vitu

Vitus (), according to Christian legend, was a Christian saint from Sicily. He died as a martyr during the persecution of Christians by co-ruling Roman Emperors Diocletian and Maximian in 303. Vitus is counted as one of the Fourteen Holy Helpers of medieval Roman Catholicism.
Saint Vitus' Day is celebrated on 15 June. In places where the Julian Calendar is used, this date coincides, in the 20th and 21st centuries, with 28 June on the Gregorian Calendar.
In the late Middle Ages, people in Germany celebrated the feast of Vitus by dancing before his statue. This dancing became popular and the name "Saint Vitus Dance" was given to the neurological disorder Sydenham's chorea. It also led to Vitus being considered the patron saint of dancers and of entertainers in general.Vitus is considered the patron saint of actors, comedians, dancers, and epileptics, similarly to Genesius of Rome. He is also said to protect against lightning strikes, animal attacks and oversleeping. Vitus is the patron saint of the city of Rijeka in Croatia; the towns of Ciminna & Vita in Sicily, Forio on the Island of Ischia, in Campania, Italy; the contrada of San Vito, in Torella dei Lombardi, in Avellino, Italy; the town of Rapone, Italy; the town of Winschoten and the Gooi region in the Netherlands, the Italian colony of San Vito in Costa Rica, and the town of St. Vith located in Belgium.
Various places in Austria and Bavaria are named Sankt Veit in his honour.

View More On Wikipedia.org
  1. The Boss

    JamiiForums Tanzania Hivi vitu tunavidharau, vinakuja kututesa sana

    Wale ambao wazazi walitusimamia na wakatufundisha hardwok, nidhamu, kuwa busy na mambo yako. Lakini mitaani maofisini na kila maeneo unakuja kugundua kumbe hardworking alone sio dawa. Watu mitaani na maofisini wana vipaji vya ajabu kwenye kujipendekeza unafiki, fitina kuchafua wengine n.k...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huyu mtoto ana vitu viwili ambavyo hela haiwezi kuvinunua. Furaha na Afya njema

  3. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Vitu 13 akikuonyesha Mwanamke ujue amekuzimia kwa dhati

    Amekuzimia? Anakupenda Kweli? Nini Kina Ashiria?. Kumuelewa mwanamke kama amedata na wewe inahitaji ujanja mwingi. Zifuatazo ni dalili 13 akikuonyesha mwanamke, kuna uwezekano mkubwa amekuzimia kimahaba. Ukiziona dalili hizi kwa mwanamke unaempenda, usisite kumuweka wazi kile unacho jisikia...
  4. stineriga

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta anahitajika Dodoma

    Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika. Majukumu: Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini wateja wanahitaji. Kituo cha kazi/duka lilipo: Mkonze, Dodoma Jinsia: awe mwanamke /msichana Umri...
  5. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu mwanadamu huvifanya kuendana na umri

    Miaka 8 mtoto anaanza kujitambua kama amependeza. Hapa ukimvalisha maroronya mnakwenda kwenye party anaweza kugoma kwenda. Hapa mzazi kuwa makini kuhakikisha mtoto ni msafi hii inamjengea kujiamini akiwa mbele ya wenzake. 11-12 wengine wanaingia puberty age, hapa anaanza kupenda kupendeza...
  6. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu kwa mtiririko,umakini na hata namna vikao vyao huwa kwakweli napata tabu mno kuifananisha CCM na vitu vya ajabu!

    CCM bado ni chama imara ki-muundo na ki-mfumo pia. Ukiangalia mpangalio wa vikao wa CCM hakika unajawa na haja ya kuwafuatilia na kuziheshimu sera na itifaki zao. Pamoja na kulalamikiwa imekuwa ikitumia dola kubaki madarakani lakini bado chama hicho kinazo sifa na uwezo wa kuendelea kuongoza...
  7. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Ushauri, natarajia kuanza biashara ya vitu vya jumla vya dukani kutokea Dar es Salaam kuja mikoani

    Nawasalimu wote. Mimi ni kijana mjasiriamali ninaetarajia kufanya biashara ya jumla ya vitu vya dukani(Arusha&Moshi) lakini ningependa kupata mawazo na ushauri namna ya kuagiza vitu hivyo kutokea Dar kuja mkoani. Uzoefu wa biashara hii ningeupata kutoka kwenu ningeshukuru pia. Vitu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kama sili mbususi yako, acha kutamani vitu vyangu

    Kuwa na vibinti ni shida sana vinakuwa haviko interested na sex ila vinataka chips mayai, out, mdudu, kuvaa vizuri, na misaada mengine ila mwamba ukitaka kunyoosha goti hawataki, mimi huwa mapema sana napenda kuweka mwelekeo wa penzi kwamba mimi sihitaji chochote zaidi ya mbususi. Ila kama...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Vitu 6 vya kuandaa unapotaka kusajili kazi ya sanaa

