Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,674
- 37,852
Habari wote
Kuna dogo katoka kuchukua hukumu akapoteza maeneo ya Mbezi. Hukumu hii ilikuwa kumwondoa msimamizi wao wa mirathi.
Baada ya kupiga nkamwomba anipe mda nijee jukwaani kwan kuna procedure gani za kufanya. Baada ya kupotexa alimpigia hakimu akamwambia inabidiii arudi tena Mbeya......
Nikawaza ni lazima arudi yeye ama anawexa enda mtu anaemjua awakawasiliana na mh. Maana mh anasisitiza lazima aje yeye. Na kama kwenda inapelekwa lost report pekee ama kuna proud zingine....
Asallamaleykum..........