Ndugu zangu kwa mtiririko,umakini na hata namna vikao vyao huwa kwakweli napata tabu mno kuifananisha CCM na vitu vya ajabu!

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
CCM bado ni chama imara ki-muundo na ki-mfumo pia.

Ukiangalia mpangalio wa vikao wa CCM hakika unajawa na haja ya kuwafuatilia na kuziheshimu sera na itifaki zao.

Pamoja na kulalamikiwa imekuwa ikitumia dola kubaki madarakani lakini bado chama hicho kinazo sifa na uwezo wa kuendelea kuongoza Nchi yetu kwa muda mrefu zaidi ya huo uliopita.

Vile vile,CCM na ukongwe wake bado kina hadhina kubwa ya Viongozi wa baadae.

Kidumu Chama cha Mapinduzi!
 
1619690498924.png
 
Imara kutumia rasrimali za nchi?
 
Mbona huo ubunifu wameshindwa kuupeleka kwenue kumkomboa mtanzania, maadui watatu wale wale ujinga maradhi na umasikini toka tupate uhuru mpaka leo.

Hao watakuwa mafundi wa ubunifu wa vitu vidogo visivyo na maana kwa mtanzania.
 
Anaamini mpangilio wa vikao ndio uimara wa chama!
Nchi zilizoendelea wala hazina hizo mbwembwe za sijui halmashauri kuu ya kamati kuu ya mkutano mkuu wa sekretarieti kuu..
Hakuna la Maana lililokuwazisaha hadi kuanzisha hii Post MUFU and MUFILISI.
 
CCM ndo chama Dola! Wana hela yatakutosha huwezi linganisha na vyama vya upinzani!!! Kwa hali ilivyo vyama vya upinzani Hususani CHADEMA ndo chama bora nchi hii!!!
Ccm ni chama sio hawa wanaonunua wapinzani???? Spika huyuhuyu wa CCM amewangangani wabunge waliofukuzwa na chadema!!! Ni dhahiri wabunge wengi wa CCM wapo bungeni kwa dhuluma!! Hata mioyo yao inajua hivyo usituambie swala la uchaguzi ndo ukifanye CCM kiwe chama bora!!! Ni kichaa tu atakuelewa!!
 
CCM bado ni chama imara ki-muundo na ki-mfumo pia.

Ukiangalia mpangalio wa vikao wa CCM hakika unajawa na haja ya kuwafuatilia na kuziheshimu sera na itifaki zao.

Pamoja na kulalamikiwa imekuwa ikitumia dola kubaki madarakani lakini bado chama hicho kinazo sifa na uwezo wa kuendelea kuongoza Nchi yetu kwa muda mrefu zaidi ya huo uliopita.

Vile vile,CCM na ukongwe wake bado kina hadhina kubwa ya Viongozi wa baadae.

Kidumu Chama cha Mapinduzi!
Kingeacha kuiba kura na kutegemea Polisi na Tume kushinda Chaguzi
 
Hebu acha kuonyesha ujuha wako hadharani!!! ccm ni janga kubwa sana la Taifa.
1619700743595.jpeg

CCM bado ni chama imara ki-muundo na ki-mfumo pia.

Ukiangalia mpangalio wa vikao wa CCM hakika unajawa na haja ya kuwafuatilia na kuziheshimu sera na itifaki zao.

Pamoja na kulalamikiwa imekuwa ikitumia dola kubaki madarakani lakini bado chama hicho kinazo sifa na uwezo wa kuendelea kuongoza Nchi yetu kwa muda mrefu zaidi ya huo uliopita.

Vile vile,CCM na ukongwe wake bado kina hadhina kubwa ya Viongozi wa baadae.

Kidumu Chama cha Mapinduzi!
 
Mbona huo ubunifu wameshindwa kuupeleka kwenue kumkomboa mtanzania, maadui watatu wale wale ujinga maradhi na umasikini toka tupate uhuru mpaka leo.

Hao watakuwa mafundi wa ubunifu wa vitu vidogo visivyo na maana kwa mtanzania.
MAADUI WATATU WAMESHATOWEKA MARADHI YAMEPUNGUA UMASKINI UMEPUNGUAUJINGA UMEBAKI KIDOGO TU KWA WATU WA CHADEMA LAKINI NAO TUNAJITAHIDI KUWASAIDIA UWATOKE CCM HOYEEEEEEEEEE
 
CCM bado ni chama imara ki-muundo na ki-mfumo pia.

Ukiangalia mpangalio wa vikao wa CCM hakika unajawa na haja ya kuwafuatilia na kuziheshimu sera na itifaki zao.

Pamoja na kulalamikiwa imekuwa ikitumia dola kubaki madarakani lakini bado chama hicho kinazo sifa na uwezo wa kuendelea kuongoza Nchi yetu kwa muda mrefu zaidi ya huo uliopita.

Vile vile,CCM na ukongwe wake bado kina hadhina kubwa ya Viongozi wa baadae.

Kidumu Chama cha Mapinduzi!
Inategemea Tiss,police, Jwtz = goli la mkono
 
Ccm ni chama kilichojengwa katika msingi wa mfumo dola sawa na vyama vile kama Chama Cha Kikomunisti cha China na vile vyama vya zilizokuwa nchi za Ulaya Mashariki zilizosambaratika ikiwemo na kile kilichokuwa The Communist Party of USSR, kile cha Cuba na kile cha Korea Kaskazini.

Hivi ni vyama ambavyo vinakuwa madarakani kwa sababu ya kumiliki dola, havina tofauti na baraza la kijeshi linalotawala.

Haviwi madarakani kwa ridhaa ya wananchi kwa sababu vyenyewe ndivyo vinavyosimamia taasisi zote katika nchi husika kwa maana hiyo chaguzi katika nchi zinazotawaliwa na hivi vyama waga hazina maana yoyote ila ni kutimiza mradi tu.

Ikitokea hivi vyama vikaondolewa madarakani kwa njia yoyote ile basi ndio hua mwisho wa uhai wa hivyo vyama.
 
Mbona huo ubunifu wameshindwa kuupeleka kwenue kumkomboa mtanzania, maadui watatu wale wale ujinga maradhi na umasikini toka tupate uhuru mpaka leo.

Hao watakuwa mafundi wa ubunifu wa vitu vidogo visivyo na maana kwa mtanzania.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuishangilia CCM
 
Back
Top Bottom