Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ...
Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta.
Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...