vijana

  1. Cvez

    JamiiForums Tanzania Uchumi ni tatizo kubwa katika ndoa za Vijana

    Jioni hii nimekaa room kwangu mara nasikia majirani (wake zao) wametoka kwenye mizunguko yao. Katika hii nyumba kuna wapangaji watatu wawili ni familia bachelor ni mimi tu. Punde nasikia moja ya jirani yangu analalamika kwa mwenzie kua mmewe karudi kapiga msosi wote bila kujali kua yeye kala au...
  2. B

    JamiiForums Tanzania RC Gambo aumbuka. Vijana wa CCM Arusha wamshambulia mitandaoni, aamua “ku left “

    Rc Gambo aumbuka,vijana wa Ccm Arusha wamshambulia mitandaoni aamua “kuleft”. Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo amejikuta akiumbuka katika mitandao ya kijamii hali iliyomlazimu kujiondoa huku baadhi ya vijana wa Ccm Arusha wakimshauri aache jeuri na awe karibu na vijana. Tukio hilo lilitokea...
  3. Ileje

    JamiiForums Tanzania Vijana wa leo mnafahamu maana ya rangi za bendera ya CHADEMA?

    Bendera ya CHADEMA ina rangi nne: Nyeusi, Bluu isiyokoza (light blue), nyeupe na nyekundu. Bendera ya CHADEMA ina nembo ya kiganya cha mkono kilichonyoosha vidole viwili katika mfumo wa V kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni chama kinacholenga kushinda kidemokrasia na hatimaye kuleta ushindi wa...
  4. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Hivi vijana wamekataa kujiajiri?

    Binafsi naelewa hakuna Serikali yoyote duniani ambayo haitaki kuajiri vijana wake Kama fursa zipo. Kwa Tanzania ya Sasa budget zake toka 2016 asilimia nyingi ya fedha zinapelekwa kwenye miradi ya Maendeleo. Ndio maana tunaona miradi mingi mikubwa ikitelelezeka nchini. Tunachopaswa kukifanya Sasa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa sasa hawana busara na maadili mema, hawajieshimu, hawaoni ukweli na hawajui historia yetu

    Ukiambiwa Dr Salim Ahmed Salim aliteuliwa balozi nchini Misri akiwa na miaka 22 halafu ukalinganisha na vijana wetu wa leo wenye elimu na umri huo utaona km vile tunarudi nyuma badala kwenda mbele. Na ukiambiwa miaka ya 70 hadi 90 nchi yetu ilikuwa na vyama vya ushirika kila mko vyenye nguvu...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Vijana wa familia maskini tuungane kupambana na hawa wakoloni weusi wa CCM

    Wakuu. Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu napenda kuwakumbusha vijana wa nchi hii, hasa wale wanaotoka familia masikini mijini na vijijini kuwa imewapasa kuelewa kuwa nchi hii inapelekeshwa na hawa wakoloni weusi wa CCM kwa sababu wao wana advantage moja ya kuwa na urahisi wa kuitafuna keki ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomfurusha Mwita Waitara akamatwa na polisi

    RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara. RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike...
  8. Tajiri Mapesa

    JamiiForums Tanzania Watu waliowaponda vijana wetu waliopo China ndiyo wamekuwa wa kwanza kulia kwenye mitandao

    Huu uzi ni maalumu kwa watu wanao laumu viongozi ili hali na wao pia ni wa binafsi. Watu wengi walijitokeza facebook, Instagram na watsap kuwakebehi na kuwaponda vijana wa watu na hata wazazi wa vijana hao. Yalitolewa maneno ya dhihaka. Lakini pia hata msaada wowote haukutolewa. Na wengi...
  9. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Upanga kuliwahi kuwa sehemu muhimu katika Muziki wa vijana miaka ya 60, 70 na 80

    KATIKA miaka ya 1960 na 1970 mpaka 1980, karibu kila eneo la jiji la Dar es Salaam kulikuwa na makundi ya muziki. Wakati huo muziki ulifanywa kwa vikundi tofauti na sasa ambapo msanii anaweza kuwa peke yake katika kutunga, kurekodi na hata kufanya kazi yake jukwaani. Muziki wa dansi uligawanyika...
  10. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Njia wanazozitumia vijana kukuibia mke/mchumba/mpenzi wako

    Kisaikolojia tunasema kila kitu kinategemeana na hali ya ufikiri, kusex na mtu ni matokeo ya hali ya ufikiri baina ya wagonganji na wagongwaji, kila kitu ni state of mind; Nayasema haya kwa sababu mtu kumsaliti mpenzi wake ni matokeo ya kubadilishwa fikra, na jamii ambayo ni nyepesi zaidi ktk...
  11. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vijana wengi sana hili

  12. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Vijana wanasiasa wajifunze kwa nguri wa siasa Lowassa

    VIJANA WANASIASA WAJIFUNZE KWA NGURI WA SIASA LOWASA Kizazi cha kina lowasa na wenzake kama kina JK,Kinana, Mangula etc ni kizazi kilicho anza siasa enzi za Nyerere wakati huo ilikua muhimu kwenda jeshini, kusoma chou cha siasa kivukoni, kushika madaraka ya serikali toka ngazi za chini ndipo...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Lijuakali kawaangusha wabunge vijana

    Lijuakali kaonyesha udhaifu mkubwa sana katika hotuba yake bungeni na katika andiko lake juu ya kupatikana kwa ubunge Wake Kilombero 2015 humu JF. Nikianza na mchango Wake bungeni: Katika mchango Wake kaonyesha hana ujasiri wa kukabiliana na mitikisiko ambayo kwenye siasa ni vitu vya kawaida...
  14. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa vijana tunaoamini katika mabadiliko ya kweli, kuiunga mkono CCM maana inatabirika na inaaminika

    Katika kundi ambalo kwa kawaida na ni nature yake kutaka mabadiliko ni kundi la vijana, vijana wengi kokote wamekuwa chachu ya kuhimiza mabadiliko, na kwa kulitambua hilo baadhi ya watu, makundi, vyama wamekuwa wakiwatumia vibaya vijana ili kutimiza malengo yao. Nafahamu vijana wengi wa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kufungua vyuo ni kuwajaribia vijana wetu na kuwamaliza waalimu vyuoni

    Kama kweli Rais kadhamiria kufungua vyuo bila kuangalia hali halisi ya ugonjwa huu, basi waalimu vyuoni jiandaeni. Taarifa tunazofahamu ni kwamba Vijana wanapambana na ugonjwa huu vizuri zaidi kuliko wazee. Madarasa ya vyuo vyetu ni kama kambi za wakimbizi. wanafunzi hujaa hadi pomoni na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Poleni Rais Magufuli na KUB Mbowe kwa vijana wenu kupata maambukizi ya Covid 19, Mungu ni mwema amewaponya

    Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe. Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya. Naye...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Baada ya TAKUKURU kusema itawahoji TFF kuhusu Bilioni 1 ya AFCON ya vijana iliyotolewa na Rais Magufuli, TFF yasema haijawahi kupokea fedha hizo

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetolea ufafanuzi kuhus Tsh. Bilioni 1 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya fainali za AFCON kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 zilizofanyika mwaka 2019 Katibu Mkuu wa TFF, Kidai Wilfred amesema fedha hizo hazikuingia kwenye akaunti za fedha...
  18. technically

    JamiiForums Tanzania CCM Mwisho wake kuwepo kama chama tawala ni 2020

    Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi CCM haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kutokusoma vizuri tangazo la kazi kumesababisha vijana wengi kukosa kazi huku wana sifa za kupata kazi

    Ni takribani miaka 3 hivi nimekuwa nikiwasaidia vijana au ndugu wa karibu kuomba kazi katika taasisi mbalimbali hasa za umma. Nimejifunza mengi sana, nimeona challenges nyingi ila leo nitaongelea jambo moja tu. Jambo hilo ni kusoma tangazo la kazi kwa umakini na kulielewa. Wengi wakikuta...
  20. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naongea na vijana wenzangu

    Niliandika makala hii 2017 mnasemaje kuelekea uchaguzi 2020 POLENI SANA VIJANA, MNAKUWA MAJESHI YA MINYUKANO YA KISIASA MWISHO INAKUWA AIBU KWENU. Poleni sana vijana wa ACT - WAZALENDO mliomtukana matusi yote Mh Mbowe kisa mapenzi makubwa mliyonayo kwa Mh Zitto pengine hamkujua wanasiasa...
Back
Top Bottom