Wadau wa mapenzi nisaidieni hapa, Maji ya shingo

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
Kuna dada bhana nampenda sanaa! Tena nampenda kweliii. Wakati tunaanza kuwa pamoja nilimwambia kuwa mimi nina hasira sanaa lakini sio za kufanya Violence kwa mwanamke, akaahidi atanielewa.

Mara kadhaa amekuwa akinikosea, anaendelea kuwasiliana na Ex wake wanakutana na natumiaga hekima nyingi sana kumuomba abadilike, Nikiwa naongea nae kwa hekima nyingi huwa hanijibu anafanya Nyodo, ila nikimfokea basi ananisema mimi ni mkorofi nitakuja muua.

pexels-pranavsinh-suratia-5466185.jpg

Siku moja yalinifika shingoni naongea nae kwa hekima anajifanya kalala, nikamuinua kwa nguvu, ndipo nilifanya kosa akanimaindi akaniona mbaya naweza muua japo niliongea kwa hasira wakati huo lakini ikawa kosa langu na anataka tuachane.

Mnanishauri nini Ndugu zangu?
 
Kuna dada bhana nampenda sanaa! tena nampenda kweliii
wakati tunaanza kuwa pamoja nilikumwambia kuwa mimi nina hasira sanaa lakini sio za kufanya Violence kwa mwanamke, akaahidi atanielewa.

Mara kadhaa amekuwa akinikosea, anaendelea kuwasiliana na Ex wake wanakutana na natumiaga hekima nyingi sana kumuomba abadilike, Nikiwa naongea nae kwa hekima nyingi huwa hanijibu anafanya Nyodo, ila nikimfokea basi ananisema mimi ni mkorofi nitakuja muua.
View attachment 2909068

Futa nikupe buku
 
Ushauli wangu mdogo wangu ni huu muda ulionao utumie katika maswala ya elimu na kutengeneza maisha yako ya badae

Haya mambo ya wanawake achana nayo Kama ukiona nyege zinakusumbua nenda tandika au temeke kwawaaaayaaaaa elfu 2 yako
 
Kama umesha mzagamua muache atembee tuu wazuri wenye akili ni wengi sana, lakini ni makosa kwa mwanaume kupenda Sana jifunze kutamani zaidi na kupenda kiasi itakusaidia kwenye kufanya maamuzi kwenye hali kama hiyo
 
Ushauli wangu mdogo wangu ni huu muda ulionao utumie katika maswala ya elimu na kutengeneza maisha yako ya badae

Haya mambo ya wanawake achana nayo Kama ukiona nyege zinakusumbua nenda tandika au temeke kwawaaaayaaaaa elfu 2 yako
Ndo umeweka hadi Bei
 
Kama umesha mzagamua muache atembee tuu wazuri wenye akili ni wengi sana, lakini ni makosa kwa mwanaume kupenda Sana jifunze kutamani zaidi na kupenda kiasi itakusaidia kwenye kufanya maamuzi kwenye hali kama hayo
Ahsante sana Chief, Nimejifunza
 
Kuna dada bhana nampenda sanaa! tena nampenda kweliii
wakati tunaanza kuwa pamoja nilikumwambia kuwa mimi nina hasira sanaa lakini sio za kufanya Violence kwa mwanamke, akaahidi atanielewa.

Mara kadhaa amekuwa akinikosea, anaendelea kuwasiliana na Ex wake wanakutana na natumiaga hekima nyingi sana kumuomba abadilike, Nikiwa naongea nae kwa hekima nyingi huwa hanijibu anafanya Nyodo, ila nikimfokea basi ananisema mimi ni mkorofi nitakuja muua.
View attachment 2909068
Siku moja yalinifika shingoni naongea nae kwa hekima anajifanya kalala, nikamuinua kwa nguvu, ndipo nilifanya kosa akanimaindi akaniona mbaya naweza muua japo niliongea kwa hasira wakati huo lakini ikawa kosa langu na anataka tuachane.

Mnanishauri nini Ndugu zangu?
Nakushauri utafute mwanaume mbavu nene.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom