Msaada wa kuagiza vitu kutoka Kenya

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
489
250
Habari za muda huu ndugu zangu? Ukweli ushamba mzigo kumbe kenya wanabei ndogo ya simu kuliko aliexpress? Juzi nilikuwa nataka simu aliexpress nilikuwa na laki 8 niliona ngoja nitafute xiamon maana kunawatu walikuwa wanazisifia sana nilipata xiamo note 10 pro kwa bei ya laki 8 niliongea na yule muuzaji akasema anasafirisha bongo.

Kabla ya kulipia nikasema ngoja nitembe tembe tembe nikakutana na hii kwenye page ya tweeter ya xiamoni kenya wanauza ksh 23499 nisawa na kama laki 5 ya kibongo nilishanga sana.

Nikajiuliza ina maana Aliexpress wanabei kubwa kuriko majirani zetu? Na kwa wale wazoefu hivi unawezaje kuagiza simu kutoka kenya? Maana naogopa nisije nikachapwa na Mwisho bidhaa gani zina patikana kwa bei rahisi kenya.


WhatsApp Image 2021-04-15 at 7.07.15 PM.jpeg


WhatsApp Image 2021-04-15 at 7.07.15 PM (1).jpeg


WhatsApp Image 2021-04-15 at 7.07.14 PM.jpeg


WhatsApp Image 2021-04-15 at 7.07.14 PM (1).jpeg
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,741
2,000
Avechi ndio walikuwa wanaleta Tanzania ila waliacha toka kipindi cha Corona, wasumbueni sumbueni huenda waka resume kuleta tena.
 

agudev

Member
Apr 5, 2016
41
125
Naona labda kuna kitu umemix chief maana kuna matoleo mawili ya hyo simu. Kuna Redmi Note 10 na Redmi Note 10 Pro, bei uliyoiangalia AliExpress itakuwa ni ya Pro halafu hii ya Kenya sio Pro, ukicheki cheki AliExpress utakuta hii Note bei yake yenyewe ipo chini

Cheki kwenye hii page

MiNote10.PNG
MiNote10ProPNG.PNG


Redmi Note 10.PNG


Redmi Note 10.PNG
 

usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
12,287
2,000
Mme pata hyo cm ama bado

Kenya zmajaa huku Leo nmechukua
Redmi 9
 

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
2,814
2,000
Bei ya aliexpress na store ya kenya zina differ almost 20k shiping ikiwa excluded , na zingatia hakuna store ilio na redmi note 10 pro kwa kenya thou kwa page wamepost ziko out off stock now .Hii ni taarifa toka jikoni .Na pia note 10 pro kenya haiuzwi laki tano
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom