wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nilitoa rai kwa wanaharakati na chadema kuwa waambie ulimwengu hivi kuhusu kupewa rasilimali zetu na Watawala kama walivyofanya wakenya. Soma bango

    na kwetu hili linatufaa kuimbia dunia, kesho tukiwafukuza wasione tunavunja sheria za mikataba ya kimataifa!
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya imewasikiliza Wakenya. Sisi tunajadili Mwijaku na Masoud Kipanya

    Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya kuondolewa. Baada ya mbinyo toka Kwa Wakenya Kwa zaidi ya wiki Moja hatimaye serikali imekubali yaishe...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya ni watu wenye roho nzuri sana

    Ingawa wakati mwingine Watanzania na Wakenya hushambuliana kwenye mitandao ya kijamii, haimaanishi kuwa ni maadui. Utani wao ni kama ugomvi wa watoto wanaofuatana kuzaliwa. Linapokuja suala la shida au changamoto, uhalisia wa mahusiano yao hujithihirisha. Husaidiana. Ingawa Watanzania na...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wengine pamoja na Kujipendekeza kwetu Kwao ila bado hawatuthamini na hawatupi Heshima kama hii aliyopewa Ruto, Kenya na Wakenya

    Washington : Rais wa Marekani Joe Biden amemkaribisha mwenzake wa Kenya William Ruto katika ikulu ya White House kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kuipa nchi hiyo ya Afrika Mashariki hadhi ya mshirika mkuu wa Marekani ambaye sio mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO. Chanzo: DW...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mnaitia aibu Africa. Hivi ndivyo Dunia inavyofahamu kuhusu Kenya 🇰🇪

    WELCOME TO KENYA WHERE:- 1. Girls handbags carry everything necessary for sleepover except their fare back home 2. When you are served little chips in a restaurant, you drink their Tomato Sauce like Pepsi 3. Youths don't pray before eating but take pictures of the meal first then post it on...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya na Waganda wanapiga hela sana Somalia. Tupeane mchongo, mnawezaje hiyo nchi?

    Wakenya walio Somalia wanatuma wastani $500,000 kwa siku, noma sana yaani mlifikaje huko na mnavumiliaje hayo mabomu, nchi yenye misuko suko ya kidini. ========= Somalia has emerged as a new source of remittances for Kenya and Uganda, accounting for $180 million and $21.9 million respectively...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

    Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana. Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa. Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa. Ukiangalia hii video unaweza toa machozi. Jamaa ana akili sana.
  8. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyike kwao

    Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa. Sisi wabongo...
  9. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Igoma 2 Buhongwa na Wakenya

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi huu inajengwa na mkandarasi mchina aliyetokea Kenya. Sasa huyu mchina amekuja na wakenya hapa mpaka wadada washika vibendera uelewe. Alikuwepo jamaa mmoja alikuwa akitoa taarif uhamiaji wakija wanapewa sabuni ya roho baadaye...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kiswahili kinagombewa na Wakenya kuliko Tanzania

    Yani inauma sana hawa wakenya wanajua kutembelea code za Tanzania kwenye fursa zilizopo hapa. Kumbuka Kenya asilimia kubwa imejaa kikabila kuongea na ndio maana lugha yao kubwa ni Kingereza ila suala la kujitangaza kiswahili kipo kwao wameshinda hili. Nimeshangaa fursa hii tumeshindwa kupeleka...
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi DCI na makampuni ya simu wanavyopata taarifa za maeneo ya Wakenya hata kama GPS na Data zikiwa zimezimwa

    Vyombo vya usalama na makampuni ya simu wanaweza kutumia teknolojia kupata mahali ulipo kwa madhumuni mbalimbali. Katika mazingira ambayo teknolojia ya kidijitali yanabadilika kila wakati, uwezo wa kubainisha eneo la mtu umekuwa zana muhimu kwaajili ya utekelezaji wa sheria kwenye idara kama...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanaoishi nje ya nchi hutuma trilioni 10 nchini kwao, Watanzania hutuma bilioni 700, tukifata ushauri wa Lowassa kuhusu elimu, tutafikia Kenya

    Katika nchi ambayo ina wasomi wengi sana nje ya nchi, ni Kenya. Kenya wamewekeza katika elimu ambayo inajibu mahitaji ya soko la dunia, wasomi wao wanakubalika sana duniani. Katika kuenzi maisha na falsafa za Lowassa, ni vyema tiwekeze katika elimu ya watamzania, na tufungue milango kwa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Nay wa Mitego umewagusa Wakenya, wajiuliza ni jiwe kwa serikali yao au kwa Tanzania!

    Wakuu, Nay wa Mitego amedondosha jiwe jingine, ngoma inaitwa "Wapi Huko", kwenye wimbo huu anagusima mambo mengi ikiwemo hali ngumu ya maisha, akisema kwenye nchi hiyo bei ya pombe ni rahisi kuliko chakula, uchumi unachechemea, muda wa kazi umeme haupatikani, soka imeingiliwa na siasa, wananchi...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3

    Tanzania kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba, ameahidi kutatua na kusuluhisha mzozo wa Kenya na Tanzania Airways. Kupitia chapisho kwenye X, January alifichua kuwa alizungumza na waziri mkuu wa Kenya, Musalia Mudavadi, na kuahidi kusuluhisha suala hilo ndani ya siku 3 kulingana...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachangiaji wa Jukwaa la JF English ONLY FORUM ni Wakenya, Waganda,. Wanyarwanda na Watanzania ni wa Kuhesabika?

    Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni bora kuliko Kenya, Lissu apingwa na Wakenya kwa ushahidi, anatia aibu.

    Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani? https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa Wakenya kwenye riadha

    Muneria Wins Malaga Marathon in Spain as Kenyans Rule Road Races in Busy Weekend for Athletics The 2016 Africa Cross Country bronze medalist Charles Muneria clocked a personal best of 2:08:54 to win the Malaga Marathon on Sunday as part of what was a plentiful harvest for Kenyans in various road...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wakenya walitamani Hayati Magufuli angekuwa Rais wao, wamempata Ruto

    Ndugu zangu wana JF, ni matumaini yangu mko sawa kabisa. Rejea kichwa cha mada chahusika. Hawa majirani zetu walitamani sana Hayati JPM angekuwa Rais wao enzi za uhai wake. Binafsi naona kama maombi yao yamejibiwa na Mungu kawajalia kumpata William Samoei Ruto, ambaye ana sifa karibia sawa...
  19. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wapata ladha kidogo ya mgao wa umeme jana 10/12/2023

    Jana Jumapili jioni 10/12/2023 Kenya ilikumbwa na mgao ulioathiri nchi nzima na kusababisha huduma kusimama katika sehemu zote za nchi. Tatizo hilo lilianza majira ya saa mbili usiku na ilikuwa ni mara ya tatu kutokea likiathiri nchi nzima katika miezi mitatu iliyopita Miongoni mwa taasisi...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kama Wakenya wameweza, sisi tunashindwa kwenda kujifunza kwao?

    Inasemekana, kuna wakati Wakenya walikuwa wanakuja Tanzania, nafikiri Gairo, kununua viazi mviringo na kwenda kuvifsafisha, kuvigrade, na kuvifanyia packaging kisha kuvisafirisha kwenda sokoni Dubai. Inasemekana, Wakenya hua wanavifuata vitunguu Tanzania, si kwa ajili ya kuviuza Kenya, bali...
Back
Top Bottom