UALIMU: Muongozo kwa vyuo vinavyotoa kozi ya Ualimu (Arts) kwa ngazi ya Certificate na Diploma

AnyWayZ

JF-Expert Member
May 30, 2022
4,209
7,110
Salaam Wakuu,

Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE au Mwalimu Nyerere (MNMA).

Msaada:
Ni utaratibu gani hutumika kufanya maombi ngazi Certificate/Diploma katika vyo hivyo?

Je, kuna vyuo vingine vilivyopo NACTE vinavyotoa kozi hiyo jijini Dar es salaam? Maana kijana ni mgonjwa mgonjwa hapaswi kua mbali na familia. Anataka Ualimu tu anadai ni ndoto yake.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom