vyuo

  1. cold water

    JamiiForums Tanzania Tunaomba vyuo vya Serikali vijengwe mkoa wa Ruvuma pia

    Huu mkoa haukui upo, upo tu!!! Vyuo vinasaidia sana mji kukua, Wilaya ya Songea imepoa mji uko vilevile miaka nenda rudi! Of course kuna vyuo,lakini kwa upande wangu naona havisikiki kabisa kuna chuo cha sauti, kilifungwa kimefunguliwa kitu ambacho kimefanya nikione kama chuo cha magumashi...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasomi na wahitimu wa vyuo mtaani, nafasi za uongozi Serikali za mitaa na udiwani 2025 zinawahitaji sana

    Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi. Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako. Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
  3. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Kama unahangaika kuwapata watu wenye uhitaji ili upate baraka/twawabu basi fika vyuoni hasa vyuo vikuu vya serikali

    Naandika haya nikiwa jikoni kabisa.Nimelia sana kwa maneno ya wabunge wanaokula posho za bure kwa kugonga meza na kudharau wanazuoni. Jamani kuna kundi kubwa sana la wanafunzi wa vyuo ndoto zao zinaisha njiani na kufa kabisa kwa sababu za ada,watu wanakosa malazi,watu wanapitia msoto mkali...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu wainishi maisha ya kifahari sana siku hizi kulikoni

    Yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku hizi. Wanaishi kama wafanyakazi wa mashirika flani hivi ya kimataifa, haonekani akienda chuo...
  5. Neumanstephen

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa boom makusudi kunasababisha wanachuo kupata tabu vyuoni

    Vyuo vikuu inakuaje board ya mikopo inaweka hela kwenye account za vyuo wiki mbili zinapita bado chuo haviandai voucher na cheques kupuleka bank wanafunzi wanapata pesa baada ya siku 84 sio 60 tena vyuo vinafaidika Nini na kuwacheleweshea wanafunzi pesa hapa SUA mjiulize 🤨
  6. greater than

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vyuo vikuu visafi Tanzania, nini maoni yako?

    1. University of Dar es Salaam 2. Sokoine University 3. Nelson Mandela African Institute 4. Mbeya university 5. Catholic university of Health 6. Mwenge Catholic University 7. Moshi Cooperative university 8. Mzumbe university 9. Kilimanjaro Christian college 10. University of Arusha Kwa ambao...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Napingana na Dr Bashiru, Kuviachia Vyuo vikuu viajiri kama zamani

    Akiwa Bungeni Dr Bashiru ameitaka serikali kubadilisha mfumo wa kuajiri kutoka Utumishi na kuviachia vyuo vikuu kuajiri. (Namkubusha tu 2019 alikuwa bado ni Magu, na katika hili watumishi wengi waliumia) Utumishi hawana kosa. Adhma ya jambo hili ni jema lakini, athari zake ni kubwa sana, na...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu Foundation Course

    Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
  9. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Barrick yadhamini kongamano la wanafunzi kuwajengea uwezo wakujiamini na kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri vyuo vikuu vya Iringa na Dodoma

    Mratibu wa mafunzo (Supervisor Learning and Development wa Barrick Tanzania,Elly shimbi akiongea na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa kongamano lakuwajengea uwezo wakujiamini na kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya AIESEC Tanzania lililofanyika katika...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya waliokamatwa kwenye maandamano ya vyuo Marekani sio wanafunzi, walijichomekea tu

    Itabidi wafurushwe na kurejeshwa kwenye nchi zao..... New York City officials say nearly half of the 282 people arrested at pro-Palestinian protests on two campuses this past week are not currently affiliated with either school. The arrest breakdown was released on Thursday by the New York...
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Waajiri wanawapa wakati mgumu wahitimu wa vyuo kutafuta kazi

    Leo kuna dogo kaja ana lalamika yani kaenda kwenye interview na alipofika amewakuta wale wanaomuuliza maswali wanaelewa sana kile alichokisomea yeye na hata wao hawajasomea course hiyo. Walimwambia kuwa hawamuhitaji kwani wanachuo wengi wanafundishwa kwa theory sana na sio practice. Kwa stahili...
  12. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Nawapa pole sana wazazi wenye watoto wa kike vyuoni hasahasa hivi vyuo vya katikati

    Salama kitu gani? Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu. Anaomba msaada nikamchukulie vitu vyake arudi chuoni Kilacha(chuo cha mifugo), jamaa ananifata...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

    Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia...
  14. Ghettominds

    JamiiForums Tanzania SoC04 Usiulize Taifa limekufanyia nini, uliza umelifanyia Taifa nini

    Naandika kutokea Ghetto hii ni story ya Ghettominds. Anaesoma hii namuomba samahani kwa kumkumbusha machungu aliyopitia, katika ngazi ya elimu ya juu yani chuo. Hii ngazi wengi humu tumepitia na hakuna asiyejua maisha ya chuo jinsi yalivyo. Hivyo basi kupitia sera ya Tanzania niitakayo nawapa...
  15. Gilbert Prudence

    JamiiForums Tanzania Vijana wasomi wanapitia wakati mgumu maisha baada ya vyuo

    Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi. Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi duni lakini watawala watatuita maafsa, ila yote ya yote ni kufocus na kujituma ukiwa unasubiri miujiza...
  16. Midevu

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyuo vya Tanzania havina endowment funds?

    Endowment fund ni nini? Kwa kifupi, ni mfuko ambao fedha za za michango na misaada kwa chuo huwekwa na kuwekezwa sehemu mbali mbali ili zizalishe faida. Hiyo faida inatumika kutunza thamani ya huo mfuko na kufadhili shughuli za chuo kama tafiti na ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wenye vipaji au...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Migomo vyuo vikuu imeangusha serikali; Marekani siyo kisiwa, la sasa halimwachi salama!

    1. Vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu ni sehemu nyeti kwa usalama wa taifa kama ilivyo kwa jeshi na sehemu zingine kama hizo. "Columbia University students say protest highlights ‘Bigger cause’ "The students remain defiant and they remain here in the campus. "Hundreds of students have not...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Waaukumbi. American colleges and universities involved in the Palestinian protests: - Yale University University of Texas Columbia University Massachusetts Institute of Technology University of Minnesota University of California, Berkeley University of Pittsburgh University of Rochester in...
  19. Wagirimbe JR

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Wildlife Management Online Courses Tanzania

    Naomba kujua list ya open university zinazotoa course ya Wildlife Management online nchini Tanzania na kutoa cheti kinachotambulika
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship...
Back
Top Bottom