The Black Hermit
Member
- Jul 8, 2017
- 86
- 73
Hahahaa. Napata ngapi? Niwekee poll hapo. Kwangu ni muhimu kwa ajili ya kurekebisha.hongera kwa kuandika endelea kujifua zaidi ila asilimia 100 haupati
tayali ila next time usitupe kazi ya kuanza ku download kwanza ndo tusomeHahahaa. Napata ngapi? Niwekee poll hapo. Kwangu ni muhimu kwa ajili ya kurekebisha.
weka humu tusome sio pdf halafu ndo tunatoa marksHahahaa. Napata ngapi? Niwekee poll hapo. Kwangu ni muhimu kwa ajili ya kurekebisha.
Jaji win 😁tayali ila next time usitupe kazi ya kuanza ku download kwanza ndo tusome
jamni si kasema mwenyew tumpe marks au nimekosea😂Jaji win 😁
Hamna ila unafaa kuwa jaji wa BSS au Americans Gots Talent 😁jamni si kasema mwenyew tumpe marks au nimekosea😂
loooh nimechekaaa,, huko nitakula watu vichwa mpka nilogwe😂Hamna ila unafaa kuwa jaji wa BSS au Americans Gots Talent 😁