Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,488
2,695
Hali si shwari katika viwanja vya mahakama ya kisutu hapa getin wandamanaji wa chadema na mabango yao wamekula SMASH za kutosha ila sikuona maana ya kuwakamata kwa maana ni maandamano yasiyokuwa na fujo hapo wengine wameshakula nduki na wanakimbizwa.

IMG_6153.jpg
IMG_20210805_102319_1.jpg
IMG_20210805_102321_0.jpg
IMG_20210805_094758_5.jpg
IMG_20210805_094716_0.jpg
IMG_20210805_093835_1.jpg
IMG_20210805_093831_3.jpg
IMG_20210805_093733_0.jpg
IMG_20210805_093706_3.jpg
IMG_20210805_093657_3.jpg
IMG_20210805_093304_0.jpg
 
Wajinga ndio waliwao! Wenzenu wako kwenye Soffa wanadinya Mvinyo, Nyama, wakiwa kwenye Luninga kuubwa curved na Laptop mapajani wakiandika Proposals za kuombea Madolali waendelee kuishi Kidon.

Vikaragosi wachaaaache wasiojua kula yao wanahangaika na maandamano ya kipuuzi. Shithole Demos
 
Back
Top Bottom