wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni akanusha kupelekwa ICU. Awashukia Wakenya

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewataka wananchi wa Taifa hilo kutupilia mbali anaouita uzushi wa kuwa amefariki kutokana na Uviko-19. Hatua hiyo inakuja baada ya siku kadhaa kupita tangu Rais huyo atangaze kukutwa na ugonjwa huo. Kiongozi huyo wa muda mrefu siku ya Jumanne Juni 13, 2023...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Romania nchini Kenya, awafananisha Wakenya na nyani mkutanoni

    Romania kumuondoa balozi wake nchini Kenya kwa matamshi yake ya ubaguzi Matamshi ya balozi huyo kuwaita waafrika Nyani yameshutumiwa vikali Afisa mmoja wa Kenya anaelezea majaribio ya ubalozi wa Romania kuficha tukio hilo kama ‘fedheha’. Photo: TRT Afrika Katika taarifa iliyotumwa kwa vyombo...
  3. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wakenya walivyotupasha ukweli leo

    Zaidi soma hapa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania muwe Makini Wakenya wameanza tena Chokochoko zao

    Nlikuwa Paris Ufaransa kwenye Mkutano wa the smartest young people of the World. Nilipitia hapo nikitokea Berlin Ujeruman ambako nlienda msalimia rafiki yangu mmoja wa Kitambo ambaye alikuwa amechanganyikiwa kidogo kuwa na pesa nyingi halafu hajui sasa atumieje so kichwa kikawa kinamuuma...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto anasema hapati Usingizi kwakuwa Wakenya Wana Maisha magumu, je, Wengine inakuwaje Wanaupata na Kunenepeana hovyo?

    Katika Kuadhimisha Siku ya Madaraka huko nchini Kenya Rais Ruto kasema anakosa Usingizi akiwaza Kupanda kwa Gharama za Maisha kwa Wakenya na hali Ngumu ya Maisha. Chanzo: Gazeti la The Standard. Nami GENTAMYCINE Rais wa JamiiForums namjibu Rais Mwenzangu wa Kenya Ruto kuwa napata mno Usingizi...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Tupeni Uzoefu Wenu Kuhusu Passport

    Kwa Tanzania, sharti uwe na safari ndiyo utapewa pasi ya kusafiria(passport). Utaratibu ukoje Kenya?
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa Ugomvi wa Kimapenzi, Mama amchoma mwanaye Visu zaidi ya 100, amla Utumbo na Figo

    Wakuu, Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana. Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Wakenya sita washtakiwa kulipua mabomu DRC kisa dini

    Jameni huu uzombi wa kidini hunishangaza sana, Mwafrika unaingiwa na uzombi unakwenda kwenye nchi ya Mwafrika mwenzako na kulipuka mabomu huko. Yaani hata ndugu wa damu akishaingia kwenye hii dini inabidi kumsahau kabisa ndio keshamezwa, unatakiwa kuwa makini naye muda wote.....Sijui kitu gani...
  9. murthehelp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Maandamano yanawasaidia?

    Mbona nchi yenu iko vizuri, na kilichopelekea kukengeuka ni nini? Haya maandamano naona kama hayana maana yoyote kwa sababu sioni mahala mnapo gombania. Mmeweka mambo jumla jumla hamtaki kutafuta mchawi wenu mmekaa mnapiga makelele tu. Endeleeni, msimu wa mvua unaenda kuisha hakuana chakula...
  10. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

    Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili. Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Wakenya kuamka na kukataa kuendeshwa na huyu babu

    Awake! Awake! All Kenyan, Wakenya wasikubali kuendeshwa na huyo mzee ambaye tayari amekwisha kula chumvi nyingi. Wakenya waamke wasimame imara wasikubali kushawishiwa na kufanya mambo ya kipuuzi, ambayo yataharibu sifa nzuri ya Taifa yao ya Kenya kwa uroho ya madaraka ya mtu mmoja asiyetosheka...
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania No Honey No Fear: Mbowe ajifunze kwa Raila, Wanachadema wajifunze kwa Wakenya

    Kinachotokea 254 kwa sasa ni ishara na lama tosha ya kuonesha uimara wa upinzani nchini Kenya. Lakini uimara huu haukuja hivihivi , ulikuja kwa gharama, jasho na maumivu. Raila licha ya ndoto zake za kuukwaa uraisi pamoja na kuwa anaongoza ngome yabupinzani yenye nguvu kabisa huko KE kuliko...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz, Watanzania tukueleweje? Unawauzia Wakenya Gesi yako Bei Chee na kwa Watanzania unatuuzia Bei Juu?

    "Kuanzia Mwezi wa Tano nategemea Kutangaza Kuuzwa kwa Gesi zote nchini Kenya kwa Tsh 500/ ya Kenya ( kama Tsh 9,500/ hadi Tsh 10,000/ tu za Tanzania ) kwani tayari Rafiki yetu kutoka Tanzania Rostam ameshakuja Kuwekeza hapa Kwetu hivyo nataka Wakenya wafurahie Maisha na wapate Gesi kwa gharama...
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Raila Odinga anawezaje kupata wafuasi wengi hivi Kenya? Amewaloga Wakenya na uchawi gani?

    Wakuu kwema? Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online Na kama kuna wizi...
  15. Bemendazole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

    Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania. Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
  16. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti: Wakenya zaidi ya Milioni 6 wanakabiliwa na Njaa Kali

    Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022. Pia, ripoti imeonesha zaidi ya Watoto 970,000 wenye chini ya miaka 5 na akina Mama Wajawazito na Wanaonyonyesha...
  17. comte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya seeks divine help to end crippling, ongoing drought

    With the prospect of a sixth consecutive failed rainy season in the east and Horn of Africa, Kenya's president is hoping the heavens will finally open with the help of a national day of mass prayer on Tuesday. William Ruto announced the plans for the country's first ever day of prayer on Sunday...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanavyonyanyasa Watanzania kampuni ya Unilever Tea Tanzania (Mufindi)

    Wakuu habari za asubuhi? Rejea attachment mbili hapo chini. Mmoja inaonyesha video ya mfanyakazi wa Unilever Tea Tanzania( mufindi) akizuiliwa kuingia ofisini. Attachment ya pili inaelezea mkasa mzima. My Take: Kumekua na unyanyasaji wa Wakenya dhidi ya wa Tanzania kwa muda mrefu sana. Tangu...
  19. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya kuandamana kupinga ushindi wa Rais William Ruto

    Pamoja na rais wa kenya William Ruto kukejeli maandamano ya Azimio na kuwapiga dongo viongozi wa umoja huo kuwa wamepeleka watoto wao kwenye bunge la Afrika Mashariki, bado wananchi wameonyesha umoja na wao na msimamo kuwa wataandamana. Hapo kabla wananchi walionekana kumuunga mkono Rais wao...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela inayotumwa na Wakenya walio nje ya nchi yapita mapato mengine yote

    Uraia pacha unazidi kuinemeesha Kenya, Wakenya wanapiga hela huko na kuzituma balaa, yaani wamepitiliza kila aina nyingine ya mapato ya nchi... Kenya is now earning more foreign exchange from diaspora remittances than each of its major exports – coffee, tea and horticulture – in spite of...
Back
Top Bottom