vitu

Vitus (), according to Christian legend, was a Christian saint from Sicily. He died as a martyr during the persecution of Christians by co-ruling Roman Emperors Diocletian and Maximian in 303. Vitus is counted as one of the Fourteen Holy Helpers of medieval Roman Catholicism.
Saint Vitus' Day is celebrated on 15 June. In places where the Julian Calendar is used, this date coincides, in the 20th and 21st centuries, with 28 June on the Gregorian Calendar.
In the late Middle Ages, people in Germany celebrated the feast of Vitus by dancing before his statue. This dancing became popular and the name "Saint Vitus Dance" was given to the neurological disorder Sydenham's chorea. It also led to Vitus being considered the patron saint of dancers and of entertainers in general.Vitus is considered the patron saint of actors, comedians, dancers, and epileptics, similarly to Genesius of Rome. He is also said to protect against lightning strikes, animal attacks and oversleeping. Vitus is the patron saint of the city of Rijeka in Croatia; the towns of Ciminna & Vita in Sicily, Forio on the Island of Ischia, in Campania, Italy; the contrada of San Vito, in Torella dei Lombardi, in Avellino, Italy; the town of Rapone, Italy; the town of Winschoten and the Gooi region in the Netherlands, the Italian colony of San Vito in Costa Rica, and the town of St. Vith located in Belgium.
Various places in Austria and Bavaria are named Sankt Veit in his honour.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

    Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria. --- Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
  2. S

    Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

    Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa... Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
  3. UtdProfile_

    VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KWENYE KUBET✍️✍️✍️

    1. JIFUNZE KURIDHIKA. Mchezo wa Kubashiri, ni moja katibya mchezo wenye matamanio na wenye mvuto mkubwa sasa, Sasa brothers, wawekezaji, Jifunze kuridhika kile ulichokipata Baada ya Kubet Usibet kwa Tamaa, Utapunwa nakuambia. 2. STAKE KIASI AMBACHO UNAUWEZO NACHO. Usistake kiasi kikubwa for...
  4. bongo dili

    Vitu ambavyo havinogi vinapoliwa au kutazamwa ukiwa nyumbani

    1. Mpira hata home kuwe na flat nchi 100 mpira unanoga bar au kwenye vibanda umiza,si ajabu mtu kupaki V8 mtaa wa pili akazama kibandani kutazama Simba na yanga Ile amsha amsha,vuvuzela , makelele ndio utamu wenyewe wa mpira. 2. Bia ukinywea nyumbani ugeuka juice ya miwa, Utamu wa bia bar au...
  5. MamaSamia2025

    Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

    Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo nimeshindwa kuelewa kabisa kwa huyu mwanamke ambaye nimetangaza nia ya kumuoa. Nataka ushauri wenu...
  6. Powell Gonzalez

    Epuka gharama kwa kuacha kununua vitu visivyo vya lazima, tumia mbinu hizi

    Bila shaka kila Mtu ameshawahi kununua kitu alafu baadae akajihisi kama anajutia kukinunua Aidha Kwa sababu hakina umuhimu au kimemuingiza gharama zisizo za msingi.Hapa mara nyingi vitu kama simu,vifaa vya usafiri,nguo na vitu vingine ambavyo ni luxurious huwa vinahusishwa. Mimi Kwa utafiti...
  7. polokwane

    Serikali badala ya kuendelea kuumiza wananchi kwa kodi na kupandisha gharama za vitu muhimu hebu punguzeni Matumizi ya hovyo Serikalini

    Nchi hii pesa zinatumika hovyo sana, swala la usimamizi wa matumizi ya fedha za serikali ni tatizo kubwa sana nchi hii. Kuna matumizi ya hovyo sana kwenye fedha za umma ndio maana inaonekana kama fedha hazitoshi na kila siku wananchi wanapandishiwa gharama za maisha. Gharama za kugharamia...
  8. winnerian

    Ni wakati sahihi sasa wa kubadili nembo ya Taifa. Ina vitu haramu katika nchi yetu

    Kwenye nembo ya Taifa kuna pembe za ndovu (pembe za tembo). Kwa wakati huo inatengenezwa nahisi au nadhani biashara ya pembe za ndovu ilikuwa halali ila kwa zama hizi ni haramu ikiwa inamaana haifai tena kuendelea kukaa kwenye nembo ya taifa letu.
  9. Mwachiluwi

    Kipi kwako muhimu kati ya vitu hivi?

