vyuo

  1. Oxpower

    Msaada kuhusu vyuo vinavyotoa kozi za ICT online

    Ndugu wana jamvi, Naombeni kujua vyuo vinavyotoa kozi za ict ngazi ya certificate au diploma kwa hapa tanzania ,kwa njia ya mtandao. Nb.nina bachelor katika fani nyingine,o level nina C ya hesabu na D ya physics je naweza kuanza na diploma au certificate msaada tafadhali kwa mnajua hili
  2. L

    Mishahara ya Non teaching staff vyuo vikuu ikoje?

    Mfano: Ngazi ya degree Admission officer Examination officer Warden e.t.c Ahsante
  3. Rebeca 83

    Nadhani tunahitaji vyuo vingi vya Ufundi stadi

    Hello Great Thinkers. Leo nimefikiria kitu nikaona nikilete ili tujadiliane kwa mapana kwa ajili ya Ustawi wa Nchi yetu. Nimeona tuwe na hivi Vyuo vya Ufundi Stadi vingi nchini Tanzania. Viwe vinatoa courses kama Upishi,Ushonaji,Make up,Kupaka rangi Nyumba,Umeme,n.k Vyuo hivi Ada yake iwe...
  4. mdukuzi

    Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

    Kwa msiofika Mwanza, Rocky City Mall ndio Mlimani City ya Mwanza. Cha kushangaza mwitikio wa wafanyabiashara wa Mwanza kwa jengo hili umekuwa mdogo sana mpaka kufikia kukodishwa kwa vyuo vikuu nchini kukodi floor za juu kuwa madarasa yao, vyuo zaidi ya vinne vikiongozwa na IFM vipo jengo hili...
  5. Roving Journalist

    Wabunge wataka wahitimu wakopeshwe kwa vyeti vyao

    Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, aliyasema hayo bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la...
  6. kmbwembwe

    Je utaratibu wa Serikali kuwapangia wahitimu sekondari vyuo binafsi umerudi?

    Kwenye awamu ya nne elimu ilivurundwa sana hadi wahitimu wa form four kupangiwa chuo kikuu tena na kupewa mkopo kwa kisingizio cha kuandaa waalimu huku vigogo wakiwapangia jamaa zao ambao hata sifa hawana. Tulifikia mahali ambapo wahitimu form six walikua wanapangiwa vyuo vikuu binafsi kwanza...
  7. kmbwembwe

    Je, utaratibu wa Serikali kuwapangia wahitimu sekondari vyuo binafsi umerudi?

    Kwenye awamu ya nne elimu ilivurundwa sana hadi wahitimu wa form four kupangiwa chuo kikuu tena na kupewa mkopo kwa kisingizio cha kuandaa waalimu huku vigogo wakiwapangia jamaa zao ambao hata sifa hawana. Tulifikia mahali ambapo wahitimu form six walikua wanapangiwa vyuo vikuu binafsi kwanza...
  8. S

    Vyuo Vikuu Binafsi vinalipa mishahara midogo sana

    Kichwa cha habari chahusika. Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato...
  9. BintiTee

    Kwanini baadhi ya course za vyuo vya serikali hazitambuliki na mfumo wa utumishi serikalini?

    Habari wana Jf, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu!nimekuwa na mshangao mkubwa kuona baadhi ya course tena za Bachelors kwenye baadhi ya vyuo vya serikali hazitambuliki kwenye mfumo wa ajira wa utumishi na kusababisha baadhi ya graduates kukosa haki yao ya msingi hata ya kufanya...
  10. Kichuguu

    Adhabu kwa Walimu wanaofanya mapenzi na wanafunzi wao Vyuo Vikuu

    Adhabu hii aliyopewa professor wa Princeton ni kwa kosa alilofanya miaka 15 iliyopita. Tanzania tukitoa adhabu kama hizi kwa waalimu wa vyuo vyetu waliojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao ndani ya miaka 15 iliyopita tunaweza kubaki na waalimu wachache sana. Lakini ni adhabu ambayo inabidi tuwe...
  11. chr1xt0pher

    Mwenye ufahamu na vyuo vinavyotoa degree ya Computer Science

    Habari za siku ya leo, Swali lang ni kwa yeyote anayejua baadhi ya vyuo mbalimbali vinavyotoa degree za computer science. Nitashukuru Sana maana nipo kwenye mikakati ya kutafuta ila sioni mafanikio yoyote. Pia kama kuna anayejua baadhi ya website zinazotoa course kama hizi pia naomba...
  12. Joe Miles

    Tatizo la baadhi ya Wahadhiri kuomba rushwa ya ngono. Je, suluhisho ni nini?

