Tafadhali Mwamuzi wa Simba na Yanga 'Mwanangu' kabisa Mwandembwa, usituangushe 'Wadau' wako wa Soka na Kijiweni Kwetu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Kama kuna Watu ambao ama hakika wamenifurahisha ni TFF kupitia Bodi ya Ligi hasa kwa Kumpanga Mwamuzi (Referee) Mwandembwa (Mwanangu kabisa) kutoka Arusha awe 'Pilato' wa Simba na Yanga Jumamosi tarehe 8 May, 2021.

Tafadhali naomba kila mwana Simba SC afanye upesi akakate Tiketi yake mapema kwani huenda kuna Watu Siku hiyo 'Wakauana' wao kwa wao pale 'Kwa Mkapa' Jumamosi.

Mwamuzi Mwandembwa baada ya Mechi yako tafadhali pitia Kijiweni Kwetu pale (unapajua) kuna Zawadi zako za Kuku 'Jogoo' na Mbuzi 'mnono' tu ukachinje na ule na Familia yako hasa kuelekea katika Siku Kuu hii Kubwa ijayo ya Eid el Fitr.

Uzuri wa Mwamuzi (Referee) Mimi GENTAMYCINE namjua fika kuwa hana cha sijui Usimba Wala Uyanga na ni Mkweli na mpenda Haki hivyo kwa Uchezeshaji wake ulio makini na kwa jinsi pia Timu yangu ya Simba SC ilivyo makini nauona 'Ushindi' mapema mno tu.

Huyu ndiyo Referee bora sasa Tanzania.
 
Muda ndo kipimo sahihi kujua yu bora au no
 
Wakati Genta unahaidi Rushwa ya Kuku kwa mwanao, wenzio tayari wamempandishia dau la zaidi ya mil. 40.

Mimi namtakia kila la kheri.
 
Ni mjeda?
Maana timu lia lia hawachelewi kuleta songombingo kwa visingizio lukuki.
Kama kuna Watu ambao ama hakika wamenifurahisha ni TFF kupitia Bodi ya Ligi hasa kwa Kumpanga Mwamuzi (Referee) Mwandembwa (Mwanangu kabisa) kutoka Arusha awe 'Pilato' wa Simba na Yanga Jumamosi tarehe 8 May, 2021.

Tafadhali naomba kila mwana Simba SC afanye upesi akakate Tiketi yake mapema kwani huenda kuna Watu Siku hiyo 'Wakauana' wao kwa wao pale 'Kwa Mkapa' Jumamosi.

Mwamuzi Mwandembwa baada ya Mechi yako tafadhali pitia Kijiweni Kwetu pale (unapajua) kuna Zawadi zako za Kuku 'Jogoo' na Mbuzi 'mnono' tu ukachinje na ule na Familia yako hasa kuelekea katika Siku Kuu hii Kubwa ijayo ya Eid el Fitr.

Uzuri wa Mwamuzi (Referee) Mimi GENTAMYCINE namjua fika kuwa hana cha sijui Usimba Wala Uyanga na ni Mkweli na mpenda Haki hivyo kwa Uchezeshaji wake ulio makini na kwa jinsi pia Timu yangu ya Simba SC ilivyo makini nauona 'Ushindi' mapema mno tu.

Huyu ndiyo Referee bora sasa Tanzania.
 
Ni mjeda?
Maana timu lia lia hawachelewi kuleta songombingo kwa visingizio lukuki.
Ni Raia na ana Kazi yake nyingine kabisa ila ni Mwanangu ile mbaya na najua hatoniangusha Jumamosi kwa Kuchezesha kwa Haki na kufuata Sheria zote 17 ili hatimaye Simba SC yangu tuibuke na Ushindi wetu mnono ( jadidi ) kabisa.
 
Hivi kwanini mwamuzi Ramadhani Kayoko wanampa mechi nyingi za yanga, mechi ya kmc na yanga Mwanza mwamuzi alikuwa yeye pamoja na kuvurunda kwa kuwapa utopolo penati isiyo halali aliambiwa awe makini, mechi ya kwanza yanga na simba alipangwa ingawa hakuwa mwamuzi wa kati, mechi ya yanga na azam alikuwa mwamuzi wa kati na hii inayokuja simba na yanga ni fourth official
 
Ni Raia na ana Kazi yake nyingine kabisa ila ni Mwanangu ile mbaya na najua hatoniangusha Jumamosi kwa Kuchezesha kwa Haki na kufuata Sheria zote 17 ili hatimaye Simba SC yangu tuibuke na Ushindi wetu mnono ( jadidi ) kabisa.
Yanga watafanya kila namna haki isiwepo wapate ushindi ili wasahau shida zao
 
Back
Top Bottom