Habarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa.
Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi unywaji wa pombe uliopitiliza, wanavuta bangi,sigara,mirungi... nk
Mimi nashangaa sana halafu unakuta...
Mpira unaanza na uwezo wa akili kufanya maamuzi. Mpira unatokana na skills na creativity. Watu wote wenye vipaji wanafaulu katika eneo lao la specialization.
Mafundi simu simu wengi siyo wale waliomaliza degree bali ni wale walio na kipaji chakujifunza kutengeneza simu.
Mafundi furniture siyo...
Kama unadhani vijana wanaojihusisha na kazi ya kubeba mizigo ya watalii ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimajnjaro(KINAPA) maarufu kwa jina la 'wagumu' ni vijana wasijiotambua na ambao hawajaenda shule,pole yako.
Sasa unaambiwa miongoni mwa wanaobeba mizigo ya watalii ni wasomi wa vyuo...
- Wifi internet ni tatizo, vyuo kibao hata free wifi haipo na kama ipo kuipata access yake ni shughuli ama ipo slow sana, kwa vyuo vya serikali angalau ttcl nayo ni taasisi ya serikali huwa wanajitahidi kuwasambazia,
- Umeme ukikatika vyuo private ni wao wenyewe wayajitegemea kwenye mafuta...
Zamani mwanafunzi wa chuo kikuu alikuwa ni tanuru la fikra kwa jamii. Ilikuwa hakuna linalopita bila kuhojiwa na kudadavuliwa hadi mwisho ili kupata kiini na undani wa jambo husika kabla halijatekelezwa. Jumuiya ya Chuo Kikuu ilikuwa inaweza kuutafuta ukweli kutoka kwa yeyote bila hofu wala woga...
Kama wewe ni mzazi au mlezi una binti yako! yuko au anategemea kusoma taasisi za elimu ya juu kwa udhamini wa bodi ya mikopo kaa chonjo! Mabinti ni jinsia ya kike! Ni wanawake hata kama hawajazaa au kuolewa! Ni dhaifu wamejaa tamaa!
Sasa wewe mzazi unajiridhisha eti kwasababu kapata mkopo...
Vyuo vikuu vinabeba vijana waliotoka famila za kitajiri, kimaskini na vijana wanaotoka kwenye famila za kawaida (sio maskini na sio matajiri).
Ni asili ya mwanamke kupenda mambo mazuri, walioishi kota wanalijua hili.
Sasa Binti katoka familia za mboga moja, na chuoni analupiwa na serikali au...
Hii ni tahadhari nawapa, kwa wazazi na wanafunzi kwa ujumla.
Ewe mzazi, usipoteze mamilioni kusomesha mtoto wako kwa uchungu na kwa jasho halafu akarudi nyumbani kukaanga chips na kuendesha bajaji.
Ewe mzazi, usiuze ng'ombe zako, usiuze ardhi yako, usifilisi biashara zako kwa ajili ya kupeleka...
Kiufupi anasema UDSM ni kama Sekondari ya Kata, hakina hadhi ya Chuo Kikuu tena maana kimehama kutoka kwenye tafiti na mijadala na kuwa extended school 😂😂
Naunga mkono hoja ya ulimwengu.
Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu.
Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo wanafunzi wa sekondari.
Nahitaji kusoma diploma ya famasi lakini jambo la "sare" linakuwa gumu kutokana...
Kwanini suplementally na incomplete hazifanyiki kwa pamoja? Yaan unakuta mtu hakufanya mitihani kadhaa halafu baadhi akafanya sasa kwa bahati mbaya aka sup moja wapo lakini siku ya second sit anaambiwa afanye tu incomplete halafu Sup mpaka baadae why?
Sababu ni kama kumpotezea mtu muda. Mdogo...
Akichangia bungeni mbunge Keneth Nollo, amesema serikali ifikirie kuondoa ada kwa wanafunzi wa chuo nchini sababu umasikini na mkubwa na wengi hawawezi kumudu.
Badala yake wanafunzi wa nje pekee ndio wawe wanalipa ada.
Wana Jamvi JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza niende moja kwa moja kwenye mada. Kabla ya mwaka 2023 wanafunzi waliokuwa wanafaulu kidato cha sita na kudahiliwa katika vyuo mbalimbali Tanzania pamoja na vigezo vya kusomea taaluma maalum za sayansi, udaktari na ualimu kupata asilimia...
"Je, ni lini Serikali itakipandisha hadhi Chuo cha Maendeleo ya Jamii Musoma ili kiweze kutoa Shahada" - Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa)
"Ili Chuo kiweze kufikia elimu kwa ngazi ya Shahada kinatakiwa kiwe na ithibati kamili n vigezo stahiki ikiwemo miundombinu...
Je, wajua Sheria ya Vyuo Vikuu ya mwaka 2005 na Kanuni za Mwaka 2013 zimepiga marufuku Wanafunzi kujihusisha na shughuli za Chama cha Siasa ndani ya Majengo ya Chuo?
Kifungu cha 57 cha Kanuni ya Vyuo Vikuu inasema "Mwanafunzi yeyote au Mfanyakazi wa Chuo Kikuu anayejihusisha katika
shughuli za...
Serikali isipofuatilia kwa umakini sifa za uanzilishwaji wa vyuo vya Afya kuna uwezekano wa kuzalisha madaktari feki.
Ukiangsli Jiji la Tanga , kwa mfano tangu mbunge wao Ummy Mwalimu awe waziri wa Afya, kuna vyuo vya afya vingi bubu vimeanzishwa kila kona ya Jiji kulikoni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.