Vitu 6 vya kuandaa unapotaka kusajili kazi ya sanaa

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
IMG_20210422_111149_239.jpg


Nakala mbili za kazi yako ya sanaa;

Picha mbili za utambulisho(Passport size);

Nakala ya picha za utambulisho, Kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa;

Nakala ya picha ya utambulisho, kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa cha ndugu wa mwombaji;

IMG_20210422_113343_067.jpg

Ushahidi wa maandishi kuhusu uhusiano kati ya aliyeenda kusajili na wahusika wengine ikiwa ni kikundi

Majina ya washiriki wa kikundi na mwakilishi ikiwa ni kikundi, bendi au kwaya.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom