nenda hapo nilipokwambia hutakosa hata lori la kuja dar bro usiogope kujieleza amini hutakosa msaada lakin hapa jf ndugu yangu?!@% nakutakia kila la heriKufikia na kulala haina shida mkuu,yaani Mimi nifike tu kimara kesho .Mambo yangu yatakaa tu sawa mkuu.
Imekua dharura ndio maana nafanya Kila namna kupata msaada.
Mimi ni man though
Shida yangu sio Siri na mawasiliano yangu +255757993812
Sawa ndugu yangu,Sina ninachoogopa ila tu wengi ninaowatajia kiasi nilichonacho wanaishia tu kucheka.nenda hapo nilipokwambia hutakosa hata lori la kuja dar bro usiogope kujieleza amini hutakosa msaada lakin hapa jf ndugu yangu?!@% nakutakia kila la heri
we amini utampata wako tu tena hata utashangaa mara ya mwisho unapata gari utalosafiri bila kuchokaSawa ndugu yangu,Sina ninachoogopa ila tu wengi ninaowatajia kiasi nilichonacho wanaishia tu kucheka.
Though bado sijakata tamaa