Kwa Wadau Wote Wa Muziki Humu: Naombeni Feedback Yenu [Zoom]

Trophic

Member
Jun 8, 2020
11
8
Trophic - Zoom Cover Art.png


Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi?

Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo?

Natumia Fl Studio + Ableton Live.

Kuhusu style ya mziki, bado siko sure hii ni aina gani, but the whole idea ni kuunda Electronic Music yenye touch ya nyumbani 🇹🇿

Anyways, track ni hii hapa:

Zoom by mimi Trophic na iko kwenye Streaming Platforms zote 🤞🏾

Ushauri wowote ule unapokelewa 🙃🙏🏾.


View: https://youtu.be/w_JZXhzkkUA
 
Back
Top Bottom