Poleni Rais Magufuli na KUB Mbowe kwa vijana wenu kupata maambukizi ya Covid 19, Mungu ni mwema amewaponya

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
31,684
2,000
Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe.

Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya.

Naye mtoto wa KUB Mbowe ilielezwa kuwa alilazwa hospitali ya manispaa ya Temeke kwa zaidi ya siku 50 na Mungu wa mbinguni amemponya.

Mungu ni mwema wakati wote.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,942
2,000
hapo kati yao kuna mmoja hajauguliwa na mtoto wake, ametudanganya
Hata mimi nina mashaka nae kwani sio mkweli. Kila jambo yeye hulichukulia kama ni vita.

Pili hajatueleza ni vipimo vya maabara gani vilivyotoa majibu ya mwanae vilivyoonyesha kuwa alikuwa amepata maambukizi ya corona? Wakati vipimo vilivyoletwa na mabeberu yeye haviamini!!

Ndiyo maana ninashindwa kumuamini huyo mmoja.
 
sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
15,009
2,000
Pole kwa mtoto wa mbowe. Uyu wa meko huenda anatuchota tuu ili tuone malimao yaanaponya. Ila kama ni kweli basi pole kwake

komesha korona
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
5,626
2,000
Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe.

Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya.

Naye mtoto wa KUB Mbowe ilielezwa kuwa alilazwa hospitali ya manispaa ya Temeke kwa zaidi ya siku 50 na Mungu wa mbinguni amemponya.

Mungu ni mwema wakati wote.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Alipo umwa mtoto wa Mbowe, tulitangaziwa stand ya Ubungo. Mbona mtoto wa mkuu haikutangazwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,666
2,000
Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe.

Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya.

Naye mtoto wa KUB Mbowe ilielezwa kuwa alilazwa hospitali ya manispaa ya Temeke kwa zaidi ya siku 50 na Mungu wa mbinguni amemponya.

Mungu ni mwema wakati wote.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Makonda hakutaja mtoto wa Raisi kwa nini alificha akamsema kwa kejeli mtoto wa MBowe
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,325
2,000
Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe.

Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya.

Naye mtoto wa KUB Mbowe ilielezwa kuwa alilazwa hospitali ya manispaa ya Temeke kwa zaidi ya siku 50 na Mungu wa mbinguni amemponya.

Mungu ni mwema wakati wote.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Amen
P
 
Mbaga kovic

Member
Apr 15, 2020
13
45
Hata mimi nina mashaka nae kwani sio mkweli. Kila jambo yeye hulichukulia kama ni vita.

Pili hajatueleza ni vipimo vya maabara gani vilivyotoa majibu ya mwanae vilivyoonyesha kuwa alikuwa amepata maambukizi ya corona? Wakati vipimo vilivyoletwa na mabeberu yeye haviamini!!

Ndiyo maana ninashindwa kumuamini huyo mmoja.
H
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom