vitu

Vitus (), according to Christian legend, was a Christian saint from Sicily. He died as a martyr during the persecution of Christians by co-ruling Roman Emperors Diocletian and Maximian in 303. Vitus is counted as one of the Fourteen Holy Helpers of medieval Roman Catholicism.
Saint Vitus' Day is celebrated on 15 June. In places where the Julian Calendar is used, this date coincides, in the 20th and 21st centuries, with 28 June on the Gregorian Calendar.
In the late Middle Ages, people in Germany celebrated the feast of Vitus by dancing before his statue. This dancing became popular and the name "Saint Vitus Dance" was given to the neurological disorder Sydenham's chorea. It also led to Vitus being considered the patron saint of dancers and of entertainers in general.Vitus is considered the patron saint of actors, comedians, dancers, and epileptics, similarly to Genesius of Rome. He is also said to protect against lightning strikes, animal attacks and oversleeping. Vitus is the patron saint of the city of Rijeka in Croatia; the towns of Ciminna & Vita in Sicily, Forio on the Island of Ischia, in Campania, Italy; the contrada of San Vito, in Torella dei Lombardi, in Avellino, Italy; the town of Rapone, Italy; the town of Winschoten and the Gooi region in the Netherlands, the Italian colony of San Vito in Costa Rica, and the town of St. Vith located in Belgium.
Various places in Austria and Bavaria are named Sankt Veit in his honour.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maisha yanakuhitaji umiliki vitu vitatu tu

    Maisha yanahitaji umiliki vitu vitatu tu:- Makazi -nyumba ya kuishi Usafiri- wa kukutoa sehemu moja kwenda kwingine Biashara- kitu cha kukuingizia kipato, iwe majengo, usafirishaji n.k Na wengi wanapambana kuajiriwa, kutafuta nafasi n.k ili tu kuweza kufanikisha hayo mambo makuu matatu...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua vitu vya msingi na gharama kufungua radio ya kidini inayoshika wilaya au mkoa tu

    Rejea kichwa cha habati hapo juu. Baada ya kuona upotoshaji unaongezeka na watu wakizidi kudanganywa. Mwenyezi Mungu amenielekeza kufungua radio na baadae TV ambayo itasambaa dunia nzima kwa lugha zote kutokea Tanzania. Hapa nitakuwa nafundisha neno tu, hakuna ujanjaujanja wala upigaji wala...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia, kama unaona mbali, legacy kubwa ya kipekee na ya kudumu ni Katiba Mpya. Majengo na vitu vingine vinasahaulika hasa kwa vizazi vijavyo

    Katika uzinduzi wa Ikulu ya Chamwiono leo hii tarehe 20/05/2023, imejitokeza hali ya kila mmoja kutaka kuonekana ana legacy katika ujenzi wa Ikulu hiyo, lengo ni kila mtu aingie kwenye kumbukumbuku ya waliohusika kufanikisha ujenzi wa Ofisi hizo za Raisi hapa mkoani Dodoma. Katika hili...
  5. Mjinga sana mimi

    JamiiForums Tanzania Naweza kufanya kitu gani /kutoa huduma gani kibiashara kupitia hivi vitu nilivyo navyo bila kuwa na mtaji?

    Hellow members,Naweza kufanya kitu gani au kutoa huduma gani kibiashara kwa kutumia vitu hivi nilivyo navyo bila mtaji? Vitu vyenyewe ni: 1.Smartphone 2.Simu ndogo.
  6. Half american

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

    Habari wakuu, Bila shaka umekuwa na siku njema na unatafakari namna mipango ya siku inavyokwenda. Pole sana kwa wenye changamoto ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Mteja ni mtu muhimu sana katika biashara yoyote, lengo la kuanzisha...
  7. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani

    Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani
  8. D

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa vitu vichache vinavyoongeza stress hivi hapa

    Asikwambie mtu! Stress inaumiza sana watu pasipo sababu! Haya hapa ni mambo machache tu yanavyoweza kuongeza stress! Kushabikia litimu ambalo linafungwa au kubahatisha ushindi Kuwa na mme mlevi asiyejali familia (kwa wanawake) Kuwa na mke ambaye period haitabiliki (kwa waume) Kuwa na bosi...
  9. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Short Story: Kibwego Mtaka Vitu

