Wadau hivi kuna uwezekano wa busara na pesa kuwa katika chombo kimoja?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,556
2,994
Vikao vingi vya harusi, misiba na michango mengine hautaweza kuona mwenye pesa kuwa na busara ya kuongoza kikao au hata kawaida kumshuhudia mwenye pesa awe na busara. Nadhani sijawahi kushuduia unajua kwanini? Je, ulishawahi kushuhudia combination hii?

Unamkumbuka Rais wa Yanga alivyowaita wana Yanga wala Mihogo? Hii ndiyo maana halisi ninayokusudia, pesa na busara haviwezi kukaa pamoja sijui kama nimekosea.
 
Pesa kiwango gan? Weny uchungu wa fedha ni wanyenyekevu mno ,wapo smart.

Hao wanaoibia serikala n washirikina ndio wana dharau, ....Matajiri wenye pesa za halali ni wanyenyekevu haswa kulinda brand zao za biashara .

Wengi wanakaa karibu na jamii maana ndio wanawafanya wawe juu kama wateja.
 
hapana,matajiri wengi busara wanakosa

sishangai ule msemo tajiri kuona ufalme wa Mbingu ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
 
Back
Top Bottom