Hivi wanaona kweli? Si wangeangalia kwenye simu tu!
Yawezekana ndo aliwapiga pichaKuna namna upo connected na hio picha, sio bure.
Hahaha! Nomah sana.Hivi wanaona kweli? Si wangeangalia kwenye simu tu!
Wa kushoto mbona kama darali Simba???
hii mipira tuangalie, ila tuishi tukijua kuwa Yesu Kristo anarudi hivi karibuni. mwenye sikio na asikie. wakati wasemapo kuna amani ndipo uharibifu uwajiapo. Mungu awasaidie.
Hata Mimi, golani nadhaniMbona hii location kama naipata vile
Hakyamama, usipopiga vyombo hapo huwezi kumudu kuangalia mpira kupitia hiyo monitor
Pilsner inauzwa 1.2k?
Amen!!hii mipira tuangalie, ila tuishi tukijua kuwa Yesu Kristo anarudi hivi karibuni. mwenye sikio na asikie. wakati wasemapo kuna amani ndipo uharibifu uwajiapo. Mungu awasaidie.