Msaada: Anayefahamu tiba ya huu utando utando kwenye ngozi za watoto

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,260
6,908
Kuna hii hali ya vidoa vilivyopauka kutokea kwenye ngozi ya mtoto. Naomba mwenye ufahamu wa tiba yake ya asili au ya hospitalini maana tuneshatumia dawa unaenda na kurudi.

IMG_20240308_122256.jpg
 
Mwanangu vilimtokea vingi zaidi ya hivyo uso mzima, tulihangaika sana kupata tiba na havikuisha. Nikajiongeza kuwa itakuwa minyoo. Baada ya kumpatia ya minyoo vikaisha ndani ya wiki, tokea siku hiyo naheshimu sana kumpatia dawa ya minyoo kila baada ya miezi mitatu.

Jaribu kumpatia dawa, endapo asipopona unaweza kuwaona madaktari wa ngozi.
 
Tafuta dawa ya fungus boss Kama vipo hapo tu tumia ya cream yenye mchangayiko wa anti fungal, anti allergy na anti bacteria ei, sonaderm epiderm ama skiderm.

Kama ni mwili mzima tafuta
Griseofulvin fluconazole au terbinafine. Nimepanga kulingana na hela yako Ila zote ni dawa nzuri.

Ugua pole
 
Tafuta dawa ya fungus boss Kama vipo hapo tu tumia ya cream yenye mchangayiko wa anti fungal, anti allergy na anti bacteria ei, sonaderm epiderm ama skiderm.

Kama ni mwili mzima tafuta
Griseofulvin fluconazole au terbinafine. Nimepanga kulingana ma hela yako Ila zote ni dawa nzuri.

Ugua pole
Shukrani sana mkuu
 
Zinafaa kwa watoto
 
Back
Top Bottom