Today is the big day, Lamu port inazinduliwa. Wadau kaeni mkao wa kula

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Hayawi hayawi huwa. Leo ndio siku ya kuzinduwa mradi wetu tukufu wa Lamu port. Wivu batallion mpo wapi? Kujeni mumwage povu tutapanguza.

E1z2ACGWEAMCo_B.jpeg
E1z2EixXsAQ00M-.jpeg
E1zcnOOXEAAqis1.jpeg
E1z2QjxWQAE2fGh.jpeg


 
Barabara kutoka Garsen hadi Lamu inazinduliwa sasa hivi tunavyozungumza.


mwanamkiwa! Vp hata viongozi wa South Sudan na Ethiopia hawakuweza kufika?




Maana during the groundbreaking walikuja




We were told this...



 
Mshana sikujua kwamba pia wewe una wivu na Kenya. Nilidhania wewe ni mtu mngwana.
My apology Tony254 naona hukunielewa ...
Kwanza sina hiyo tabia ya wivu kabisa naomba unielewe hivyo lakini kwa uzoefu wangu miradi mikubwa ya Afrika na sehemu kubwa ya dunia inajengwa na wachina na mara nyingi kwa mkopo.. Ndio maana nikauliza hivyo
 
My apology Tony254 naona hukunielewa ...
Kwanza sina hiyo tabia ya wivu kabisa naomba unielewe hivyo lakini kwa uzoefu wangu miradi mikubwa ya Afrika na sehemu kubwa ya dunia inajengwa na wachina na mara nyingi kwa mkopo.. Ndio maana nikauliza hivyo
Hamna tatizo. Huu mradi umejengwa 100% kwa kutumia pesa za ndani. Hakuna mkopo uliotumika.
 
Naomba mnipe update hii port ya Lamu itakuwa na capacity ya tani ngapi kwa mwaka? Mombasa ilihandle tons 30 million mwaka jana vs Dar tani 17 million . sasa na hii ya Lamu tena majirani mumefunkka. Kumbukeni kununua mahindi yetu tukuze usugu wetu wa damu. Ref Kabudi na rais SSH walipokuja kwenu .Tunategemeana tusishindane , vinginevyo hakuna mshindi , na sisi bidhaa zenu tunazipenda ukiacha siasa mufilisi za baadhi ya viongozi.
 
Back
Top Bottom