wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanajitangaza wao ndio wenye Lugha ya kiswahili ila kuongea kwa ni shida ila ndio wanatambulika kuwa ndio lugha inatoka kwao

    Leo nimepata mgeni toka nchi ya urusi kaja kupumzika.ila alicho niambia watu wengi huko wanajua lugha kiswahili inatoka kenya. ili jambao bado nauliza sana kwa nini si watanzania tumelala sana.kesho kutwa Falme za kiarabu zitakuwa na mbuga kubwa ikitambulika asili yake ikitoka tanzania. watu...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

    Huyo jamaa pembeni sijui ni mwanasheria au la, anamzuia zuia jamaa kuyamwaga, jamaa hamsikilizi kabisa anamwagika tu. This Spirit! Imebidi maaskari polisi wafanye kazi yao kumnyamazisha kwa kumtoa kizimbani ili kutetea watawala wanaosemwa Tuje Huku kwetu sasaaa, kulia yupo Magoma, Kushoto ni...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Waandamana IMF kupinga Serikali ya Kenya isipewe Mikopo

    Raia wa Kenya Wandamaana kutaka Shirika la IMF wasitoe Mikopo kwa Serikali ya Kenya Julai 20, 2024 raia wa Kenya walifanya maandamano katika makao makuu ya IMF jijini Washington DC kutaka serikali ya Kenya kutokupewa mikopo na Shirika hilo kwani inatumika kizembe Wakenya wamelaumu Shirika hilo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Join the chain na CHADEMA digital ilikuwa miradi ya Mbowe na Wakenya

    Aliyekuwa Mwanachama, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge kwa kipindi cha miaka 10 kupitia chama hicho ambaye hivi karibuni alirejea Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amemshutumu Mwenyekiti wa Chama hicho...
  5. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wakenya wameanza kumpigia debe January Makamba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya AU

    Raia wengi wa Kenya katika mitandao ya kijamii hasa ule wa X wameonekana 'kumgeuka' mgombea wao wa nyumbani Raila Odinga na badala yake sasa wanamuunga mkono January Makamba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika(AU). Katika taarifa inayosambaa mitandaoni, Wakenya wanadai kuwa wamuzi wao...
  6. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kwenye mahoteli yetu wameajiriwa Wakenya

    "Mna tabia ya kufikiri Wakenya wana akili sana, Wakenya hawana akili yoyote ya maana kuliko Watanzania ila tofauti yao na sisi wale walifundishwa Kiingereza tangu chekechea kwahiyo ukienda kwenye mabenki yetu, mahoteli ya mbuga za wanyama huko wameajiri Wakenya kwa sababu waliandaliwa kushindana...
  7. funaku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri, katiba mpya ni mwiba kwa Wakenya!

    Matatizo ya kuvamia na kuiga mifumo ya walami bila upembuzi yakinifu yanadhihirika sasa. Nchi tuliyoambiwa imepiga hatua mbele katika kufuata demokrasia sasa inaumbuka na inashindwa kujinasua kwenye sakata la maandamano. Tuliaminishwa vurugu zingeweza kuondoshwa na uwepo wa katiba mpya lakini...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Wakenya watu wa ajabu sana aisee .unaharibu nchi yako kwa sababu ya Kodi?

    https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi? Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao kama nchi Moja huko mbele kwenye maswala ya EAC
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wakenya kutaja mali za Watumishi wa Umma na kuwauliza wamezipataje!?

    Baada ya kufanikiwa kwa kiasi kwenye maandamano ya kuzuia muswada wa sheria ya fedha uliopitishwa na wabunge usisainiwe na Mh Rais,Wakenya sasa wanakuja na namna nyingine ya kuwatambulisha wezi wa mali ya Umma,Wananchi wa Kenya wameonelea kutaja mali za watumishi wa Umma,wabunge na mawaziri ili...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

    Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda...
  11. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  12. El Roi

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanawapa viongozi wa Tanzania ujumbe.

    Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka. Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha maandamano hayo hayana lengo. Ilianza na kutaka budget irekebishwe kwa kile walichodai maisha magumu...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya taratibu please msiivuruge nchi yenu!

    Wakenya, wenzetu ndugu zetu na majirani zetu. Yanayoendelea kwenu si ya kufurahisha na hata wanoshabikia hawaelewi mateso yanayowapata baadhi ya wakenya. Msiivuruge nchi yenu tafadhali. Ilindeni amani yenu na tatueni matatizo yenu kwa amani. Vijana Gen Z, waombwe watuulie wakati wazee toka...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

    1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini? 2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand? 3. Who will be next? and come up fully with your demands? Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
  15. Shobi

    JamiiForums Tanzania Wakenya wana pesa kweli

    Asubuhi kuna fundraising ilianza kiutani huko M-Changa nikaona wameweka target Milion 10 ya Kenya sawa na kama milioni 200 ya Tz Kwa ajili ya kutibu walipata majeraha Jana.. Jioni hii nikusema ngoja nikaone zimefika ngapi kucheki duuh wameshapita Ile target na ilikuwa ni ya siku 26 bado siku 25
  16. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hata hawajui mantiki ya Generation Z ni nini. Wanafuata tu kama mkumbo

    Ndio maana kila siku ninasemaga Wakenya wanayo safari ndefu sana ya kujitambua kwa sababu wamekubali kuwaweka wazungu kwenye vichwa vyao. Sasa hivi huko mitandaoni utawasikia Wakenya " Generation Z this" Generation Z that" Na wanaona fahari kweli kuonekana wanajua kuhusu Generation Z...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Watanzania ni hawana uchungu kuliko Wakenya?

    Fikiria juu ya ufisadi wa Kagoda, Meremeta, Richmond, na ule wa enzi za Jakaya. Je , sasa hivi? Mahindra tech, Waarabu waliouziwa bandari? Mbona Watanzania hawaipiganii Nchi yao kama Wakenya? Mama anaenda Oman kusalimia Wajomba. Kodi za Watanganyika hazitumiki?
  18. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania KAMA UNATAKA KUJUA MAANA HALISI YA UZALENDO NA NCHI YAKO ANGALIA KWA WAKENYA

    Kiukweli ndani ya Africa mashariki na Kati hakuna nchi yenye wananchi wenye UZALENDO NA uchungu na nchi Yao kama wakenya. Hawa jamaa wamekunywa maji ya bendera sio poa, nchi nyingine MASKINI na zisizo na UZALENDO NA DEMOCRACY ya kweli zinanatakiwa ziangalie WAKENYA. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥
  19. G

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wakenya kwenye kujitetea juu ya ongezeko la kodi

    Nimeona hawa vijana wa Kenya wapo tofauti sana na hapa kwetu, Kwenye suala la kulimbikiziwa tozo na kodi hawanong'oni kimya kimya mitandaoni, ni wamechachamaa !! Wana spirit ya kuhoji vitu, "Inakuwaje Kenya inapokea matrilioni ya misaada kila mwaka na kuomba mikopo yamatrilioni kwajili ya...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Wakenya katika suala la uzalendo kwa nchi zao!

    Nawalinganisha kama ifuatavyo: 1. Viongozi Kenya inaweza ikawa na viongozi wengi wabinafsi, sema wanathibitiwa na Katiba yao imara. Tanzania imeshawahi kuwa na wazalendo wachache kama hayati Nyerere, Magufuli na Sokoine. Kwa sasa, kuna Tundu Lissu, Jerry Slaa, Joseph Warioba, n.k., lakini...
Back
Top Bottom