    Hello 👋 Kuna vitu vitatu hapa je wewe kwako kipi ukikosa unapata tabu MB? Dakika za maongezi? SMS? Mimi nikokosa MB napata homa naona simu ni kopo tu je kwako?
  10. A

    Ukandamizaji wa matumizi ya vitu vya asili na wakoloni

    Kabla ya mkoloni, kila kitu kilicho juu ya ardhi na chini ya ardhi kilikua kinatumika bila woga wala kificho. Alipokuja mkoloni akavikataza, kwasababu.: Aliviitaji kwa kazi zake za viwandani huko kwao. Sababu nyingne ni vitu hivi vilikua vikitumiwa na waafrika katika mambo mengi kama dawa...
  11. Mtu Asiyejulikana

    Mtu akiwa peke yake ana enjoy vitu vya ajabu sana. Ukipata nafasi kuwa unamwangalia utashangaa

    Imagine toka asubuhi... Nipo tu bila nguo hotelini. Naagiza chakula wanaleta na watch movies tu. Kubwa zaidi nakunywa zangu pombe huku najamba tu na ku enjoy harufu yake. Nimegundua kuwa harufu ya kujamba kwako mwenyewe ina sooth the mind. Basi humu room. Sitamani aingie mtu. Maana napenda pia...
  12. Beberu

    Kwanini watanzania wengi hawajui vitu vya kawaida?

    Am in hurry, so let's get straight to the point. Ndugu zangu waTz wenzangu tuna ujinga wa hali ya juu sana, yan sijui ndo kufuatilia mambo hatuna au ndo vile elimu yetu mbovu kabisa, mfano Kwenye kazi yangu nakutana na wamama wengi sana hawajui siku zao za hatari ni zipi na safe days ni zipi...
  13. DR HAYA LAND

    Kupata pesa na kuimiliki ni vitu viwili tofauti

    Nilichogundua na kuona kwa macho sio kila mtu anaweza kuimiliki pesa na ikakaa upande wake . That way watu wana vipato vikubwa but they still broke . Nb: Maarifa wanayo watu wachache na hao watu wachache ndo wapo huru nadhani Kazi ya heshima au kuingiza pesa nyingi bado haiwezi kukufanya...
  14. M

    Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

    Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu. Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo? They are acting like they were in boarding schools for 10...
  15. lee Vladimir cleef

    Ugunduzi wa vitu 50 wa Urusi

    50 groundbreaking Russian INVENTIONS (PICS) SCIENCE & TECH JUN 12, 2022ANNA POPOVA Alena Repkina “Human history is in essence a history of ideas,” Herbert Wells wrote. Thanks to the drive to uncover the world’s mysteries, humans invent new devices, make new discoveries, form entire schools of...
  16. Scars

    Moja ya vitu ambavyo directors wa action movies wanafeli

    Mazungumzo mafupi kati ya Jambazi aliyeshilia mateka na Starling anayetaka kumuokoa mateka Jambazi: "Weka silaha yako chini, ukisogea hatua moja namuua huyu" Starling: "Sawa nimekubali naweka silaha chini" Jambazi ambaye kamuwekea silaha kichwani mateka na kumuamuru starling ambaye...
  17. Wakili wa shetani

    Maneno ya kitabu "Confessions of an economic hitman" yametimia nchini mwetu.

    "Kukopa arusi kulipa matanga." "Uuzaji" wa bandari yetu si kwa sababu nyingine, si kwa sababu ya ufisadi au blah blah za kuongeza ufanisi. Ni sababu ya kuelemewa na madeni na hali ngumu ya uchumi iliyotukumba. Tunachekelea kuambiwa tunakopesheka na kuwa deni linahimilika. Yametufika. Ipo siku...
  18. Pascal Mayalla

    Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania...
  19. Equation x

    Maisha yanakuhitaji umiliki vitu vitatu tu

    Maisha yanahitaji umiliki vitu vitatu tu:- Makazi -nyumba ya kuishi Usafiri- wa kukutoa sehemu moja kwenda kwingine Biashara- kitu cha kukuingizia kipato, iwe majengo, usafirishaji n.k Na wengi wanapambana kuajiriwa, kutafuta nafasi n.k ili tu kuweza kufanikisha hayo mambo makuu matatu...
  20. matunduizi

    Naombeni kujua vitu vya msingi na gharama kufungua radio ya kidini inayoshika wilaya au mkoa tu

    Rejea kichwa cha habati hapo juu. Baada ya kuona upotoshaji unaongezeka na watu wakizidi kudanganywa. Mwenyezi Mungu amenielekeza kufungua radio na baadae TV ambayo itasambaa dunia nzima kwa lugha zote kutokea Tanzania. Hapa nitakuwa nafundisha neno tu, hakuna ujanjaujanja wala upigaji wala...
Back
Top Bottom