Na Pili Mwinyi
Kiswahili ni lugha ambayo kwa sasa imejibebea umaarufu mkubwa sana duniani ikiwa ni mojawapo ya lugha zinazotumiwa zaidi na watu wa Afrika. Kwa makadirio kina wazungumzaji zaidi ya milioni 200 katika nchi nyingi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika na hata Mashariki ya Kati...
Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba.
Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba.
Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
Naomba kujua, Mtanzania mtu mzima ambae si mwanafunzi.
Daily Routine yake ikoje toka anapoamka mpaka anapoenda kulala?
Maana naona zaidi ya 85% ya watanzania hawako bize kabisa.
ikitokea tukio hata la mtu kuibiwa simu katikati ya Jiji, watu wanajaa kutazama zaidi ya saa nzima na wanakaa na...
TBS yatoa mafunzo ya sumukuvu kwa wadau wa mazao ya mahindi na karanga wilayani Kiteto
Na Mwandishi Wetu
Serikali kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imeanza rasmi kutoa mafunzo kupitia Mradi wa Kitaifa wa Kudhibiti Sumukuvu "Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination -...
Waziri wa Nchi, Uchumi na Uwekezaji wa Zanzibar, Mudrick Soraga amesema watakutana na wadau wa fedha za mtandao ili kupata maoni kuhusu fedha hizo
Watakutana na wadau katika wiki ya tatu ya mwezi huu, ili kujua kama kuna haja ya kutumia cryptocurrency kwenye miamala
Rais wa Tanzania, Samia...
TBS: WARSHA YA WADAU WA VIPURI NA KARAKANA ZA KUUNDA NA KUTENGENEZA MAGARI
Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Y. Ngenya amefungua warsha kwa wadau wa Vipuri vya Magari na wamiliki wa karakana za kuunda na kutengeneza Magari. Warsha hiyo inafanyika hii leo Tarehe 4...
Nimefanya utafiti nikagundua njia moja nzuri sana ya kupatia "value for money".
Hatua zifuatazo zifuatwe:
1. Ichaguliwe taasisisi inayoaminika, mfano TAKUKURU
2. Izungukie taasisi zote na kupatia mahitaji Yao yote yanayohusika na manunuzi kwa mwaka mzima.
2. Itangaze Zabuni, na kufanya...
WADAU KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA ALIZETI IKUNGI
Serikali ya wilaya ya Ikungi imefanikiwa kuwaunganisha wadau wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti na taasisi za kifedha ikiwemo benki ya Maendeleo ya kilimo
Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa kikao maalum cha majadiliano ya...
Habari zenu,
Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba mpya na wanaona hakuna mbadala mwingine wa kufanya siasa na kuendesha maisha yao mpaka katiba mpya...
Nashangaa mpaka leo bado CCM na viongozi wa Serikali hawajajua tofauti ya wapinzani wa kaskazini na wa sehemu nyingine kama Kigoma au Mbeya
Huku Arusha, Kilimanjaro na Tanga tatizo kubwa sio barabara au madarasa ya shule. Ni sehemu ambayo ilikuwa na barabara nyingi za lami na shule nyingi...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, hadi mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, atakapoachwa huru bila masharti yoyote.
Sharti hilo limetajwa leo...
Habari wanaJF,
Naombeni ushauri nipo na mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii
Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe yeye sio mwaminifu kwangu nilihisi anatembea na mtu fulani nikamuulza alibisha mimi nikaendelea na...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema pamoja na ujenzi miundombinu ya utoaji Haki, mafanikio yanayotarajiwa hayawezi kupatikana endapo wadau wa mfumo huo hawatofanya kazi kwa kuzingatia Sheria.
Ameeleza, "Tunaweza kuwa na majengo mazuri na mfumo bora wa TEHAMA, lakini kama Mahakimu, Majaji na...
03 September 2021
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud, ofisi ya DPP lazima iwe inachunguzwa kama wenzetu huko Uingereza Ofisi ya Crown Prosecution yaani DPP huchunguzwa inavyofanya kazi
Umuhimu wa katiba Mpya upo. Kasoro za kikatiba zipo katika nyaraka za kikatiba...
Baada ya kupitia BOT nikaona kitu kinaitwa IFEM yaani interbank foreign exchange market, imenichanganya how it works kwamba ni mfumo unaodili globally au ndani ya nchi, nikaamua kuingia chimbo nikakutana na melezo haya,
LONDON, NEW YORK – EBS(electronic brokering service), ICAP’s...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.