Vitu vyenye majina mengi hapa duniani

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
627
2,797
1. Pesa : hela, mavumba, mshiko, sabuni ya roho, mkwanja, maokoto, kibunda, vyuma ....
2. Uke: papuchi, kipochi manyoya, kitumbua, sambusa, bibi, mfereji maringo ....
3. Uume: Abdallah kichwa wazi, mti nyama, kisiki kisichoota majani, babu, nyoka, mkuyenge, deliboro ..
4. Wali : cha mtume, kipunga ...

add more add more
 
Mkuu hii thd ni kama kurefresh tu,kujifurahisha,

Kaanzishe thd yako ambayo unaona itakusaidia kwenye matatizo yako,

Soma comment #2
KWann ukimbilie kwanza kwenye MATATIZO, are you troubled ? Na kama una matatizo do you think kila mtu ana matatizo kama wewe?
Anyway, na kama ninayo, do you think hapa ni mahala mimi naweza kuja kutafuta suluhisho la matatizo yangu?

Mind you, sipo hapa jukwaani kutafuta suluhisho la matatizo. If you do , then thats your problem
 
Back
Top Bottom