CCM Mwisho wake kuwepo kama chama tawala ni 2020

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
9,378
2,000
Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda

Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi CCM haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda kuwaondoa madarakani kimchezo mchezo.

Wale mliokwapua pesa za umma muanze kuzilejesha bila kusahau mliokuwa mnafanya maovu mjindae kweli kweli.

Naapa kwa jina la baba la mwana na roho mtakatifu CCM haitarudi madarakani kwa sababu ya ubishi na mtakuja kukumbuka maneno yangu mlikuwa na muda wa kujirekebisha ila kibri kibri mjiandae kisaikolojia.
 
Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
698
1,000
Ndoto unazoota baada ya kunywa kvant ipo siku utaenda kumshika makalio mamako mkwe, ndugu hizo pombe zimekushinda ziache, ni hivyo tyu. La maaskofu wenu limekuchachia umerukia jengine.
Ni ajabu sana kuwa washabiki was CCM hamtaki kuamini hivyo lakini walio madarakani wameshaujua ukweli huo ndio maana wanataka kutumia ujio wa ugonjwa wa Corona kama excuse ya kuahirisha uchaguzi wa Octoba.
CCM wanajua wazi kuwa kiburi cha Magufuli kimewaponza sana na kuwaondolea trust ndani na nje ya nchi na akakosekana wa kumshauri.
Suala la Tumehuru wamegundua wapinzani hawatanii tena, na nchi wahisani wameshika bango. Jee wataponea wapi?
IMG_20200321_094859.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,530
2,000
Maneno haya ya Mwalimu Nyerere ni ushahidi wa CCM kutawala milele" Rais bora atatoka CCM". ni ukweli mchungu lakini lazima mkubali Hilo.

Kila nikifikiri ni kwa namna gani CCM itaondoka nakosa majibu ya kuniridhisha hivyo Imani na matumaini yangu ya CCM kutawala milele yakishika kasi.

Ukweli ,CCM haina mpinzani hata tukibeza ukweli huu utatuweka huru tukiweka matumaini ya CCM kutawala milele kuliko kutoka miaka ya karibuni
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
6,128
2,000
"CCM mwisho wake kuwepo"

"CCM mwisho wake ..., kama chama tawala"

Ni kati ya hayo mawili.

Kwa maoni yangu, CCM kama chama ilikwishaondoka siku nyingi.

Kilichopo ni jina tu la chama hicho linalotumiwa na wenye maslahi yao kutimiza matakwa yao.

Kati ya hao wanaolitumia jina ni:
1. Mwenyekiti, ambaye sasa ndiye CCM yenyewe

2. Wenye maslahi yao wanapitia kwenye jina hilo, CCM waendelee kupata manufaa yao binafsi, hata kama jina limebinafsishwa kwa Mwenyekiti

Ukweli ni kwamba sasa hivi hakuna chama kinachojisimamia kama chama na kuwa na uwezo wa kuamua jambo mhimu linalohusu maslahi ya nchi.
Msukumo upo kusimamia maslahi ya makundi hayo hapo juu. Hilo la pili, linategemea fadhira za mwenye chama.

Wanaojiita wanachama wa CCM, hasa huko vijijini na kwingineko, imebaki kutumia mazoea tu na ushabiki wa ki-Simba na Yanga, ndio unaoshikilia waendelee kujitambulisha hivyo.
 
Masanjaone

JF-Expert Member
Nov 15, 2019
855
1,000
Ndoto unazoota baada ya kunywa kvant ipo siku utaenda kumshika makalio mamako mkwe, ndugu hizo pombe zimekushinda ziache, ni hivyo tyu. La maaskofu wenu limekuchachia umerukia jengine.

unadhani huyo kanywa k-vant bro! Huyo atakuwa kanywa gongo , na gongo lenyewe acha lile la mhogo, kanywa gongo la mavi! Akijitahidi sana atakuwa kanywa kitu.... shingwaaaa
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
1,068
2,000
Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda

Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi ccm haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda kuwaondoa madarakani kimchezo mchezo.

Wale mliokwapua pesa za umma muanze kuzilejesha bila kusahau mliokuwa mnafanya maovu mjindae kweli kweli.

Naapa kwa jina la baba la mwana na roho mtakatifu ccm haitarudi madarakani kwa sababu ya ubishi na mtakuja kukumbuka maneno yangu mlikuwa na muda wa kujirekebisha ila kibri kibri mjiandae kisaikolojia.
Wanasiasa mna maneno ya kujifariji!!!
 
mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
1,926
2,000
Naona upinzani safari hii watashinda uchaguzi kwa kupigiwa kura na wamarekani. Mimi nashangaa hivi wamarekani nyinyi mnawaona watu sana eeh? Pole sana wale hawanaga marafiki huwaga wazee wa masilahi basi. Mjitathimini
Ni ajabu sana kuwa washabiki was CCM hamtaki kuamini hivyo lakini walio madarakani wameshaujua ukweli huo ndio maana wanataka kutumia ujio wa ugonjwa wa Corona kama excuse ya kuahirisha uchaguzi wa Octoba.
CCM wanajua wazi kuwa kiburi cha Magufuli kimewaponza sana na kuwaondolea trust ndani na nje ya nchi na akakosekana wa kumshauri.
Suala la Tumehuru wamegundua wapinzani hawatanii tena, na nchi wahisani wameshika bango. Jee wataponea wapi? View attachment 1395442

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
13,424
2,000
Maneno haya ya Mwalimu Nyerere ni ushahidi wa CCM kutawala milele" Rais bora atatoka CCM". ni ukweli mchungu lakini lazima mkubali Hilo.

Kila nikifikiri ni kwa namna gani CCM itaondoka nakosa majibu ya kuniridhisha hivyo Imani na matumaini yangu ya CCM kutawala milele yakishika kasi.

Ukweli ,CCM haina mpinzani hata tukibeza ukweli huu utatuweka huru tukiweka matumaini ya CCM kutawala milele kuliko kutoka miaka ya karibuni
Mkuu hebu soma soma kidogo historia.. anza na historia ya Roman Empire. Soma Joseon Empire na tawala zingine zingine ambazo walijua watatawala milele. Soma hata historia za kina Gadaffi akina Mugabe and co.

Nothing lasts forever my friend. Wake up.
 
crocodile

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,665
2,000
Siku zote vitani tambua na heshimu nguvu za adui yako la sivyo utatandikwa tu. Na hili ndio kosa la siku zote la wafuasi wa upinzani Tz.
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
5,721
2,000
Hivi mleta uzi umekula maharage ya Mgeta milima ya Uluguru.

FICHA UPUMBAVU WAKO!!!@
 
kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,663
2,000
From no where ... with no reason!!
Tuendelee kufuatilia corona wandugu,inaua! Tusijisahaulishe!
 
Top Bottom