    Nakala mbili za kazi yako ya sanaa; Picha mbili za utambulisho(Passport size); Nakala ya picha za utambulisho, Kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa; Nakala ya picha ya utambulisho, kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa cha ndugu wa mwombaji; Ushahidi wa maandishi kuhusu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuagiza vitu kutoka Kenya

    Habari za muda huu ndugu zangu? Ukweli ushamba mzigo kumbe kenya wanabei ndogo ya simu kuliko aliexpress? Juzi nilikuwa nataka simu aliexpress nilikuwa na laki 8 niliona ngoja nitafute xiamon maana kunawatu walikuwa wanazisifia sana nilipata xiamo note 10 pro kwa bei ya laki 8 niliongea na yule...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa designing niongeze vitu gani kwenye hii model

    Habari za leo wakuu, Nimerudi tena, kuomba ushauri kutoka kwa watundu wa designing. Watundu wa design niongeze vitu gani kwenye hii design.
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kama tutaanza kupamba hata kwa vitu vya kipuuzi

    Plato alipata kusema. "We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light" "Tunaweza msamehe kirahisi mtoto anayeogopa giza. Janga katika maisha ni pale ambapo mtu mzima anaogopa mwanga" Si tafsiri rasmi. Tunapoendelea na...
  13. Meshacky Allyson

    JamiiForums Tanzania Vitu gani unazingatia, wewe binafsi kabla ya kuingia kwenye mahusiano?

    Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya ni Dua na maombi yangu kwa mola ,azidi kuwalinda na kuwapa maarifa na hekima ili tuzidi kufundishana na kupeana mawazo, Narudi kwenye mada. Binafsi nipo single na huwa nikikutana na marafiki au washkaji zangu, wengi huwa nikiwauliza why umeingia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

    Nakuona ITV sasa umetoa sentensi hiyo kuwa wzungu wanaleta vitu vya sumu huku afrika deliberately ambayo nina uhakika you can not substantiate. Usitake "kuropoka" kama Jiwe. Humu ndani hatuna uwezo wa kuhakiki composition ya chanjo maana hata technology iliyotumika kuitengeneza sijui kama tuna...
  15. polokwane

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza, mitandao ndiyo iliyobeba Watanzania wenye uelewa wa mambo. Huko vijijini na watu wa chini ni rahisi kuwahadaa kwa vitu vidogo

    Na hiyo ndiyo mbinu aliyo kuwa akiitumia Magufuli. Alitumia sana Watanzania wa chini na wenye uelewa mdogo kujipatia umaarufu huku maswala ya kitaalamu yakienda kombo. Aliwadanganya sana kwa mengi na walimuamini sana kama Kinjeketile Ngwale wao na walidanganyika kwa sababu walio wengi hawakuwa...
  16. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani hivi?

    Jamani Gari huwa naicha sehemu wakati wa asubuhi jioni huwa naipitia ikiwa imeoshwa sasa Jana baada ya kufika nyumbani nimekuta kuna hivi vitu kwenye gari kinaweza kuwa nini??
  17. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

    Habarini wana jamvi. Aisee kuhonga hakuepukiki kabisa kwenye maisha ya siku hizi, honga vyote ila usihonge simu wakuu. Kwa upande wangu kiukweli ntahonga hata mwili kwa ma shuga mummy lakini siyo simu. Bado nawaza wanaoweza wanawezaje, bora uhonge hela yeye ndio aamue kununua simu. Nb...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini vitu hivi viko kwa wanajeshi?

    Nilikuwa natizama taarifa ya habari hapa ITV mwanajeshi mmoja anasema walipewa assignment ya kulima hekari 1300 za mahindi wao wakalima hekari 1500. Jeshi likipewa mradi let's say uishe ndani ya mwenzi 1 wao watakufanyia ndani ya siku 28, 27 au muda kamili. Daraja ikikataa wao ni dk0...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba kujuzwa garama ya vitu hivi

    Habari za asubuhi wakuu natumai wote wazima, kama title inavosema naomba kujuzwa gharama za
  20. Kuchwizzy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vitu Vinadondoka? (Newton vs Einstein)

    Kwanini vitu vinadondoka? Hili swali kwa muda mrefu nilikua nalichukulia poa (take for granted) lakini sasa nakili kuwa ni moja kati ya maswali magumu zaidi kuwahi kuulizwa na binadamu. Ukiacha Programming kitu kingine ninachokipenda ni Modern Physics, nasoma basics tu niweze kuelezea...
Back
Top Bottom