Mradi wa Igoma 2 Buhongwa na Wakenya

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
7,415
14,183
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mradi huu inajengwa na mkandarasi mchina aliyetokea Kenya.

Sasa huyu mchina amekuja na wakenya hapa mpaka wadada washika vibendera uelewe. Alikuwepo jamaa mmoja alikuwa akitoa taarif uhamiaji wakija wanapewa sabuni ya roho baadaye wanamchomesha kuwa ndiye aliyewapa taarifa mpaka wakamfukuza kazi Mana alikuwa anawachomesha.

Kuna madereva ambao Ni wakenya mpaka saveya ni Mkenya. Mpaka Engineer ni Mkenya. Mie nakuuliza kuwa Hakuna watanzania ambao wanaweza wakazifanya hizi kazi. Na mradi ulipoanza mamia ya watanzania walisotea kazi ,wakaambulia na wapo ambao hawakuambulia kitu.

Kitu mie naumia Ni kuwa huyo mchina wakija uhamiaji kuwacheki hao jamaa wanapigwa something wanasepa.

Ninaomba hili suala liweze kuwafikia DC, diwani, RC, mbunge mabula pia na waziri wa kazi kuwa hili suala walijue na wapo kwa ajili ya watanzania naombeni muwatumikieni Watanzania kwa moyo mmoja.

Tembeleeni huo mradi na muongee na wafanyakazi ambao Ni wa kitanzania watawaambia Mana kuna hii Hali ndio huwa inapelekea machafuko wakati mwingine. Mradi unafanyika nchini kwetu na utalipwa kwa Kodi za watanzania Mana Ni mkopo kutoka WB.

Naumia tunavyodharaulika Watanzania. Nina Imani ni nchi yenye utaratibu sio lazima vurugu ifanyike Mana saivi tuna vijana kibao wamesoma wapo mtaani Kuna kazi ikitangazwa elimu kunzia diploma hata nafasi 10 tunaweza kupata maombi milioni moja ni kidogo.

Mradi huu uwanuifaishe watanzania wote. Mie Ni mtanzania na mwananchi mwenye moyo na mapenzi ya dhati kabisa na Tanzania na Watanzania.

Nina Imani na viongozi wetu hili suala watalishughulikia sio lazima Raisi Samia ahusike Mana anao wasaidizi wake wanaomsaidia kazi.

Ahsanteni.
 
Acha roho mbaya wewe Tanzania sio kisiwa,kiasi kwamba wageni hawatakiwi.

Kumbuka hata huko Kenya kuna watanzania wengi tu wana tafta riziki zao huko,pia dunia nzima kuna watanzania wengi.

Wewe kama akili yako haina ufahamu au upeo mpana wa kujitafta tulia hivyo hivyo, unataka serikali iwafukuze ili iweje sasa.

Una maanisha hata watanzania waliopo inje wafukuzwe,au hujui kuna watanzania wamezagaa dunia nzima wana jitaftia riziki kwenye inchi za wenzetu acha hizo.

Wewe kaombe kazi ukikizi vigezo watakuchukua tu,halafu huo ni ubaguzi kitu ambacho hakitakiwi kabisa.

Kuna watu wana zamia kwenye inchi za watu kujitafta wewe unaona ni zambi nakushauli tu achana na hizo mambo.
 
Ego is the enemy

Watu wote wenye uwezo na waifanye kazi.....

Tusimuwekee vikwazo vingi baadaye akishindwa kazi tuwalaumu wakandarasi.

Ikibidi sana, basi apewe idadi ya watu anaowapenda kwa asilimia mfano watanzania 40 wakenya 60 au 30% kwa 70% sio mbaya mradi mradi ukamilike sio tu ilimradi mradi uendane na siasa.
 
Am self employed,nishakaa nchi za watu, Naona watu wanavyotetea nchi zao. Hapa Kongo ukiingia tu kununua kitenge ng'ambo yao tu mwananchi wa kawaida anakuambia lipia Kodi sio nchi yako.

Unakumbuka jpm alivyokuwa alisema kuwa Kama hakuna mtanzania wa kuifanya hii kazi Basi mleteni mtalaamu kutoka nje.

Kuna manager wa stanbic Kama sio Barclays.

Huwezi elewa ambapo kazi moja inaweza ikatangazwa wakapmba watanzania milioni.

Pia nchi Ni ya kwetu Kodi tunalipa sie tunajenga nchi yetu na miundombinu Ni kwa ajili yetu.
Watu wanapambania watu wao sio kiivyo unavyotaka kuwaaminisha.
 
Ivi unajua unachokiongea. Ishu kubwa ipo huyu sio mkandarasi wa kwanza from China na wanaajiri watanzania anayezingua anafukuzwa anaajiriwa mwingine.

Mradi umeshaanza kitambo,
 
Wabongo wengi ni wavivu ukiwalinganisha na Wakenya.
Una uzoefu na watu gani.
Watanzania sio wavivu sema huwa Ni kawaida ya binadamu kumchoka wa kwao anadhani kuwa Kuna mahala binadamu malaika yupo.
Mie nimeishi hata kwa wazungu na wao wanachelewa kazini.

