Tatizo la vijana wengi sana hili

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,829
2,986
IMG-20200524-WA0023.jpg
 
tatizo linazidi kila uchwao,,,,lakini chanzo kikubwa ni msongo wa mawazo na vurugu za maisha wanapitia vijana wa leo.....kuna haja ya kufanya utafiti na kuufanyia kazi ili kuokoa kizazi na kujenga jamii yenye furaha.
 
Aisee kuna wengine wapo vizuri tu hawana maisha ya hovyo yanayofanya wawe na msongo wa mawazo wala nini lakini kitandani hovyo kabisa.

Na mbaya zaidi mademu zao wakikutana na tunaojua kusugua mpaka kunatoka moshi wanatoa siri zao arif...!
 
usiamini maneno ya mwanamke kitandani.....akikuchoka akampata mwingine na wewe atakukandia vilevile.

Hahahaha mchumba anaonesha mpaka msg jamaa anauliza atumie dawa gani ili dushe liwe na nguvu ya kufanya muda mrefu.

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Back
Top Bottom