sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Ni mwaka wa sita huu natumia windows 10, najikuta kwenye mazingira ya kushawishika kuweka windows 11 maana ndio windows toleo jipya zaidi, ila nimeona kwanza nipate ushauri wenu mnaotumia ama mliowahi kutumia windows 11.
Kuna mambo gani tunayakosa watumiaji wa windows 10 ?
mipangilio, muonekano na matumizi ni rafiki kwetu wageni ?
Kama uliwahi kutumia windows 11 na ukarudi windows 10 ama unatumia windows 11 ila unatamani kurudi 10, ni kwanini ?