vyuo

  1. Parabora

    JamiiForums Tanzania Kwa hali na Changamoto za dunia ya Sasa katika ajira, Kuna umuhimu mkubwa sana kupata elimu katika vyuo vya nje

    Huku bado lock-down inaendelea wakuu japo Cha kushukuru ni maambukizi mapya yamepungua sana na huenda masharti yakalegezwa siku za hivi karibuni, lakini kipindi hiki ambacho hatuna ratiba nyingine nimeamua tuwe tunajadili mambo muhimu na yenye afya kwa vijana wenzangu. Leo tujadili hasa umuhimu...
  2. maroon7

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu ishinikize vyuo vya Serikali vilipe madeni ya walimu wa part time katika kipindi hiki kigumu cha janga la COVID-19

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza tunaomba Wizara isaidie Vyuo Vikuu vya Serikali ambavyo vina tabia ya kulimbikiza madeni ya walimu wa part time vilipe mara moja hasa katika kipindi hiki cha janga la Corona ambapo kujikimu imekuw shida kutokana na shughuli nyingi za kiuchumi kuathirika...
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Wataalam wetu wamefikia hatua gani kuhusu kinga ama tiba ya Corona?

    Wakati wataalamu na watabe katika kada ya afya kutoka mataifa mbalimbali duniani wakipambana kutafuta dawa ama kinga dhidi ya kirusi Corona, nataka kufahamu kuhusu hawa madaktari bingwa tena watabe kwelikweli kutoka Tanzania wao wamefikia hatua gani ya kiutafiti? Je, tutegemee lolote kutoka...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya e-Learning/Online Learning kwa shule za msingi, secondary na vyuo mbalimbali nchini Tanzania

    Kwa nyakati kama hizi ambapo janga la COVID-19 limeikumba dunia, shule na vyuo mbalimbali havina budi kubuni njia mbadala za kutoa elimu kwa wanafunzi wao. Hata hivyo taasisi mbalimbali za elimu duniani tayari zilishapiga hatua kubwa katika maendeleo ya kutoa elimu kwa njia ya mtandao - -...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Visa vya COVID-19 vyafikia 53. Vyuo na Shule kuendelea kufungwa hadi Serikali itakapotoa tamko jingine

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vya elimu ya kati na elimu ya juu litaendelea kubaki vile vile hadi Serikali itakaposema vinginevyo Pia, amesema Rais Magufuli amesitisha maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi zilizokuwa zifanyike...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Janga la corona: Serikali iseme mapema kama itafungua vyuo na mashule au itaongeza muda watu wajipange

    Zikiwa zimebaki takribani siku saba kabla ya siku 30 za kufunga vyuo na mashule zilizotolewa na serikali kuisha,ni vizuri serikali ikatoa tamko mapema kama inaongeza siku au inaruhusu vyuo na mashule kufunguliwa ili kuwawezesha watu, wakiwemo wazazi na wanafunzi, kujipanga angali mapema. Sababu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Kufungua shule na vyuo April 27, 2020

    Kama ambavyo tumekuwa tunashauri, maisha hayawezi kusimama kabisa. Ni kweli lipo janga lakini tujikinge wakati mambo mengine yanaendelea. Tulisema kuwa baadhi ya nchi nyingi zili over react, of which hatulaumu lakini baada ya tathmini hatuna budi kusonga mbele. Shule zifunguliwe kama...
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Nashauri hili Kuhusu kufunguliwa kwa shule na vyuo

    Nashauri, serikali ione haja kufanya tathmini ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona na itoe mwongozo mapema ili wazazi/walezi wajiandae mapema ki fedha na kisaikolojia kuhusu watoto wait kurudi shule hapo April,17,2020
  9. R

    JamiiForums Tanzania NACTE lini mtafungua dirisha la kuomba vyuo?

    Kwa kawaida Mwezi March huwa linafunguliwa dirisha la vijana kuomba vyuo. Kuomba huku ndiko huwa kunapelekea vijana kuanza masomo mwezi wa kumi (10). Hii ndiyo huwa MAJOR intake. March imeisha na hakuna tangazo lolote la kufungua dirisha la udahili na vijana kuomba vyuo, kunani NACTE?
  10. E

    JamiiForums Tanzania MShahara wa Tutorial assistant part time kwa Tutorial assistant vyuo vya public Tanzania huwa ni shillings ngapi naomba kujua??

    Hivi Mshahara wa Tutorial assistant wa part time kwa vyuo vya public huwa ni shillings ngapi ?
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Je, Vyuo, Serikali na Taasisi zote za kielimu zimejipanga vipi kutoa huduma za kielimu iwapo tutavamiwa na Corona?

