Je, magoli Mawili ya 'Mipango' aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania na Yanga SC yamezingatia Goal keeping Principles Wadau?

Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,477
2,000
Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania.

Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba pamoja na Kipa huyo wa JKT Tanzania Kufungwa leo Magoli yale Mawili na Yanga SC ukimuangalia Usoni wala haonyeshi ama Kusikitika na Kuchukia Kufungwa vile.

Ligi ya Tanzania imejaa Rushwa tupu7
 

kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,423
2,000
Hata magoli manne alotunguliwa manula naona ulikuwa ni ‘Mipango’; alipewa cha juu huko SA
 

Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,477
2,000
Kuna goli mabeki wanauangalia tu mpira unapita kwa mtu wa kwanza mpaka wa nne!
Ulijiuliza ni kwanini Goli hilo lililowapita hao Mabeki wote na Kipa nae Kufungwa kirahisi na Kipumbavu vile upesi sana Camera za Azam Tv zikammulika Injinia Hersi wa GSM na akawa anafurahi mno huku akionyesha kuwa Pesa alizozipenyeza kwa Mabeki wa JKT Tanzania pamoja na Kipa wao zimeenda Kihalali?
 

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,386
2,000
Mnao jadil umu wengi wenu hamjacheza mpira so kila kitu mnakiona Rais. Tukianza na goli la kwanza kipa yoyote yule hadaki tukija goly la pili ni miss understanding za baki hasa beki namba nne yeye ndie alie kua na uwezo wa kuokoa ule mpira ila aliukosa ivyo kumchangsnya beki 2
 

kiula neema

Member
Mar 22, 2021
38
125
Ulijiuliza ni kwanini Goli hilo lililowapita hao Mabeki wote na Kipa nae Kufungwa kirahisi na Kipumbavu vile upesi sana Camera za Azam Tv zikammulika Injinia Hersi wa GSM na akawa anafurahi mno huku akionyesha kuwa Pesa alizozipenyeza kwa Mabeki wa JKT Tanzania pamoja na Kipa wao zimeenda Kihalali?
Mashabiki wa nchii hii wamejaa vutuko tff wameharibu mpira wa Tanzania jumla ndio maana tukienda nje hatutoboi kbs akili za Tff na za mashabiki zinafanana kwa Yale magoli ya yanga yanashida gani ? Hamzungumzii Mo anavyonunua mechi kila kukicha wapuuzi kweli nyie.
 

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
7,001
2,000
Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania..
Goli la kwanza kuchwa kilipigwa farpost baada ya mabeki kushindwa kufanya marking ya kutosha kipa asingeweza kudaka angetengua nyonga.

Goal la pili uzembe wa mabeki ulipelekea kipa kuwa kwenye mtanzuko.
 

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
4,382
2,000
Tehtehteh manunu bhana,hebu subir jumamosi haya hayawasaidii kuepuka kipigo tena
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,516
2,000
Mnao jadil umu wengi wenu hamjacheza mpira so kila kitu mnakiona RAIS. Tukianza na goli la kwanza kipa yoyote yule hadaki tukija goly la pili ni miss understanding za baki hasa beki namba nne yeye ndie alie kua na uwezo wa kuokoa ule mpira ila aliukosa ivyo kumchangsnya beki 2
Sasa Rais anahusika vipi hapa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom