wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Fally Ipupa hana thamani kubwa kama ambacho waandaaji wa Tamasha lake wanataka kuwatoza wadau

    Huyu kijana ni mwanamuziki wa kawaida sana, hii gharama ya viingilio vya mlangoni ambavyo waliomleta wanatutoza ni wizi wa mchana. Ni kweli tuna njaa na rhumba lakini kwa nchi iliyokongoroka kama hii na kwa viwango hivi haiwezekani Wasio na hela(seat): 100,000 VIP Table ...
  2. Ngaliba Dume

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushuhuda wa jinsi UKIMWI ulivyotesa familia, kuongeza umasikini na mateso. Tushukuru ARV na wadau wa afya

    Hatukuwa tumewahi kufiwa na mmoja wa wanafamilia,kwa maana ya kaka au dada wa tumbo moja na baba mmoja.Misiba mingi ilikuwa ni kwa ndugu na jamaa tu wa karibu.Msiba huu wa dada yetu aliyekuwa "kichwa" na msaada mkubwa kwa familia ulitokea mwezi March 1993 wakati huo mimi nikiwa nimemaliza kidato...
  3. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MSAADA WADAU.

    Wakuu habar za weekend.Naomba kujua ni aina gani ya APP itanisaidia kucheza games.Maana nikidowload Game haionekan hata kwenye sim ila inaonekana nmeinstall tu ila sioni ilipo. Pia naomba kujua APP gani nzuri kwa kudowload nyimbo ambazo zimezuiliwa kupakuliwa. La mwisho naomba kujua APP gani...
  4. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Developers na Wadau wengine, njooni muone.

    Mnalionaje hili? kuna mtu alimfata Developer akamwambia kuwa ana idea waitengenezee software, Developer akamwuliza tafiti uliyofanya iko wapi? MDAU AKABAKI ANANG'AANG'AAA MACHO TU BAADA YA MUDA AKAMJIBU ETI, BASI ACHA TU NITATAFUTA DEVELOPER MWINGINE WEWE UNA MAMBO MENGI. Sasa mtu kama huyu...
  5. Tmlekwa

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya hali hii

    Kuna hali hua inanitokea mara moja moja ninapokua nashuka kwenye gari nikishika mlango nakua nahis kama nimepigwa short hivi,s0me times hata nikishika kitu chenye asili ya bati. Je, hii inaweza kua tatizo gan? NB gari haina short yoyote hilo nina uhakika. Pia situmii gar moja kila gar...
  6. Ligogoma

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Masterbation....!! Mmeelewa?

    Nawasalimu kwa jina la JF, Hili chapisho lilitolewa mwaka 1875 huko New York katika jarida la mambo ya afya ya uzazi, likionyesha kijana mpiga nyeto anavyoathirika na asiyepiga nyeto. Halikadhalika mtu mzima mpiga nyeto alivyoathirika na asiyepiga nyeto!! Kumbe kuna uzee unaotokana na kupiga...
  7. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu na wachumi wenzako mnalihujumu taifa, rudini mezani

    Nafikiri Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba na wataalamu wenzake wameshindwa kufanya utafiti makini kujua sababu kuu ya Benki kuanguka huku soko la miamala ya mtandaoni likiimarika kwa kiwango kizuri. Wao kwa uelewa wao wameaminishwa kwamba miamala ya kibenki imepungua kwakuwa tozo za...
  8. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, mna maoni gani kuhusu vurugu inayofanyika Afrika Kusini?

    Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30. Baada ya kuchoma...
  9. denis fourplux

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai. Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua. Ninawashwa sana mwilini na vijipele...
  10. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania TCRA Taasisi ya umma inayowakandamiza wadau wake kwa makusudi

    Kwanza nianze kwa kuliweka wazi, namfahamu jamaa yangu wa karibu aliyewekeza kwenye FM Radio. Ni bora Mama Samia naye kalizungumzia tatizo la FEES a TCRA , tozo ambazo ni za juu mno bila sababu yoyote. FEES za mwaka ni Dola $3,070 (na zaidi ya hapo kwa leseni ya kanda au Taifa) na ukichelewa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania RFA kulikoni hawako hewani mikoa ya Nyanda za Juu Kusini karibia wiki sasa

    Wakazi wa Mbeya tunaomba kujuzwa, kulikoni RFA, hawako hewani karibia wiki sasa!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wadau, hivi ni kwa nini viwanda vyetu havidumu licha ya kuwa na soko la uhakika?

    Kulikuwa na kiwanda Cha mafuta ya kupikia mazuri sana, VOIL, Tanbond, Mafuta ya karanga, kiwanda Cha mbolea Tanga, kanga nzuri sana za urafiki, nk
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Muziki Nigeria wamponda Diamond Platnumz kwa kuiba nyimbo zao

    Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist kidogo kisha kuwaletea Watanzania
  14. N

    JamiiForums Tanzania wadau wa Uzbekistan wamtetea Mtanzania Salim Mtango wadai kaonewa chupa zarushwa ulingoni

    Jana ilikuwa ni pambano huko Uzbeki kati ya Salim Mtango vs ShohJahon Ergashev ni kituko kijana watu kapigwa ngumi moja kayumba kidogo lakini hajaanguka, refa kavunja pambano kwamba ni knockout hata hajamuhesabia hadi kumi. kijana kajaribu kupinga uamuzi ukabaki palepale ila ziliztokea vurugu...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2021/22: Wadau tunakataa kodi ya Majengo kulipwa kwa LUKU

    Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri. Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye...
  16. Kifaru TANZANIAN

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa

    Habari wadau, naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community
  17. Anchu

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa kompyuta na simu, naombeni connections

    Me ni mpya naombeni connections Nina ujuzi wa computer na simu pia nna kichwa chepesi naweza fany kazi tofauti.0744801713
  18. M

    JamiiForums Tanzania Jamani niko mitaa ya Korogwe, Same na Moshi mwezi na ila treni siioni wadau mna taarifa zozote?

    Sina hakika na badiliko lolote la ratiba lakini Treni kwa sasa inatakakuwa kama wagosi wa kaya walivyoimba, "tulizoe kusikia vijihoni". Yale makelele ya lile limashine na vijioni kama vinadisiapia hivi, hebu wadau tupeni taarifa zozote, au wanafanya sevisi kidogo.
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuhusu bacherol of science in real estate finance and envestment

    Mimi ni kijana niliyemaliza form 6 mwaka 2019 nakupata DIV 2 kwa combination ya EGM nilikuw naomba msaada wenu kuhus hii koz inahusian n nin,pia kweny kuajiria unaweza kupiga kampuni kama zipi pia kweny kujiajiri wew kam ww unaweza kupiga issue kam zipi.Nawasilisha hoja kwenu wadau n mm ndio...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vigezo vya kuanzisha agrovet

    biashara ya duka la pembejeo ili kuanza lazma uwe na vigezo gani na mtaji wa shingapi wa chini kabsa pamoja na faida zake kwa yeyote mwenye ufahamu na hili naomba kujua kutoka kwako
Back
Top Bottom