Mafanikio au maendeleo mazuri sio yale yanayo mgusa mtu mmoja au kundi la watu wachache bali ni yale yanayo wagusa watu wengi na yanaleta utofauti kwenye jamii na Dunia nzima, Mapambano yawe katika kuleta utofauti.
Mitandao ya kijamii kwa sasa imekuwa sehemu ya maisha ya watu. Baadhi yao watumiaji hao wamepata uraibu wa hali ya juu kiasi ambacho bora akose chakula lakini awe na bando la kuingia kwenye mitandao ya kijamii (hawa ndio wazee wa stress sasa).
Mitandao ya kijamii watu wamekuwa wakitumia...
Tume ya Ushindani nchini (FCC), imewaonya waingizaji, wazalishaji, wasambazaji na wauzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa za kujikinga na vizrusi vya corona vikiwamo barakoa (mask), vitakasa mikono (sanitizer) na vizuia mikono (gloves) wanaoficha bidhaa hizo kwa lengo la kupandisha bei.
Aidha...
UCHAGUZI WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO
MWENYEKITI
Mgombea aliyeshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa ni Abdul Omar Nondo.
Mnamo mwaka 2018 Nondo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini Tanzania wakati akiwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam kwa...
Mama Chui akizaa watoto wake anawalea wakishakua anawaacha anaenda porini anakaa kama juma hivi akirudi anawatisha watoto wake. Yale watoto walioshtuka wakakimbia hawawi chui tena ila wale watoto waliomtambua mama yao wanabaki na mama yao na wanakuwa chui (katika uhalisia wake). Kwa sisi wachaga...
Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana.
SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana wengine WAKIMWELEWA itakuwa balaa kubwa Sana.
Wakati nyerere aliwa groom wanasiasa Bora na kuliachia...
JESHI la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia vijana 11 wenye umri wa kati ya miaka 20 na 25 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kupitia Mtandao wa Facebook kwa kutumia majina ya viongozi wa Serikali na wasanii maarufu.
Aidha vijana hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanashirikiana na mawakala wa...
Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), watoto kuanzia miaka mitano hadi 29, wako katika hatari zaidi kutokana na vijana kujikita katika uendeshaji wa bodaboda na bajaji.
Pia takwimu za WHO zinaonyesha chanzo cha vifo namba nane duniani kinatokana na ajali za barabarani...
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani.
Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...
Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii.
Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
Yani pesa bwana acheni iitwe pesa,dokta mwaka ana wake wa 3 Halafu hiyo haitoshi ila hawa wake watatu wanapendana kiasi kwamba mke mdogo anaweza msuka nywele mke mkubwa,Dokta anaweza lala nao wote kitanda kimoja.
Haya mabalaa ya namna hii ndgu zangu vijana tusije mfanya dokta kama rolu modo...
Ni hivi tangu suala la siasa growth basi hata vijana tumepata athari ndani ya ubongo wetu leo, hii baadhi ya vijana na ni wimbi kubwa wa nchini kwetu hatuwezi kukaa na kufikiria au kuchukua hatua juu ya ''mutakabali'' wa maisha yetu hususani kwenye kufanya maendeleo tulichokiweka mbele ni siasa...
Vijana tafuteni hela MTUNZE familia zenu, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali na kujihusisha na SIASA MAJITAKA, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
Mzee Kikwete aliwahi kusema " zilongwa mbali zitendwa mbali"
Binafsi huwa siwaelewi kabisa wanasiasa wanaowahubiria vijana kuwa ajira hakuna hivyo wanapaswa kujiajiri.
Chukulia mfano mzee Lyatonga Mrema anaishi kwa uteuzi hadi leo.
Kadhalika kuna wale wachungaji wanaohubiri utoaji wa sadaka...
Habari zenu wanajamvi, nimeleta mjadala kwenu,
" Hivi ni sahihi kuwaona wasiofanikiwa kwamba hawana vision wala malengo" Wote tutakubaliana kwamba vijana wengi wanaohangaika kusaka angalau mtaji wa kuanzisha biashara ni wale waliotoka familia Duni tena duni hasa, ambao wameongeza umasikini wa...
TUHUMA kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, zimetolewa bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea).
Naftaha Nachuma, Mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) amedai, baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, wameanzisha...
Wakuu,
Unajua haya mambo ya Jeshi sijui inakuaje kama mtu ukifiwa. Juzi tumepata msiba wa Vijana wetu zaidi ya kumi walikuwa kwenye Mazoezi. Leo ndo tunaaga hapa Lugalo Dar, kwa anayetaka kushiriki mazishi aje.
Naamini Jeshi litatolea ufafanuzi taarifa hii ili kuondoa sintofahamu.
Baada ya...
Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka.
Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, kuna baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.