Samahani wadau wenzangu kwa kuteleza, haikuwa makusudi

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
9,020
8,480
Wadau wenzangu
PNC
The Icebreaker
Joseverest
King_Ngwaba
makaveli10
kilambimkwidu
Chukwu emeka
BAK
Anigrain
The Boss
Saint Ivuga
dingimtoto
Kanungila Karim
Van De Beek
FORTALEZA
tony92
Chaliifrancisco
adriz
Prince Kunta
OKW BOBAN SUNZU
DENLSON
Waterloo
Isanga family n.k

Wakuu na wadau wenzangu wa soka nimekuja kuomba radhi kwa kile nilichowaletea on yesterday, na kuwaaminisha kuwa kipo wakati hakipo (Jezi mpya ya Argentina)....
mtaniwia radhi makamanda wangu, nimeteleza na wala sijafanya makusudi....no one is perfect except God.

New kit ya Argentina ni ile aloipost mdau wetu FORTALEZA ....hiyo ndio jezi yenyewe.

Nilicholeta mimi haipo, huenda ikawa ipo kwenye mipango yao, they know them.....Mungu akipenda ikitoka nitawajuza.

Niliipata humu...ebu open it na wewe 😀
20210406_141723.jpg
20210406_141655.jpg
20210406_141635.jpg
20210406_141556.jpg
 
Wadau wenzangu
PNC
The Icebreaker
Joseverest
King_Ngwaba
makaveli10
kilambimkwidu
Chukwu emeka
BAK
Anigrain
The Boss
Saint Ivuga
dingimtoto
Kanungila Karim
Van De Beek
FORTALEZA
tony92
Chaliifrancisco
adriz
Prince Kunta
OKW BOBAN SUNZU
DENLSON
Waterloo
Isanga family n.k

Wakuu na wadau wenzangu wa soka nimekuja kuomba radhi kwa kile nilichowaletea on yesterday, na kuwaaminisha kuwa kipo wakati hakipo (Jezi mpya ya Argentina)....
mtaniwia radhi makamanda wangu, nimeteleza na wala sijafanya makusudi....no one is perfect except God.

New kit ya Argentina ni ile aloipost mdau wetu FORTALEZA ....hiyo ndio jezi yenyewe.

Nilicholeta mimi haipo, huenda ikawa ipo kwenye mipango yao, they know them.....Mungu akipenda ikitoka nitawajuza.

Niliipata humu...ebu open it na wewe 😀
View attachment 1745074View attachment 1745075View attachment 1745077View attachment 1745078
Tupo pamoja Mkuu,hakijaharibika kitu.
 
Sijawahi kukutana na Mwanadamu Mwafrika anayependa sana Argentina na Maradona zaidi yako.Kwa mahaba yako uliyonayo kwa Argentina haukuwa na sababu ya kujiridhisha ulivyokutana na habari hiyo, BTW Uzi ni mkali sana una features very amazing ni vile tu sio official
 
Bila samahani mkuu pamoja na yote haitobadili kitu kuwa
Argentina ndiye bingwa mtarajiwa wa Fifa World Cup mwakani Qatar
Ni suala la muda tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom