vyuo

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna Tanzania inavyoweza kuzalisha wataalamu bora katika vyuo vya sayansi na teknolojia nchini

    Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo. Hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha inasimamia kikamilifu namna ambavyo elimu hiyo hutolewa. Mfano. Mwalimu anapotoa assigment kwa...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu na vyuo vya kati, jitahidini kuzingatia maadili ya vijana wetu wakiwa huko masomoni

    Huko vyuoni mbona hamuweki vitengo vya kuratibu nidhamu na maadili ya watoto wetu wawapo masomoni, Mbona mmefanikiwa kuratibu taaluma na kudhibiti wizi wa mitihani vyuoni. Vyuoni imekuwa sehemu ya kuwabadilisha vijana kuwa Makahaba wa hadharani Mapenzi ya jinsia Moja. Kutumia mihadarati...
  3. dogman360

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba kusoma Vyuo vya Afya kwa mwaka 2024/2025 tukutane hapa .TCU wanafungua mwezi ujao

    Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
  4. ismaili sogora

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwaangalie wahitimu wa vyuo vya ufundi stadi VETA kwa kuwapatia nyenzo za kuwawezesha vijana kuendeleza fani zao

    Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
  5. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati na vyuo vikuu itolewe kwa wote watakaoomba

    Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi (“Structural Adjustment Programme”), mpango uliofadhiliwa na Benki ya Dunia (“World Bank - WB”) na...
  6. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuwepo na utofauti kati ya vyama vya siasa vya uraiani na vile vinavyotumika vyuo vikuu na kati

    UTANGULIZI Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia. Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora. Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi. Tawala Moja wapo ambazo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujenga vyuo vya VETA na kutumia wataalamu wetu wazawa

    Tanzania ya miaka 15 ijayo inapaswa kuwa nchi yenye mfumo imara wa vyuo vya ufundi stadi (VETA) ambao unatoa mafunzo yanayokidhi mahitaji ya soko la ajira. Kuimarisha vyuo vya VETA ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu, kwani itasaidia kutoa wataalamu wenye ujuzi na maarifa yanayohitajika...
  10. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Top 10 za shahada za vyuo vikuu ambazo wahitimi wanajuta kusoma.

    Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi. 10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education) 9. Biology...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vyuo vinavyotoa Course ya Commmunity Health

    Hivi course ya COMMUNITY HEALTH ipo na inatolewa kweli? Nimejaribu kufatilia vyuo vingi sijaiona. Naomba kama kuna mtu anajua chuo kinachotoa hii course tafadhali.
  12. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Mujibu wa Sheria kwa wahitimu wa kidato cha nne wasio na vigezo vya kujiunga kidato cha tano na vyuo shirikishi

    UTANGULIZI Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Degree Programmes za Literature Vyuo Vikuu unasababisha uhaba wa Walimu wataalamu wa Literature mashuleni

    Habari wakuu. Tunapozungumzia kufundisha Literature tunazungumzia walimu wabobevu wa lugha ya kiingereza kwasababu hakuna fasihi bila lugha. Kwa muda mrefu nimekua nikitatizwa na upungufu wa walimu wa somo la English literature mashuleni. Hivyo nimesukumwa kufuatilia suala hili kwa undani na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 10% mikopo inayotolewa na almashauri kwa vijana ni bora ikajenge vyuo vya ufundi ilikuwa na wabunifu wengi kuendana na kasi ya teknolojia duniani

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo wanageuka...
  15. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 10% ya fedha inayotolewa na Halmashauri kwaajili yakuwainua vijana kiuchumi zitumike kujenga vyuo vya ufundi kuendana na kasi ya teknolojia ya dunia

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu. Hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza kwenye Teknolojia kwa kutumia vyuo vyetu kuyasogelea kwa Karibu Mapinduzi ya Nne ya Viwanda

    Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda. Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vingine Tanzania walishangilia Usiku Kucha jana baada ya Kuingiziwa 'BOOM' lao kama walivyofanya wa UDOM?

    Nikisia kuwa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu changu cha Majiniasi tupu cha SAUT Mwanza nilichosoma kati ya mwaka 2006 hadi 2009 nao wamefanya huu Upuuzi na Ushamba nitaumia, nitasikitika na nitaanza kuona kuwa sasa Wakatoliki wamepunguza Umakini wa Kitaaluma na Malezi kwa Wanafunzi. Kama hujasoma au...
  18. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

    Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology! Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo wanaosomeshwa na Baraza la wafugaji (Ngorongoro) wadai hawajilipiwa ada na mahitaji mengine

    Baadhi ya wanafunzi kutoka jamii ya kimasai, Wilaya ya Ngorongoro wanaosomeshwa na Baraza la wafugaji chini ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wanadai kumekuwepo na kusuasua kwa malipo ya ada na mahitaji mengine kwa wanufaika waliopo kwenye vyuo mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa leo...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tuliomaliza vyuo majuzi alafu tukawa na presha ya kusubiri ajira za afya zitangazwe may mosi njooni tupeane mrejesho

    Tuliomaliza vyuo majuzi alafu tukawa na presha ya kusubiri ajira za afya zitangazwe may mosi njooni tupeane mrejesho
Back
Top Bottom