    Hii ni story fupi ambayo imeombwa na bwana Gily imfikie Leejay49 pia ipite kwa hawa vijana kama mashahidi Johnnie Walker na mshamba_hachekwi Stay tuned namaliza verse niachie ngoma comment nikumention 🤪 nikishusha ____________ Basi hapo zamani za kale katika kijiji cha Sitaoga, kulikuwa na...
  10. Okrap

    JamiiForums Tanzania Nawapenda sana wanaume lakini kuna vitu mnatakiwa kuviacha ili niwapende zaidi

    Hivi ni kweli mnakosa 3000 ya kununua mkanda mpaka mfunge na kamba za viatu wengine mnatumia utambi wa jiko la mafuta kufunga suruhali zenu kweli vijana wangu mnakosa kabisa 3000 kununua mkanda? Nunu mkanda wako vizuri funga kwenye nguo yako vizuri kama unachomekea shusha kidogo tu pendeza...
  11. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Je hii ni Hali gani ya kutopenda kula na kunywa vitu vitamu

    Tokea nikiwa mdogo nilikuwa sio mpenzi wa kula na kunywa vitu hivi na mpaka nimekuwa nimekuwa na allergies navyo havinidhuru Ila sipendi kula *Maziwa ya ng'ombe *Mayai *Nyama ya kuku,mbuzi,ngombe nakula kidogo Sana napenda utumbo *Chapati *Chakula chochote au mboga yeyote yenye mchuzi,mfano...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye maono akifa vitu vyote hufa kibudu, viwanda vilivyoanzishwa na Magufuli mbona havikuwa magofu?

    Shida ni nini? Kuna viwanda vingi vilijengwa na vingine kuanzishwa, Cha ajabu ni kwamba, vilivyokuwa vikijengwa na ilikuwa vinaendelea vizuri, sasa haviendelei tena kujengwa, vingi vinaelekea kuwa magofu! Hawa wawekezaji walioanza kujenga viwanda barabara ya Bagamoyo to Tanga, Dar to Moro...
  13. jastertz

    JamiiForums Tanzania Kama kijana mpambanaji, hakikisha hukosi vitu hivi

    1. Namba ya NIDA. 2. Leseni ya udereva. 3. TIN number. 4. Bank Account. 5. Passport. 6. Computer skill ( hata kidogo) 7. Mengine ni mengineyo.
  14. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Tusiwe watu wa kudandia vitu au hatua zinazochukuliwa na kiongozi wa mataifa jirani

    Habari wakuu Rais Museveni kaanzisha harakati za kuzuia vitendo vya ushoga nchini mwake na sisi wa kwetu kaiga ili aendane na wakati asionekane vibaya Sasa imekuwa kero. N:B Na ninyi muwe mnaanzisha agenda zenu na kuzisimamia sio mnaiga mahali mnaanza kuleta usumbufu humu, kweli nimeamini...
  15. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu..

    Salaam wasalaam. Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu.. KUSHINDA KUFUNGWA DROO ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote. Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe zingine. Siwezi nikaumia kisa mpira. Siwezi nikagombana kisa mpira. Daima sitauwamini mchezo...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei za vitu kushuka Kenya, sisi tunakwama wapi?

    Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula. Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir. Bei ya Unga itashuka kuanzia wiki ijayo, Rais Ruto aahidi Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine)...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nimeona watu wanajinasibu kununua vitu vya kala hasa sarafu

    Je Kuna ikweli Gani kuhusu hizi biashara ,au ni utapeli tuu tujuzane
  18. Wansakieki

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kucheleweshwa kwa 'placements' ni hili

    Habari za uzima wadau? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye maada directly. Hili suala la ucheleweshwaji wa placements, hakika limekua tatizo kubwa sana ambalo moja kwa moja wanaoathirika ni vijana(job seekers). Hivyo basi napendekeza hili lifanyike from now. Napendekeza Kutolewa majibu ya...
  19. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Ijumaa kuu, unafahamu vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?

    Waislamu tukae pembeni kidogo Leo ni siku ya Ijumaa kuu, tukumbushane vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?
  20. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu Vya Kuepuka Mnapotoka Na Mwanamke Mara Ya Kwanza (First Date)

    Maana ya date na mwanamke ni kukutana naye ili kutengeneza mazingira rahisi ya kufanya naye mapenzi, na mkiendana kuwa wapenzi. Ila ukiharibu unapokutana na mwanamke, maana yake unakosa penzi na nafasi ya kufanya mapenzi. Hivyo ni muhimu kuepuka haya ili kuongeza nafasi yako ya kupata penzi...
Back
Top Bottom