada ya kumaliza chuo nilipata intern ya kilimo ulaya mwaka 2023_2024
Baada ya kukamilisha nilirudi Tanzania kuendelea na maisha

Sasa katika kupambana ninaye jamaa yangu tuliokuwa naye abroad wote akanishirikisha kuna fursa zingine za kwenda nchini canada yakuwa ni very agency na muajiri anahitaji recent intern wenye experience nikaona kama ina make sense hiyo ilikuwa feb2025, nikaaply wenye hilo kampuni la agency ambao ni watanzania walitutaka tulipie usd 2500 na sio tshs kulingana na uhitaji na wakati huo dolla ilikuwa juu nikaingia gharama nikalipia nikujua safari ni jun2025

Ilipofika April wakadai tujiandae na issue za embasy nikaona safari hii hapa. Ulipofika mwezi wa tano bila kufanikisha issue ya embassy wakaanza sababu kuwa canada sasa wanasera mpya za immigrant hivyo tusubiri ulipofika mwezi wa sita hakukuwa na safari.

Tulipoanza kuhoji wakatuambia hata sisi hatuelewi tuvumiliane siku 45 siku hizo zilipoisha wakaja na story ya kuwa tumepata kazi spain atakayetaka tumfanyie transfer nikaona kama nimevumilia 6month hii ya spain nayo wamesema ni urgent only 3 month mnaondoka nikaona ngoja tuone.

Mwezi wa 11 tukapewa contract ambapo walituahidi feb mnaondoka ilipofika jan wakatuambia majina yetu employer kayapeleka embassy tujiandae ilipofika february hakukuwa na safari story ni vile vile tusubiri tena sasa wanasema wao hawajui safari itakuwa lini maana employer naye hajui kuhusu sisi

Tulipoomba hela yetu kwa kuwa tunaona hamna issue hapo wanatuambia mwajiri wa ulaya kasema hawezi rudisha hela hadi wapate watu wengine watakao replace kuondoka kwako ndio urudishiwe hela yako

Nimeleta huo uzi
Je nimetapeliwa
Niende polisi
Au hapo unanishaurije mwa JF na mimi ndio tegemeo nyumbani
Asante
Umeliwa
 
Watu wanaoishi kwa shemej zao wanajua kutupanga aisee, tatzo wanakoseaga kidogo script yao inakua kama filamu za bongo muvi sasa watu tuliozoea filamu za kijajusi za Hollywood na zilizoigiziwa hata scene Moja Budapest, Brussels au Tehran tunagundua mapema ni CHAI
Tehran....
Aiseeee yule binti ana hatareeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom