Mambo ya kawaida saba lakini yatasababisha ufe mapema

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,373
1: Kupenda kujitamkia kifo au kufakufa hata kama ni utani. Sisi watu wa maandiko tunamstari unasema, mtu atakula matunda ya kinywa chake.

2: Kustaafu kabla ya Muda wako

Watu wanaostaafu kwa hiyari kabla ya muda wa lazima wanauwezekano mkubwa wa kufa mapema.

3: Matumizi ya vidonge vya usingizi. Watu wanaopenda kutumia vidonge ili wapate usingizi wanauwezekano wa kufa mapema kuliko wale wanaolala kawaida au kuwa na njia mbadala za kulala.

4: Watu wanaoangalia sana TV au muda mwingi wako mbele ya kioo. Smartphones, tablets etc ukiwa umekaa sehemu moja. Sababu, Sedentary behavior au tabia ya kukaa muda mrefu bila movements huku umezubaa kwenye screen kwa mujibu wa utafiri wa BJM Open study huchochea kifo cha mapema.

5: Ulaji uliopitiliza wa nyama nyekundu.

6: Kuwa na mwili usio na uwiiano.

Kwangu ni hayo tu.
Ongezea na yako.
 
Back
Top Bottom