    Habari zenu wana JamiiForums Naomba kuuliza ama kutoa dukuduku; hivi kwanini baadhi ya Wahadhiri wa vyuo haswa Wahadhiri wa kiume wanakuwaga na tabia ya kuwadhalilisha wanachuo wa kike kingono sana, tena haswa linapokuja suala la mitihani na kutafuta courseworks Unakuta msichana/mwanamke...
  13. M

    Huku Kwetu Tanzania tuna Maprofesa Vyuo Vikuu hata Kuandika tu Kitabu cha Kurasa 10 wameshindwa, ila wanachojua ni Kujimwambafai tu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amezungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani. Taarifa: Ikulu Tanzania Asikudanganye Mtu ukizaliwa au kuishi...
  14. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Baadhi ya vyuo vya Ualimu vifutwe na kurekebishwa kuwa vya Kilimo na Ufundi Stadi ili kuendana na soko la ajira

    Ajira mpya za walimu kama 9,800 zimetangazwa nchini hapo jana lakini idadi ya walimu wasio na ajira ni kubwa Sana mtaani kuna haja ya Serikali kufikiria upya kuhusu kuendelea na kufundishwa kozi kozi za ualimu nchini kwani hazina tija tena KWA taifa letu kwa sasa. Ukijaribu kuchukua idadi ya...
  15. HEKIMA itawale

    Miongozo dhaifu imeathiri udahili wa wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma Vyuo Vikuu vya Tanzania

    Wataalam na wadau wa elimu ya juu wamewaomba viongozi wa serikali kuanzisha utaratibu maalum utakaoviruhusu vyuo vikuu nchini kuwapokea wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma kozi ya shahada Tanzania. Kwa sasa ni wanafunzi wenye alama za ufaulu sawa na elimu ya sekondari ya juu (Kidato cha Sita)...
  16. Ferruccio Lamborghini

    Wasomi wa vyuo siku hizi hamna kitu, wanafuata mkumbo tu

    Yaani ovyo tu, wengi wanaenda kusoma vyuoni kwa ajili ya kufuata mkumbo tu ili jamii iwachukulie kama vile wamesoma sana. Ila huko chuoni aisee, ukiwaona utachoka. Yaan kichwani hakuna kitu😬 kuna mmoja alisoma IT nilimpa kazi ya kunipigia Windows 10 kwenye PC yangu,akabaki ananikodolea macho tu...
  17. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Kila Mwanafunzi kutumia Komputa yake katika Vyuo vya Ualimu

    Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema, katika Vyuo vyote 35 vya Ualimu, Wanafunzi Wanatumia Komputa ambapo Uwiano sasa ni Komputa moja kwa Wanafunzi wawili awali ilikuwa Kumputa moja kwa Wanafunzi 28. Ameyasema hayo tarehe 05 April 2022 Jijini Dar wakati wa Ugawaji...
  18. robinson crusoe

    Waziri wa Elimu simamia utawala katika vyuo. Wanafunzi wanaumizwa na elimu inaanguka!

    VETA, NACTE na TCU ni vyombo ndani ya wizara hii. Kulikuwa na malalamiko na matukio ya wanafunzi kunyanyaswa kingono. UDOM na Uhasibu Arusha vimekuwa ni mfano wa wazi. Hata hivyo hatujasikia Wizara ikisema lolote juu ya matukio kama hayo pamoja na jamii kuyasikia tena na tena! Nimefanya...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Hapa sampuli za maji ya mto Mara zipelekwe baadhi TBS, GCLA, NEMC, SGS, Intertek na zingine kwenye maabara za vyuo zikapimwe upya

    Kwakua majibu ya ripoti yamekua na utata kidogo, ni vyema sampuli za maji ya mto mara zifanyiwe uchunguzi wa maabara upya. Sidhani kama swala la kuchunguza maji lilihitaji kuunda tume. Analysis za maji ni kitu kidogo sana. Anyway ningekua ni mimi ningechukua sampuli za maji na kuzipeleka kwenye...
Back
Top Bottom