Hivi ni kwanini vitu hivi viko kwa wanajeshi?

lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
1,433
2,000
Nilikuwa natizama taarifa ya habari hapa ITV mwanajeshi mmoja anasema walipewa assignment ya kulima hekari 1300 za mahindi wao wakalima hekari 1500.

Jeshi likipewa mradi let's say uishe ndani ya mwenzi 1 wao watakufanyia ndani ya siku 28, 27 au muda kamili. Daraja ikikataa wao ni dk0 wanalisimamisha, hawali rushwa kama kada zinazowafanania, ni nadra kuwakuta wakivunja sheria yaani ni nadra sana sana kukuta mwanajeshi anakula rushwa.

Wakiwa mtaani wengi ni watu wa kujishusha ila ukimchokoza tu ndio utaelewa maana ya mwanajeshi. Mimi sikufanikiwa kupita mafunzo yoyote ya jeshi mpaka nilipoishia kielimu. Natamani sana kujua kuwa ni mafunzo gani hupewa hasa mpaka wanakuwa na nidhamu na weledi wa juu katika kazi.
 

yas-mic

JF-Expert Member
May 25, 2016
464
1,000
Hakuna somo kubwa na siri kubwa jeshini kama UZALENDO. do each and everything for serving your country and countrymen.

Once Patriotism becomes ice in your veins, you will no longer be a corrupt person, you will always put nation's interest first before anything. In short you will self-made a sacrificial person.

Thank you C/O wangu Charles Mbuge na Major Mafunzo Msila, leutenants, captains and other majors and generals including privates at 832KJ. Am now ready for anything for the sake of my nation,Tanzania, The government and others who really in-needs.
 

lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
1,433
2,000
Binafsi yangu kuna mahali nakutana nao kwenye routine za kikazi I'm telling you wako tofauti sana na kada zingine uadilifu wao ni wa kiwango cha juu sana sema tu baadhi yao kwenye papuchi duhhh nawapa kombe wako vizuri mkuu wanaipenda sana...
Unakutana nao wapi wewe mpaka wakuombe RUSHWA ?
Hawa wengine wanaofanana nao unakutana nao ukivunja sheria za barabarani,ukiwa mhalifu kwenye vituo vyao,mahakamani ukiwa na kesi na kadhalika.
Kwahiyo mazingira yao ya kazi wanatofautiana japo yote ni majeshi
 

JMF

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
970
1,000
Tunaoumia ni sisi kuruti na Service man. Hao wenye mawe yao mabegani wanakula shumbwela tu na kuagiza.
Ni kwa zamu tuu kamanda. Nao pia walisulubika kabla ya kupanda, hivyo nawe kaza buti hadi utakapofikia huko
 

Mina cute

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,485
2,000
naomba kuuliza, ivi JW wanafundishwa sheria au Je wanafundishwa kukamata raia na kupeleleza case!!!
 

Mina cute

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,485
2,000
Unazungumzia sheria gani ? Unge'specify, za barabarani au
Ndio hata wao wanaweza kukamata raia
JWTZ hawapepelezi kesi
Polis huwa kuna sheria zinawaongoza za namna ya kudili na raia ,je na wao wanafundishwa sheria izo, na wakikamata mtuhumiwa,je uweza kuitwa mahakaman kuwa shaidi upande mashtaka,. emmy
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom