Liliishia wapi kanisa la kushea vitu la mitume?

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Kwa mujibu wa biblia, Mara baada ya yesu kuondoka duniani, kanisa la kale kabisa walitumia mali zao kwa pamoja.

Yaani mfano una kiwanja chako,unauza pesa Zote unapeleka kanisani.

Hapa ndio kuna kisa Cha anania ambae alikufa kwa kosa la kuweka pembeni mali yake ambayo ilipaswa kutumika na kanisa.

Huu utaratibu uliishia wapi?
 
Kulitukia dhiki ya kanisa.

Mafarisayo walianza kuwakamata na kuwatesa na kuwaua wakiongozwa na Sauli ambaye baadaye alimpokea Yesu akaitwa Paulo.

Baada ya dhiki hiyo ndipo mitume walitawanyika na kila mmoja alikimbia kivyake na huko wslipokimbilia ndipo wskaanzisha makanisa kule.
 
Kulitukia dhiki ya kanisa.
Mafarisayo walianza kuwakamata na kuwatesa na kuwaua wakiongozwa na Sauli ambaye baadaye alimpokea Yesu akaitwa Paulo...
Now we know the truth on how church should be. Why don't we return to that system??
 
Kulitukia dhiki ya kanisa.
Mafarisayo walianza kuwakamata na kuwatesa na kuwaua wakiongozwa na Sauli ambaye baadaye alimpokea Yesu akaitwa Paulo.

Baada ya dhiki hiyo ndipo mitume walitawanyika na kila mmoja alikimbia kivyake na huko wslipokimbilia ndipo wskaanzisha makanisa kule.
Antiokia...Uturuki
 
“In the first century in Palestine, Christianity was a community of believers. Then Christianity moved to Greece and became a philosophy. Then it moved to Rome and became an institution. Then it moved to Europe and became a culture. And then it moved to America and became a business.” -Priscilla Shirer
 
Back
Top Bottom