Tujifunze kwa Wakenya kwenye riadha

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
1,989
1,179

Muneria Wins Malaga Marathon in Spain as Kenyans Rule Road Races in Busy Weekend for Athletics

The 2016 Africa Cross Country bronze medalist Charles Muneria clocked a personal best of 2:08:54 to win the Malaga Marathon on Sunday as part of what was a plentiful harvest for Kenyans in various road races across the globe.

In second place was Moroccan Abdelilah Elmainouni who timed 2:09:48 as another Kenyan, Moses Mitei, came third in 2:11:31.

The triumph was Muneria's second in three months following his win at the Munster Marathon in Germany where he clocked 2:09:07.

In the women's race, two-time Daegu Marathon champion Pamela Rotich clocked 2:33:52 to take top honour as Moldova's Lilia Fisikovici (2:34:12) and Swedish Hanna Lindholm (2:34:50) finished second and third respectively.

Rotich's last race was at the Buenos Aires Marathon in September where she ran a faster time of 2:27:37 to finish third.

At the Guangzhou Marathon, it was redemption for Moses Kibet after he clocked 2:09:20 to clinch the men's race, ahead of fellow countrymen, Felix Kibitok (2:09:50) and Kibrom Desta Habtu of Ethiopia (2:12:57) in second and third respectively.

The win was an early Christmas gift for Kibet and a perfect way to wipe away the tears of finishing an underwhelming fifth at the Sydney Marathon in September where he clocked 2:13:28.

It was not to be for Kenya in the women's race of the same competition as Risper Chebet narrowly missed out on the podium places, finishing fourth in 2:38:31.

Ethiopian Guteni Shone Imana led a clean podium sweep for her country, timing 2:28:30 in first, ahead of Chaltu Chimdesa (2:33:13) and Yenenesh Dinkesa (2:37:13).

At the Mersin Marathon in Turkey, the 2019 Istanbul Half Marathon champion Bernard Kipkorir timed 2:09:33 to lead a clean podium sweep for Kenya in the men's race.

His compatriots, Asbel Rutto and Hillary Kipchumba clocked 2:09:46 and 2:10:11 to finish second and third respectively.

Paul Lonyangata was victorious at the Honolulu Marathon, timing 2:15:42 in first place as Eritrean Filmon Ande (2:16:01) and another Kenyan, Ruben Kiprop (2:17:32), finished second and third.

Cynthia Jerotich Limo clocked 2:33:01 to win the women's race as Ethiopians Sintatehu Getahun (2:35:16) and Kasu Bitew Lemeneh (2:36:04) took the next two podium places.

Provided by SyndiGate Media Inc. (Syndigate.info)
 
Ukiangalia utitiri wa washiriki wa mbio ndefu (Marathon) toka Kenya kwenye weekend moja tu na ufanisi wao kimatokeo, ni dhahiri wenzetu wamewekeza sana kwenye riadha hasa marathon. Kwavile Tanzania nayo ipo katika bonde la Ufa kunakoaminika kutoka wanariadha mahiri wa mbio ngefu, sio vibaya Dr, Ndumbaro na Msigwa kutembelea Kenya kupata mbinu wanazotumia wenzetu kuralisha jeshi kubwa la wanariadha mahiri.
Ahsante
 
Ulikuwa na maana ipi kukopi kwa lugha ya Kiingereza wakati kichwa cha habari ni kwa lugha ya Kiswahili? Acha ulimbukeni andika kwa Kiswahili
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Ulikuwa na maana ipi kukopi kwa lugha ya Kiingereza wakati kichwa cha habari ni kwa lugha ya Kiswahili? Acha ulimbukeni andika kwa Kiswahili
Mkuu Kinumbo salamu kwako.
Ukiangalia source au Author wa taarifa za matokeo hayo ya wakenya sio mimi na mimi nia yangu kubwa sio kuwapa taarifa za hayo matokeo yao mazuri kweye riadha bali ni kuonyesha kwamba sisi watanzania tunalo la kujifunza toka kwa majirani zetu. Kwa kuzingatia maelezo yangu Mkuu Kinumbo mimi sio limbukeni hivyo nasubiri kuombwa radhi.
Ahsante
 
Hatuwezi kuwa specialist wa kila kitu.......
Hakuna mtu wa kawaida anapenda riadha Tanzania hii.
Mkuu STALIN J V salam kwako.
Dhima ya kuleta hili bandiko ni kuwaonyesha viongozi wa Michezo kwamba kuna fursa ambayo hatujaitumia vizuri bila kujali ni wangapi wanaupenda huu mchezo. Mwaka 2003 Tirunesh Dibaba. toka Ethiopia wakati huo akiwa na miaka 17 alishinda mbio za Metre 5000 kule Ufaransa na kuwa Bingwa wa dunia mdogo kabisa kuwahi kutokea. Huu ushindi wa Tirunesh Dibaba. unisisimua sana na bado naukumbuka hivyo nimeta hili bandiko ili kuwahimiza RT na TOC kuamka katika usingizi

View: https://www.youtube.com/watch?v=h7Vcbftbsks

View: https://www.youtube.com/watch?v=yDJ8TtaWK60
 
Mkuu STALIN J V salan kwako.
Dhima ya kuleta hili bandiko ni kuwaonyesha viongozi wa Michezo kwamba kuna fursa ambayo hatujaitumia vizuri bila kujali ni wangapi wanaupenda huu mchezo. Mwaka 2003 Tirunesh Dibaba. toka Ethiopia wakati huo akiwa na miaka 17 alishinda mbio za Metre 5000 kule Canada na kuwa Bingwa wa dunia mdogo kabisa kuwahi kutokea. Huu ushindi wa Tirunesh Dibaba. unisisimua sana na bado naukumbuka hivyo nimeta hili bandiko ili kuwahimiza RT na TOC kuamka katika usingizi
sawa
 
Kenya shida ya ajira Rasmi kubwa mno na ardhi inamilikiwa na wachache hivyo mkenya akikosa ajira na ardhi hawana ukoo wake hujitumbukiza kwenye riadha nk kutafuta pa kutokea kimaisha

Siku hilo tatizo likifika kwetu na sisi tutakuwa na wakimbiaji kibao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom