wafuasi wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Chadema na Sarungi walifurahi nchimbi kujihudhuru Leo wanaumia Nchi kupata makamu mpya

    Mlifurahia Mheshimiwa kujihuzuru sahzi mnaumia kumpata Mh. Makamu mpya sasa mnafikir mambo yatasimama? Hivi mnaakili kweli nyie nyumbu Ndo maana mnaitwa MANYUMBU.
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Chadema wanashida sana za kisaikolojia vianzishwe vipindi vya redio vitoe guidance and counseling Kila siku jioni tuwaokoe

    Wafuasi wa Chadema wanahitaji tiba akili, otherwise tutakuwa na watu wenye upungufu wa afya ya akili wengi sana nchini na Africa mashariki. Imagine from nowhere mtu anaanza kutukana watu na ikizingatia mtu anayemtukana hata hana habari naye huu ni ugonjwa si akili ya kawaida. Imagine mtu wa...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA acheni kujipaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuweni ma-realistic acheni kuota ndoto za alinacha

    Wafuasi wa chadema mkiwa jukwani/mitandaoni mnabwatuka...eti ooh chadema inapendwa, acheni kujidanganya hakuna mtu anayekipenda chama cha vibaraka wa mabeberu, chama cha matusi, chama cha matapeli (kula rambirambi na donation) Eti oooh tutaendelea na mikutano, sasa ipo wapi mbona hatuioni ...
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Chadema hii tabia ya kushangilia vifo vya watu wa vyama vingine IKOME

    Hakuna mtu mwenye hisa ya kuishi milele Duniani hapa tuheshimu maisha ya watu na kazi ya Mungu. Nawatakieni usiku mwema
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Leo wafuasi wa CHADEMA hawajalala wamekesha jukwaani. Kuweni makini siasa zitawapa hypertension Tanzania is very strong than ever

    Nadhani wafuasi wa chadema huwa Wana high expectations za kisiasa ambazo hazipo nchini. wanajidanganya na kuamini. Nenda hapo Rwanda hakunaga siasa taka kama za chadema. Leo mmekesha mnaandika nyuzi 🤣🤣 Nendeni mkafanyie mikutano kwa mabeberu ili mkasalimie na wake na watoto wenu Poleni sana...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na watu wote chukua tahadhali kesho, maana tamko la polisi linatia mashaka na usalama wenu. Chagua kati ya mawili haya...

    Kuna taarifa mbaya ameitoa Mnyika kuhusu kesi ya Lissu kesho with regard to police force. To me; Chadema na watu wenye mapenzi mema chukua tahadhali, wanaweza kuua watu , kuumiza, kujeruji and all sort of brutality you can think of! Naona kama wanajenga premise za kuvunja, kuua, kuumiza watu...
  7. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, hii ni hali ya mahudhurio ya wafuasi wa CHADEMA Kahama?

  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Maelfu ya wanachama na wafuasi wa CHADEMA wakishiriki kupandisha bendera za chama chao huko Katoro Geita

    Je, hii ndio Sababu ya Sisty Nyahoza kutaka kuifungia Chadema?
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ni uoga wa Oktoba 29, 2025 au nini kimebadilisha ukatili wa polisi kwa wafuasi wa CHADEMA Mahakamani?

    Tofauti na mwaka 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na baadaye Mahakama Kuu jijini humo, mwaka 2026 kesi hiyo imeanza bila vitendo vya ukatili wa polisi kwa wafuasi wa chama hicho wanaohudhuria. Lissu alikamatwa...
  10. Revocatus James Ngoja

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi katika siku ya kuzaliwa ya CHADEMA. Kwa Viongozi, Wanachama, Wafuasi wa CHADEMA, na Watanzania wote wanaojali demokrasia

    BARUA YA WAZI KATIKA SIKU YA KUZALIWA YA CHADEMA. Kwa Viongozi, Wanachama, Wafuasi wa CHADEMA, na Watanzania wote wanaojali demokrasia, Leo, tunapoadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ninatumia fursa hii kutoa pongezi za dhati kwa chama kwa...
  11. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa, hatutakiwi kuwapa nafasi yoyote CHADEMA

    Chadema ni kikundi cha panyaroad yafaa kiondolewe sifa za kufanya shughuli za kisiasa nchini, ushahidi upo kwenye post zao mitandaoni kwa kweli mpaka unajiuliza hivi Hawa watu wanaakili kweli? Ni WA Tanzania kweli? Yafaa wadhibitiwe vikali. Kama Taifa Hatutakiwi kuwapa nafasi yoyote chadema...
  12. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA mko wapi wakati huu viongozi wenu wakisulubiwa?

    Kuna wakati CHADEMA hawakuwa watu wanyonge namna hii, Askari anakamata viongozi wa chama bila maelezo na kinyume na sheria na wafuasi mmekaa mnatazama tu! Askari wanajifanyia wanavyojisikia na kutumiwa na CCM lakini CHADEMA mmekuwa wanyonge mno! Huenda viongozi wana sababu kujiweka mbali na...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huu umoja na mshikamamo wa wafuasi wa CHADEMA ya Lissu unatoka wapi? Mbona umepaa juu?

    Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu. Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu. Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
  14. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu aomba Mahakama kuingilia suala la wafuasi wa Chadema kuzuiwa kuingia Mahakamani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amegoma kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili (kutokana na ratiba ya leo) hadi hapo hoja yake aliyoiwasilisha Mahakamani hapo itakapotolewa uamuzi na jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru Baada ya Majaji...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi: Tumewadhibiti wafuasi wa CHADEMA walioleta fujo Mahakama Kuu Dar es salaam

    Polisi naona wanajidai wenyewe kwamba wamewadhibiti. Ila hawa jamaa Tarehe 15 Septemba, 2025 majira ya asubuhi eneo Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati mashauri mbalimbali yakiendelea, lilijitokeza kundi la Wanachama wa CHADEMA baada ya ukumbi uliokuwa unatumiwa kwenye kesi ya Tundu...
  16. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA huu sio muda wa kuchukua video au picha ni muda wa jino kwa jino

    Mkiendelea na utaratibu wa kutafuta huruma ya vyombo vya habari nk nyote mtaishia kutiwa vilema wale askari wanambiwa uko nendeni mkapige yani piga kisawa sawa sawa ili waogope Sasa huu ni muda wa kujitoa sadaka kama umeamua kutoka nyumbani na kwenda barabarani basi aumua afe askari au mimi na...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Polepole anafanyia press lakini wafuasi wa CHADEMA hawalali wanakesha na simu kumsikiliza

    Polepole anafanyia press kwenye vyoo vya wazungu lakini bado wafuasi wa chadema hawalali, Sasa sjajua ni ugonjwa wa wafuasi wa chadema au ni athari za mdudu ujinga, wanakesha wanaskiliza non busness press ambazo HAZINA return yyte, ni useless press. Nazidi kuwashangaa Hawa wafuasi wa CHADEMA...
  18. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwetu wafuasi wa Chadema wanaonekana ni wahuni ni vibaka, Sasa wanajificha hawataki wajulikane

    Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa CHADEMA wanatoa kauli za kejeli na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws). Tunashukru Mungu mpaka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Wafuasi wa CHADEMA waonyesha umoja na mshikamano msiba wa Kamanda George Mwingila. Japokuwa chama kipo kwenye kipindi kigumu

    Fikiria chama kinafungiwa kujihusisha na shughuli za kisiasa kisa tu kibaraka wa CCM ametumika kwenda mahamani.Kangaroo court. Mwenyekiti wa chama yupo jela kwa kesi ya maonevu ya kisiasa. Alafu kada aliyetunga wimbo kwa ajili ya chama anafariki kwa ajali akiwa safarini kwenda kuhudhuria kesi...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea

    Wanaukumbi. Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM. Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa...
Back
Top Bottom