Hii Dhana huwa ipo kwa vijana wengi baadA tu ya kusoma anaanza kujiona kuwa yeye Ni wa tofauti anawadharau wazazi ndugu zake mpaka watu wa kabila lake anadai lake washamba
 
Acha roho mbaya wewe Tanzania sio kisiwa,kiasi kwamba wageni hawatakiwi.

Kumbuka hata huko Kenya kuna watanzania wengi tu wana tafta riziki zao huko,pia dunia nzima kuna watanzania wengi.

Wewe kama akili yako haina ufahamu au upeo mpana wa kujitafta tulia hivyo hivyo, unataka serikali iwafukuze ili iweje sasa.

Una maanisha hata watanzania waliopo inje wafukuzwe,au hujui kuna watanzania wamezagaa dunia nzima wana jitaftia riziki kwenye inchi za wenzetu acha hizo.

Wewe kaombe kazi ukikizi vigezo watakuchukua tu,halafu huo ni ubaguzi kitu ambacho hakitakiwi kabisa.

Kuna watu wana zamia kwenye inchi za watu kujitafta wewe unaona ni zambi nakushauli tu achana na hizo mambo.
Huna akili mtoto wa kike
 
Mkuu, badili kidogo ID name yako, kuna neno linakaribiana na na jina hilo, litakufaa sana!
 
Am self employed,nishakaa nchi za watu, Naona watu wanavyotetea nchi zao. Hapa Kongo ukiingia tu kununua kitenge ng'ambo yao tu mwananchi wa kawaida anakuambia lipia Kodi sio nchi yako.

Unakumbuka jpm alivyokuwa alisema kuwa Kama hakuna mtanzania wa kuifanya hii kazi Basi mleteni mtalaamu kutoka nje.

Kuna manager wa stanbic Kama sio Barclays.

Huwezi elewa ambapo kazi moja inaweza ikatangazwa wakapmba watanzania milioni.

Pia nchi Ni ya kwetu Kodi tunalipa sie tunajenga nchi yetu na miundombinu Ni kwa ajili yetu.
Watu wanapambania watu wao sio kiivyo unavyotaka kuwaaminisha.
Wewe utakua wale watu wenye roho mbaya na chuki, na sidhani kama unaweza kutajilika. Hizo kazo za vibarua watanzania kazi yao ni kuimba vifaa na mafuta kama mkadarasi onaona aje na watu wake ibaya uko wapi?.... wewe unajua makubaliano ya huo mkopo
 
Wakulaumiwa hapo ni serikali kwani hao watu hawatakuwa na work permit kwani uhamiaji wawazi toa work permit kwa unskilled (mshika kibendela). Serikali ndiyo yenye jukumu la kudhibit idadi ya foreigners kwenye kila mradi.
Kwenye mikataba kuna maelekezo ya idadi ya wafanyakazi wageni Ila baadhi ya watendaji uona ni opportunity ya kupigia mpunga.
Hapo hakutakiwi hata kuwa na kibarua informer bali serikali inatakiwa ichomeke vibarua wake(UT) ili kufanikisha monitoring ya hao China.
 
Wewe utakua wale watu wenye roho mbaya na chuki, na sidhani kama unaweza kutajilika. Hizo kazo za vibarua watanzania kazi yao ni kuimba vifaa na mafuta kama mkadarasi onaona aje na watu wake ibaya uko wapi?.... wewe unajua makubaliano ya huo mkopo
Mkuu mikataba yote duniani ina bana idadi ya wafanyakazi wa kigeni. Kuna mambo huwa yapo standard haitajiki kusoma huo mkataba ndipo aelewe
 
Nikuambie tu mie Ni tajiri. Sihitaji mpaka Forbes waniweke kwa list
ninaipenda nchi yangu nishaishi nchi za watu nikaona watu wanavyopenda na kutetea nchi zao na maslahi ya watu wake. Jaribu kuvuka uingie nchi za watu uone watu wanavyonyanyasika hata kusoma kwao tu unaulizwa kuwa kwani kwenu hakuna masomo ama shule.
Wewe utakuwa hujawahi pata amshamasha ukiwa nchi za watu, ndio wale mzungu akija mnashobokaje. Sasa nenda kwao uone.
Wakiwa hapa wanajifanya wanawapenda kumbe mnaibiwa madini baadaye mnapewa vyandarua na mkopo kwa pesa za madini zenu.wanakuja kwa mgongo wa upendo na kuwapenyezea dini ili iwalainishe wakati hii Ni dunia ya one dog eats another dog
 
Mkuu mikataba yote duniani ina bana idadi ya wafanyakazi wa kigeni. Kuna mambo huwa yapo standard haitajiki kusoma huo mkataba ndipo aelewe
Bora umemjibu ki talaamu na sio kwa hisia Kama zilivyomuongoza yeye
 
Back
Top Bottom