    Wakati huu ambao kuna tishio la korona kila pande ya ulimwengu, Je asasi za kielimu zimejipanga vipi kutolea elimu? Au Ndio zitafungwa kwa muda usio julikana. Nafikiri teknolojia za menti/mentimita na Skype zinaweza kusaidia hilo. Lakini udogo wa teknolojia unaweza kuathiri matumizi yake.
  12. Paa

    JamiiForums Tanzania Hali ikoje kwenye kozi za Masters in Computer na Data Science katika vyuo vyetu hapa Tanzania?

    UDSM hizi kozi mbili zote zipo, sijafuatilia kwa UDOM na vyuo vingine. Hali ikoje wadau? Maana stori za mitaani zinasema kuwa waalimu wengi hawajali wanafunzi, hawana muda na wanafunzi ila mambo yao tu na wengi hawana moyo wa kumsaidia mtu amalize fresh. Hali ikoje?
  13. frank ngowi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kiwango cha GPA kinachotakiwa katika kudahiliwa Vyuo vya Diploma

    habari za muda wana jf, naomba kwa wataalamu au wanaofahamu au ambao wameshafanyaga application kwa mfano NTA LEVEL 4 nlipata GPA 3.0 LEVEL 5 GPA 3.0 na LEVEL 6 GPA 3.6 je udaili wa kusoma degree kwa vyuo vya afya wanaangaliza wastani wa gpa za level zote au ni hiyo ya mwisho tuu?
  14. Kibanga Ampiga Mkoloni

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kujiunga na vyuo vya maendeleo ya Wananchi

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za kujiunga katika Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) kwa mwaka 2020. Sifa za Mwombaji ni mwananchi yeyote mwenye nia ya kupata ujuzi na maarifa mbalimbali. Aina ya Mafunzo yanayotolewa ni: 1. MAFUNZO YA UFUNDI STADI- NGAZI YA I, II...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania NACTE yavifutia usajili Vyuo vya Ufundi 10 kutokana na kutokidhi vigezo

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo 7 kikiwamo Time School of Journalism (TSJ), kwa kutokidhi vigezo vya kutoa mafunzo yanayoratibiwa na baraza hilo. Mkurugenzi wa Uthibiti, Ufuatiliaji na Tathmini, Dkt. Geofrey Oleke amesema Baraza limevitaarifu vyuo husika kwa...
  16. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

    Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu limefika kileleni. Serikali ichukue hatuna kuepusha matatizo ya kisiasa na kijamii

    Hili ni kwa serikali na watunga Sera wa Taifa hili. Kuna tafiti moja nilikuwa nasoma imefanywa na Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, nimeshangaa kuona hili tatizo lilipofikia. Sio kwamba nilikuwa sijui bali tatizo ni kubwa na vijana waliohitimu vyuo vya elimu ya juu kwa maelfu hawana...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikao cha dharura cha wakuu wa vyuo vyote vikuu nchini kinaendela mjini Dodoma , kuna tatizo kubwa

    Kuna tetesi kuwa kikao cha dharura kimeitishwa mjini Dodoma kinachowakutanisha wakuu wote wa vyuo vikuu nchini. Hatua ya kuitia kikao hicho imetokana na hali mbaya ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini ambapo mara wanapoajiriwa katika sehemu mbalimbali wanashindwa kufanya kazi ambazo zingine ni...
  19. Hero

    JamiiForums Tanzania Siasa za ajira za GPA na hatma ya vyuo vyetu vya Madaktari Tanzania

    Nachokoza mada tu leo, Mimi ni mdau katika elimu yetu ya juu ya vyuo vikuu vya Dar es salaam, hasa katika kuandaa madaktari na waambata wao. Hali ilivyo sasa inatia shaka sana katika utoshelevu wa wakufunzi katika fani za 'biomedical sciences', hasa katika eneo la 'Human Anatomy' (anatomia ya...
  20. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Wazazi wasioweza kulipa ada ya shule za msingi na sekondari Tanzania, wanapata wapi uwezo wa kulipa mamilioni ya ada za vyuo vikuu?

    Wanajamvi habari za mapumziko. Nikiri kwamba mimi nilisoma Mlimani, naumia sana nikisikia serikali hii inayonunua mindege inashindwa kuwakopesha wanafunzi kwa wakati. Nikiri kwamba nilikuwepo na niligoma na kuandamana haswa pale mwaka 2004, serikali ya srlikali ya CCM chini ya Mzee Mkapa...
Back
Top Bottom